Dar: Mahakama ya Kisutu yajiweka kando kutoa uamuzi kesi ya Dkt. Slaa, Hakimu adai anafungwa mikono na Rufaa ya Jamhuri

Dar: Mahakama ya Kisutu yajiweka kando kutoa uamuzi kesi ya Dkt. Slaa, Hakimu adai anafungwa mikono na Rufaa ya Jamhuri

H
Huu ndiyo ujinga uliopitiliza. Ukishaona mtu anashangalia sheria kuvunjwa basi hana tofauti na mwehu kwa sababu madhara yake yanakwenda mbali.
Hata yeye Slaa alishangilia dhidi ya Mbowe na Lisu huyohuyo. Acha apimiwe kwa kipimo kilekile ili ajifunze.
 
H

Hata yeye Slaa alishangilia dhidi ya Mbowe na Lisu huyohuyo. Acha apimiwe kwa kipimo kilekile ili ajifunze.
Kushangilia ukiukwaji wa sheria ni kukaribisha uhuni mlangoni mwako. Wewe badala ya kujifunza kutuka kwenye hili tukio, unarudia makosa aliyofanya! Kesho likikupata wewe au mtu wako wa karibu wengine nao watasema hivyo hivyo. Mwisho nchi haitakuwa salama.
 
Ulikuwa mdogo kipindi silaa anasema mbowe ni gaidi na mahakama isimuachilie? Ulikuwa mdogo kipindi Magufuli anavunja Sheria na Silaa anasema nchi IPO pazuri? Ulikuwa mdogo wakati Silaa anasema zuio la mikutano ya kisiasa dhidi ya vyama vya upinzani ni sawa kisheria? Acha upumbavu silaa ni mpuuzi
Wewe ndiye unatakiwa uambiwe uache upumbavu. Matukio yote yaliyotokea watu wenye akili, ikiwemo mimi tulipinga kwa nguvu zote. Slaa (siyo Silaa) aliposema nchi iko pazuri sisi tulipinga kwa nguvu zote. Ajabu ni kuwa wewe bado hujajifunza lolote na unataka chain ya uhuni iendelee. Je, nikishangilia sasa hivi Slaa kufanyiwa uhuni, huoni ni kama nakaribisha matatizo ambayo kesho yanaweza kunipata? Mimi na wewe nani mpumbavu?
 
huu ujinga anaoufanya huyu mzee wacha ale anachokitafuta sasa nyie mnamuonea huruma ya nini kwani angetulia bila kufanya huo ujinga mmitandaoni angepungukiwa na nini? yaaani anazeeka akili anaiacha nyuma wacha manyapara yaonje vya kizee
 
Itakumbukwa leo Januari 31, 2025 ilitarajiwa kutolewa uamuzi wa pingamizi la uhalali wa hati ya mashtaka, ambapo kwa mujibu wa mwendo wa kesi hiyo endapo ingefanyika hivyo ndipo mahakama ingeweza kiendelea na shauri juu ya dhamana ya Dkt. Slaa.

Kwa sasa mtuhumiwa huyo ambaye leo hakuletwa mahakamani kutokana na kilichodaiwa kwamba kulikuwepo na changamoto ya gari iliyotakiwa kuwapeleka washtakiwa Mahakamani, hivyo anaendelea kukaa rumande.
Hii itakuwa kama ya Mbowe, wanata akashake mikono na #1
 
Kushangilia ukiukwaji wa sheria ni kukaribisha uhuni mlangoni mwako. Wewe badala ya kujifunza kutuka kwenye hili tukio, unarudia makosa aliyofanya! Kesho likikupata wewe au mtu wako wa karibu wengine nao watasema hivyo hivyo. Mwisho nchi haitakuwa salama.
Waseme tu, tusipowaacha wanafiki kama Dr. Slaa wakajifunza, kuna hatari watu wakaiga tabia yake ya kushangilia mateso kwa wenzao. Alilianzisha yeye, sasa linamgeukia, acha ajifunze.
 
Haya mashetani yanayomtesa Dr Slaa, hakika yatavuna mateso mara 3 zaidi ya mateso yanayompa Dr. Slaa. Ngoja watakatifu wa Mungu waingie kwenye maombi ya nguvu.
Lema anasemaje
 
Na yeye Dr.Wilbrod Slaa wakati wake wa kufurahi utafika tu wala hauko mbali.
Huyo slaa nae ndumi la kuwili tu , watu walishampuuza na kumuona hazimtoshi.
Si alirudi ccm na kushabikia Hadi lissu alivyotandikwa risasi na magufuli na kusema alistahili.
Nini kinamuwasha Tena na inayomuumiza ni system hiyo hiyo aliyokua akiishabikia miaka mitano nyuma..
Huyu mzee inabidi wamnyooshe kweli kweli atoke akalee wajukuu Sasa aache upuuzi.
 
Back
Top Bottom