Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Asante mkuuAah jama mnanishambulia bure tu.....!
sikujua mnakwazika na majibu yangu najua yanaishiaga humu humu....utani
anyway I will change
Asante mkuuAah jama mnanishambulia bure tu.....!
sikujua mnakwazika na majibu yangu najua yanaishiaga humu humu....utani
anyway I will change
Najua sana nmeongea kichokozi tu kuhusu wadada.Sante...ila mi ni mwanamke mkuu, wadada wazuri hawanihusu
Hot hair ipo?[emoji848]
Khaaaa[emoji849][emoji849][emoji848]Najua sana nmeongea kichokozi tu kuhusu wadada.
Hot hair ni nini Mimi mshamba ujue
Sio mvivu kabisa embu fafanua kidogo Hadi nime google naona sielewiKhaaaa[emoji849][emoji849][emoji848]
Mkuu acha uvivu basi, tafsiri hebu hilo neno then unipe jibu
Tena sio duka mojaMkuu, duka la madawa kkoo ni mchezo? Kilemba tu wajua bei yake? Unajua criterias za kumiliki bastola?
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16]Sio mvivu kabisa embu fafanua kidogo Hadi nime google naona sielewi
Nafurahia kusikia hivyo bro[emoji1666]Aah jama mnanishambulia bure tu.....!
sikujua mnakwazika na majibu yangu najua yanaishiaga humu humu....utani
anyway I will change
[emoji16] Mbuzi katoliki kumbe[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16]
Anyway kitimoto aka Noah ipo hapo?
Bila hiyo siji hapo
Nani kampa?Alex, mwanawe sana Kohoye G. Marehem kapewa bastola hivi karibuni nadhani hata miezi 3 haijafika.
Basii hamna ishu hapoo[emoji16] Mbuzi katoliki kumbe
Nisikudanganye sijawahi kusikia harufu yake pale
Ila Darajan white bup wapo wa kushato yaani
Leseni kapewa na JamhuriNani kampa?
Tamu kinoma sema hapaja changamka pako isolatedBasii hamna ishu hapoo
Ya darajani tamuu?
Jamuhuri jimotori au?Leseni kapewa na Jamhuri
Oyaaaa achana na mimi. Maswali yako ya kindezi ndezi katafute wa kumuulize. Jamuhuri ndio kitu gani?Jamuhuri jimotori au?