econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hapana, Vyama vingi vya Upinzani ni washirika wa CCM na maadui wa CHADEMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kwenda mbele kupiga picha au kujiselfia kwan kulia na kushoto kwangu kuna ffu wawili mmoja kabeba shoka mwingine ana sime na rungu. Asa najiuliza polisi na mashoka wap na wapMpendwa muandamanaji...... Wapi picha?!
ACT na CUF ya Lipumba mko kwenye kapu moja la takataka za ccm.
Mnabebwa kuikomoa chadema lkn hata nyie wenyewe mnaujua mziki chadema ikitangaza maandamano.
Swali langu ni jepesi, upinzani wameiba nini mpaka uwaite wezi?Ccm na Upinzani Jambo ni moja tu ..ccm ni wezi na Upinzani nao ni mulemule tu .Nchi inakuwa na Upinzani usiokuwa na dira .Tabia za kupenda kuitisha press ni za utoto.
Amna lolote au niwamaigizo ya zto kumtafuta magu sio awa wezi wa sasaMaandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani.
Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni ili yapokelewe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Binafsi Niko mbele na bango langu. Hali ya hewa si rafiki sana hata kuandika ni taabu lakini umma unazidi kujitokeza kuwataja wezi wakamatwe.
Karibuni.
Pia soma > Polisi yazuia maandamano ya ACT Wazalendo
Uliona wapi Polisi wanazuia maandamano wakiwa mikono mitupuNashindwa kwenda mbele kupiga picha au kujiselfia kwan kulia na kushoto kwangu kuna ffu wawili mmoja kabeba shoka mwingine ana sime na rungu. Asa najiuliza polisi na mashoka wap na wap
Sasa si walitakiwa wawe na bunduki , ngao au magar ya washawasha? Sime na mashoka wap na wap? Au siku hizi ccp wanatoa mafunzo ya kijadi?Uliona wapi Polisi wanazuia maandamano wakiwa mikono mitupu
Mkuu Kwanza elewa Upinzani ndio dira ya serikali,Upinzani unapokuwa kibogoyo madhara yake ndiyo haya unayoyaona kutamalaki ufisadi kila sekta.Swali langu ni jepesi, upinzani wameiba nini mpaka uwaite wezi?