Hata yeye Slaa alishangilia dhidi ya Mbowe na Lisu huyohuyo. Acha apimiwe kwa kipimo kilekile ili ajifunze.Huu ndiyo ujinga uliopitiliza. Ukishaona mtu anashangalia sheria kuvunjwa basi hana tofauti na mwehu kwa sababu madhara yake yanakwenda mbali.
Leo nimefurahi mnoooo bado Lissu!!! Vipi hamuingii barabarani?
Kushangilia ukiukwaji wa sheria ni kukaribisha uhuni mlangoni mwako. Wewe badala ya kujifunza kutuka kwenye hili tukio, unarudia makosa aliyofanya! Kesho likikupata wewe au mtu wako wa karibu wengine nao watasema hivyo hivyo. Mwisho nchi haitakuwa salama.H
Hata yeye Slaa alishangilia dhidi ya Mbowe na Lisu huyohuyo. Acha apimiwe kwa kipimo kilekile ili ajifunze.
Wewe ndiye unatakiwa uambiwe uache upumbavu. Matukio yote yaliyotokea watu wenye akili, ikiwemo mimi tulipinga kwa nguvu zote. Slaa (siyo Silaa) aliposema nchi iko pazuri sisi tulipinga kwa nguvu zote. Ajabu ni kuwa wewe bado hujajifunza lolote na unataka chain ya uhuni iendelee. Je, nikishangilia sasa hivi Slaa kufanyiwa uhuni, huoni ni kama nakaribisha matatizo ambayo kesho yanaweza kunipata? Mimi na wewe nani mpumbavu?Ulikuwa mdogo kipindi silaa anasema mbowe ni gaidi na mahakama isimuachilie? Ulikuwa mdogo kipindi Magufuli anavunja Sheria na Silaa anasema nchi IPO pazuri? Ulikuwa mdogo wakati Silaa anasema zuio la mikutano ya kisiasa dhidi ya vyama vya upinzani ni sawa kisheria? Acha upumbavu silaa ni mpuuzi
Sasa wanalialia nn apambane km anajiona mwambaAnatakiwa awe muoga sana maana ni babu?
Hiyo katiba katengeneze ya kwako na mke wako,Hii serikali imewwka mfukoni mihimili mingine miwili . Ukienda kule kwa matonya ni mwendo wa kutetemekea mhimili uliojichimbia . Bila katiba mpya nchi itatuletea idd amini ikulu na si mbali
Huyo kwenye picha ndio slaa? Mbona amefanana na ponda?Aingilie Wakili Msomi Ponda
Mbona ni wengi tu?Ni uonevu,Mzee Slaa ananyimwa HAKI yake ya Innocent until proven otherwise.
Hii itakuwa kama ya Mbowe, wanata akashake mikono na #1Itakumbukwa leo Januari 31, 2025 ilitarajiwa kutolewa uamuzi wa pingamizi la uhalali wa hati ya mashtaka, ambapo kwa mujibu wa mwendo wa kesi hiyo endapo ingefanyika hivyo ndipo mahakama ingeweza kiendelea na shauri juu ya dhamana ya Dkt. Slaa.
Kwa sasa mtuhumiwa huyo ambaye leo hakuletwa mahakamani kutokana na kilichodaiwa kwamba kulikuwepo na changamoto ya gari iliyotakiwa kuwapeleka washtakiwa Mahakamani, hivyo anaendelea kukaa rumande.
Waseme tu, tusipowaacha wanafiki kama Dr. Slaa wakajifunza, kuna hatari watu wakaiga tabia yake ya kushangilia mateso kwa wenzao. Alilianzisha yeye, sasa linamgeukia, acha ajifunze.Kushangilia ukiukwaji wa sheria ni kukaribisha uhuni mlangoni mwako. Wewe badala ya kujifunza kutuka kwenye hili tukio, unarudia makosa aliyofanya! Kesho likikupata wewe au mtu wako wa karibu wengine nao watasema hivyo hivyo. Mwisho nchi haitakuwa salama.
Wacha ujinga Lissu ni wakili hivyo ni haki yake kumtetea Dr. Slaa. Kila likitajwa jina la Lissu kigololi lazima kikushuke,wewe dada mtu wa hovyo kabisa.Kuingilia lissu swala hili limezidi kuwa gumu
Mbona ile nyara yenu toka hifadhi ya Gombe Babu Tyson inaporomosha matusi kama imekunywa maji ya chooni?Slaa aache mdomo mchafu.Ajitambue yeye ni Babu sasa
Joyce Mukya bado hujapona sonona ya danga lako kupigwa KO?Leo nimefurahi mnoooo bado Lissu!!! Vipi hamuingii barabarani?
Joyce Mukya una mahaba mazito kwa Mbowe kuliko Dr.Lillian MteiMpumbavu sana wewe kwahyo Slaa kakulalamikia? Bado lissu lazima tumkamue ule usaha uliojaza tumbo lake
Huo ni msimamo wangu pia! Jamaa alizingua sana 2015,Dokta silaa ni mpuuzi aliyewasaliti watanzania katikati ya mapambano acha avune alichopanda.
Kwani alikutafuna Kwa mkopo?Leo nimefurahi mnoooo bado Lissu!!! Vipi hamuingii barabarani?
Lema anasemajeHaya mashetani yanayomtesa Dr Slaa, hakika yatavuna mateso mara 3 zaidi ya mateso yanayompa Dr. Slaa. Ngoja watakatifu wa Mungu waingie kwenye maombi ya nguvu.
Huyo slaa nae ndumi la kuwili tu , watu walishampuuza na kumuona hazimtoshi.Na yeye Dr.Wilbrod Slaa wakati wake wa kufurahi utafika tu wala hauko mbali.