Wataalamu wanasema hii ni Nyanda za juu Kusini, huu ni upepo unazunguka kanda zinazolima kahawa na ndizi kwa wingiSio kanda ile ile ya yule dada wa Mbezi Makabe? Au nimekosea Mkuu?
Mungu atunusuru, tunauana kwa kitu kisichojaa hata kwenye kikombeHakuna mtu alishatosheka kwenye mapenzi. Lambda awe na heshima na familia yake.
Juhudi za ziada zinahitajika ili kukomboa familia zinaangamia Sana.
Mara Neema, leo Koroso daahkuna maamuzi mengine magumu sana.
sababu itakuwa
1.pesa
au
2.mapenzi
Pole zake aiseeWatu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake...
Last month kuna dogo mmoja kidimbwi anaitwa bruno naye katoa bomba kisa kapigiwa horn tu yani kama tuko Kosovo aiseeWatu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake...Habari zaidi zitawajia
Aisee!. Honi tu?Last month kuna dogo mmoja kidimbwi anaitwa bruno naye katoa bomba kisa kapigiwa horn tu yani kama tuko Kosovo aisee
Kwani chanzo,sababu ya wao kufa ni nini?Ndugu wanaume wenzangu..
Msioe Wala msipende.
Mtasababisha wanaume tuishe humu duniani.
Msioe Msioe Msioe MTAKUFA WOTEEE.
#YNWA
[emoji44][emoji44]ya kweli hii....?????!!!!Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake...Habari zaidi zitawajia
Uno feniHapa lazima ni mapenzi. Mziba pancha anaziba tu pancha ya mkeo afu anapewa UNO.
Kuna msemo wa 2pac 'whenever a bit* is horny a nigga has to die.Aisee!. Honi tu?
Anyang'anywe silaha huyo.
Mkuu umeshajikatia tamaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndugu wanaume wenzangu..
Msioe Wala msipende.
Mtasababisha wanaume tuishe humu duniani.
Msioe Msioe Msioe MTAKUFA WOTEEE.
#YNWA
Hata waliotoa sababu ya mapenzi n wamekisia kama ww so hamna utofautiMnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.
Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
Sasa mbona anayeonekana hapo ni mmoja tu. Mwingine mbona haonekani
Mh inaelekea unapenda Sana kambale weweLkn jamani kwanini umpige mtu risasi umuuwe na ww ujiuwe!!?
wamechoka kula ugali kambale hawa....
Petrol effectsWatu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake...Habari zaidi zitawajia
Wanawake wanatumalizaNdugu wanaume wenzangu..
Msioe Wala msipende.
Mtasababisha wanaume tuishe humu duniani.
Msioe Msioe Msioe MTAKUFA WOTEEE.
#YNWA