Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Hao ni waislam wale wahuni wahuni wa kwenye vijiwe vya kahawa wanaojua kusema Bismillah na inshaallah, kwanza katika maongezi ya kiislam ni haram kupiga makofi siyo mwenendo wa waislam kupiga makofi katika vikao vyao.

Na kwenye uislam nabii muhamad ndo alikua nabii wa mwisho dunian hatakuja nabii mwingne yoyote isipokua nabii issa pekee ndo atarud kwaajili ya kukamilisha dalili za kiama
Kwa nini huyo Nabii Issa arudi kukamilisha dalili za kiama?
 
Sioni ajabu hata wanachama wa ACT na CHADEMA wamempokea mama Samia Lindi ni vizuri nabii mkuu katumia ubunifu kumuiga Raisi wenu kutengeneza watu

Ila tumuombe mungu asitume Umasikini
 
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.

These people must be very intelligent!
 
Benzi kwa kila ahehe punje hapo.
 
Back
Top Bottom