witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Sio mbali na barabarani...ni hapo kwa Remy kituon ukishuka ukaingia huo mtaa Chocho la kwanza mkono wa kulia . . . Ndo hao wanachuga wamejazana hapo ..full bangi na misifaEh bana we hio bar siipati au iko kichochoroni kama MiBS? Hapo hatari aisee usiende maana ni Soweto ndogo siwez kanyaga bar ya kipuuzi kama hio mimi
Mabia maserengeti light yamejazana mezani, hata hawanywi Heineken basi waiii[emoji848]