Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Tatizo sio gambe. Watu wangapi wanapiga gambe na vya moto na wamepiga kimya tu na wakimaliza wanashika ndinga zao vizuri wanaondoka? Nakazia, tatizo sio gambe. Kuna sababu zingine ambazo sababu wote hawapo basi hata waje FBI au Scotland Yard, ukweli hawataupata kwa 100%.
ova!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana!

Hicho kibaa unakijua hapo kwa Remy?

Kuna jamaa anaitwa nyoka mwanaapolo kutoka Arusha kaununua huo mtaa mzima hapo!

So pale ni full bangi, unatongozwa mdada ukikataa wanakubeba wanakuingiza kwenye gari kwa nguvu...usiombe[emoji848]
Ni muhanga wa hilo?
 
Kwa maelezo ya mtoa post inaonyesha jamaa alikuwa na misifa ya kumiliki cha moto ,, ukijumlisha na ulevi akajiona mwamba aliyejuu kuliko yeyote kiasi kuonywa alitafsiri ni dharau na kuamua kumbatua muonyaji. Baada ya kuona kweli kaua tena hadharani alijua jela inamsubiri, moyo haukuweza kuhimili yajayo ,, akaamua kujimaliza.

Nawashauri wamiliki vya moto, ,,kujaa sifa kwasababu una bastola ni ushamba tu ambao hupelekea matukio kama hayo au kujiweka hatarini dhidi ya majambazi."

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Siku nimekilikishwa hiki kitu
Niampa kuwa nitakitumia pale maisha yangu binafsi yatakapo kuwa hatarini na si vinginevyo
Nipo tayari unionyeshee mvua ya matusi
As long as my life is not endangered
Wont pull my gun...
Hata hivyo TZ watu wana discipline kubwa sana na handguns zao
 
Back
Top Bottom