Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake...Habari zaidi zitawajia
Ndugu wanaume wenzangu..

Msioe Wala msipende.
Mtasababisha wanaume tuishe humu duniani.

Msioe Msioe Msioe MTAKUFA WOTEEE.

#YNWA
 
Mnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.

Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
 
Back
Top Bottom