KERO Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kinyerezi,segerea,mbezi Pako juu,panahitaji pampu yake, November walidai wanafunga pampu shida itaisha
- Je huo mwinuko umekuja ghafla?
Na maji yapo tangu enzi kwa uwezo wa Mungu, ingekuwa yanatengenezwa viwandani .....
- Bima ya Afya Kwa wote lazima ielemewe Tu kwa kuwa magonjwa yatokanauo na maji yanasumbua mjini mpaka vijijini.
 
Kimara huu mwezi sasa, kwa wiki yanatoka mara 1 tu. Nchi inaendeshwa kisengerema sana, Mh. Rais anaigiza filamu, Inasikitisha sana
 
- Je huo mwinuko umekuja ghafla?
Na maji yapo tangu enzi kwa uwezo wa Mungu, ingekuwa yanatengenezwa viwandani .....
- Bima ya Afya Kwa wote lazima ielemewe Tu kwa kuwa magonjwa yatokanauo na maji yanasumbua mjini mpaka vijijini.
Kinyerezi,mbezi hayakua makazi ya watu
 
Mkuu uko sahihi,
Wauza maji kwa malori Wanatoa cash kila siku ili maji yaendelee kuwa Shida Pande za Kimara, Bonyokwa,Kinyerezi TAKUKURU amkeni.
Vijana wanaofungulia maji kwa sasa wako kwenye mavuno makubwa. Kuna hujuma ili kumdhoofisha mtu, sasa watakaoumia ni Walalahoi.
 
Back
Top Bottom