KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,364
- 6,264
Silaha hizi wapewe watu waliopita mental checks za kutosha,wapeni hata mitihani ya kuandika,sisi "wanyonge" tutakuja kuuawa kisa kuchuna gari la mtu
Ahsante sana, kuna mzee mmoja najua ni mtu wa mbeya nilikua sijui kama ni mnyakiNi wanyaki hao
Tuanze na mleta madaAlieshudia na kusimulia
Haya nimeongeza nyama kidogo.Habari yako Haina nyama
Kwa hiyo na wewe ukijua mkeo anachukuliwa utaua!?Hapo unaweza kuwa mapenzi tu haya mambo tunayachukulia poa sanaaaa ilaaa yakikifikaaa unaweza UA kimasikhara.
Imagine jamaa kafuatwa unaambiwa achana na mke wangu jamaa kajibu mkeo mwenyew ndo ananitaka afuu bro una kibamia tulia tukusaidie kazi kimikwara kabsa then akimcheki jamaa ni kipande cha MTU huwezi mmudu lazima ale shaba.
Backbenchers bhana...hamuelewagi kabisa.Siyo maji yalimfika shingoni. Ni Risasi ndo ilipitia shingoni na kutokea kichwani. Hujasoma vizuri?
[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nasubiri kuimiliki. Itakua dawa ya wale ukipita kwenye mikusanyiko mara akushike tako mara nyonyo. Napiga kidudu chakeLast month kuna dogo mmoja kidimbwi anaitwa bruno naye katoa bomba kisa kapigiwa horn tu yani kama tuko Kosovo aisee
Mkuu, duka la madawa kkoo ni mchezo? Kilemba tu wajua bei yake? Unajua criterias za kumiliki bastola?Kwahiyo siku hz Hadi muuza madawa anamiliki pistol?!
Tuanze na mleta mada
Thank u. Hili ndo suluhisho aiseeSilaha hizi wapewe watu waliopita mental checks za kutosha,wapeni hata mitihani ya kuandika,sisi "wanyonge" tutakuja kuuawa kisa kuchuna gari la mtu
Si utuonyeshe tuNimeona clip,inasikitisha sana aisee.
Duuh! Tuko ktk nchi ya kufikirika iitwayo TanzaniaJust yesterday somewhere
Jamaa anadai haki yake kabisaa..
Jamaa anayedaiwa anafosi alipe ndivyo sivyo....