Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nasubiri kuimiliki. Itakua dawa ya wale ukipita kwenye mikusanyiko mara akushike tako mara nyonyo. Napiga kidudu chake
Kwani Warombo mna tako!!
Hahaaa natania tu!! Sasa utapiga vidudu vingapi!!
 
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Mauaji ya ajabu ajabu yamekithiri, shida sijui iko wapi
 
Itv
Screenshot_2021-07-17-21-24-19-849_com.instagram.android.jpg
 
Just yesterday somewhere

Jamaa anadai haki yake kabisaa..

Jamaa anayedaiwa anafosi alipe ndivyo sivyo..

Anayedai anafosi alipwe hela yake...

Jamaa anayedaiwa akamuuliza "hivi unanijua mimi ni nani"?

Anayedai akamuuliza nikujue kwa wewe nani, kwan wewe unanijua mimi nani?

Anayedaiwa baada ya kujibishwa hivyo akachukua simu akapanda hewani..

"Halooh Afande chukua defender njoo na njemba 4 mahali fulani" kwa ajili ya kumkamata anayedai...

Nikabaki nimeduwaa tu! Tanzania tumefika huku, mtu kudai haki yake ni kosa mpaka aitiwe polisi...

Tokea anayedaiwa aite maafande yule anayedai akaufyata na mwishoni akala kona...
Huyo anayedai atumie njia mbadala kumfundisha huyo Mbwigila adabu. Vizia yuko mwenyewe chobingo kisha mtwange Tofali la kichwa afu tambaa zako.. Pesa yako ataenda kuwalipa Malaika huko.
 
Unaweza kukutana na mtu ana mawazo yake we unaanza kuingia anganzake, utaambulia kuuwawa bure. Siku hizi maisha magumu kila mtu ana mambo yake kichwani, yawezekana jamaa alikuwa anakunywa akajiue huyo bwege mziba pancha akaleta ujuaji wa silaha.

Wanaoijua silaha ya moto hata huwa hawasogelei hapo unaita polisi kimyakimya unasepa hiyo bar, yeye analeta ustelingi.

Unaishia kuuwawa au kilema Cha kujitakia.
 
Mnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.

Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
Wengi wa vijana wa kibongo akili zao zinawatosha wao tu. Mbel, nyuma, kushoto, kulia wanaona ngono tu.
 
Back
Top Bottom