Mlevi ni kumkubalia kila kitu dogo amefeli sana huyo yani mlevi ukimshauri kitu anajifeel offendedyaani unakuta mlevi kaweka silaha mezani unaanza kumshauri!!!! ibebe peleka polisi.
pombe zikimkata atataga yai.
Nashukuru haina shida.Backbenchers bhana...hamuelewagi kabisa.
Kidding.
Huyo mziba pancha atakuwa alikuwa anamzibua mke wa huyo jamaa mwenye duka la madawa. Most likely story ipo hivyo.
Matukio ya kibongo yote yanafanan
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siyo maji yalimfika shingoni. Ni Risasi ndo ilipitia shingoni na kutokea kichwani. Hujasoma vizuri?
Mambo mengine huhitaji kuyafanya ukiwa muungwana. Jibu lako lingeweza kuku-cost uhai wako. Ni watu wengi hufa kwa mambo madogo kama haya. Japokuwa huyo jamaa anaonekana ni fala fulani lakini njia nzuri ya ku deal na watu kama hao ni kujitofautisha nao. Kumbuka ule msemo wa dont urgue with a fool..... they will drag down to their level, then beat you with experience. Ungemwambia tu hapana ndugu yangu mimi nimekuja kulipa bill yangu...Hayo mambo yapo jamani muelewe,kuna visa mi huwa moja kwa moja navihusisha na yaliyonitokea. Siku mitaa ya Obay kuna kontena tulikua tunakunywa then tunaingia mzigoni mpk sa nane tisa hivi na boss aliruhusu,kwahiyo wewe tu ila usilewe ukashindwa kazi.
Frustration za mikiki ya maishaMauaji ya ajabu ajabu yamekithiri, shida sijui iko wapi
Watu wanaojiua akili zao zinakuwa ziko kwenye ulimwengu mwingine.Yaani niache kuangalia Manchester United yangu na kula ugali maharage nijiue kibwege bwege tu,tena mfano eti kisa mapenzi..no men.
Ha ha ha....😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chanzo mpaka sasa ni ulevi wa kicenge! Jamaa inaonekana alibutua hela mahali ama aidha alikuwa na stress maana inadaiwa toka jana alikuwa anatembeza gambe Elements, leo kaamkia Sinza toka asubuhi watu wanakula nae maji!Naona mpaka sahv hakuna mtu aliyesema chanzo cha hao kutunguana ni nini!
Naona wadau humu wana ngangania itakuwa mambo ya madem
Ova
Dah...nmesoma nimechekaChanzo mpaka sasa ni ulevi wa kicenge! Jamaa inaonekana alibutua hela mahali ama aidha alikuwa na stress maana inadaiwa toka jana alikuwa anatembeza gambe Elements, leo kaamkia Sinza toka asubuhi watu wanakula nae maji!
Sema jamaa akawa anatoa toa chuma kile anawadolishia wenzie.Wengine wakawa wanamsifia kuwa mashine kali huku wanamtuliza tuliza akawa anairudisha mfukoni ila mara ingine dogo huyo ambaye ni marehemu alikuwa akimwambia kuwa airudishe bana anatishia watu kufanya hivyo jamaa akaona dogo ameleta dharau 😛 akamtia ya paja akamuongeza ya tumbo na kumalizia ya kichwa!
Baada ya kuona ile movie midamu imezagaa akaamua ajiondoe na yeye kwa kujichapa ya kooni!
Umemaliza kila kitu. Watu hawajui kucheza na akili za watu. Siyo mlevi tu hata mjinga. Unamsoma ukiona vipi vipi unamfagilia.Mlevi ni kumkubalia kila kitu dogo amefeli sana huyo yani mlevi ukimshauri kitu anajifeel offended
Hayo mambo yapo jamani muelewe,kuna visa mi huwa moja kwa moja navihusisha na yaliyonitokea. Siku mitaa ya Obay kuna kontena tulikua tunakunywa then tunaingia mzigoni mpk sa nane tisa hivi na boss aliruhusu,kwahiyo wewe tu ila usilewe ukashindwa kazi.
Mara nyingi tukawa unaweza bill unalipa mwisho hawajafunga. Huyu dada muuza bar kaja kunistua nafunga,
Nikamwambia nakuja kuclear kaondoka.
Muda naenda kumbe kuna lichangu moja hivi yale ya barabarani pale w bar limetoka kukojoa sina hata habari nalo nalo linatoka liko mbele mimi nyuma.
Mi naenda kulipa bill nafika kaunta yule demumuuzaji yupo ndani nikawa namuita. Huyu jamaa nimemkuta pale,bouncer flani hivi anakunywa tuskeryake mara kuona nafika pale na changudoa wake anafika kajua nimetoka kumtomba.
E bana sijakaa vizuri huyo kanivaa oyaa umetokakumtomba mke wangu? Mi nikajibu kwa dharau tu nani atombe **** chafu hiyo
Dah jamaa kanivaa mzima mzima tukachapana alipoona siendeki kindezi si akapasua ile bia kaja kani atack tumboni akanichana chana.midamu hiyo.
Pale sasa yule binti muuza kakimbia kazini kuwaambia Mwenzenu anauliwa huku. Timu nzima likaja jamaa kakimbia tumemsaka tinga tinga yoote hajaonekana.
Nikapelekwa hospitali pigwa nyuzi week mbili off poa tu. Nikarudi mzigo kiupole,
Kwa ujumla huyo changu msingida kwanza aliliwa vizuri tu na akatoa info zote huyo jamaa anapatikana wapi,
Tulimdaka hapo amerikan chips na alichokipata anakijua.
Hayupo.
Bibi yake sijui km anaendelea na biashara kuuza papuchi au kaacha
Kuna best kanitumia video sasa hivi ....hicho kibaa kiko vichochoroni lkn ni Kuna mambo hapo [emoji849][emoji849]Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Habari zaidi zitawajia
MUENDELEZO...
===
Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.
TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI:
View attachment 1857511
Dah...nmesoma nimecheka
Lakini Pole yao wote kwa kupoteza
Uhai
Ova
Yani waliomsifia walipigwa bia nyingi sana toka asubuhi wanamenya tu! Ila huyo jamaa aliejifanya baba ushauri! Mlevi hashauriki we kuwa mpambe tu tena nyenyekea kabisa 😅 mnaenda sawaUmemaliza kila kitu. Watu hawajui kucheza na akili za watu. Siyo mlevi tu hata mjinga. Unamsoma ukiona vipi vipi unamfagilia.
Alex Koroso, mchagga, wa miaka 37!Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Habari zaidi zitawajia
MUENDELEZO...
===
Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.
TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI:
View attachment 1857511
Duh!bia za dezo zimewakatisha uhaiYani waliomsifia walipigwa bia nyingi sana toka asubuhi wanamenya tu!