Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Uache kabisa pombe wakati hata maneno matakatifu yanasema kuwa Mbinguni kutakuwa na mifereji ya mvinyo bora kabisa.

Ecclesiastes 9:7: "Go, eat your food with gladness, and drink your wine with a joyful heart, for it is now that God favors what you do."
 
Kwanza kama kawaida nianze kwa kulaani kitendo alichokifanya Bw. Alex cha kumuua mwenzake kwa risasi na kisha kujiua.

Binafsi kama mchungazi wa mambo, nimegundua kuwa hawa watu hawakuwa wanafahamiana kabisa...
Katika amri 10 ni ipi inakataza pombe?

Ina maana mwalimu wetu mkuu Yesu alifanya dhambi alipotengeneza pombe kwenye harusi ya kanaan ambayo ilikuwa muujiza wake wa kwanza? Tenganisha kunywa pombe na kuwa mlevi.

Pombe ikitumika kama kiburudisho ni nzuri kwa afya yako. Ukinywa ili ulewe unaweza tumia hata dawa ya kikohozi ikawa pombe kwako. Too much of everything is halmful. Hata ugali, pipi , mafuta vikizidi ni sumu kwako kama kileo chochote.
 
Somo lingine mtu mwenye silaha yoyote muogope. Kama hakuna ulazima, ondoka. Watu wengine wamevurugwa wanatafuta sababu za kutoa roho wenzao.

Mwaka jana kuna kijana Kimara kafa kisa utani wa kubet, mwenzake kaliwa yeye anamcheka, jamaa kamaindi akachukua kisu cha mchoma chipsi, kamtisha jamaa kadhani utani, the next moment utumbo umemwagika. Kila mtu anashangaa, one boy is dead, mwingine yuko Ukonga
 
Jamaa aliyemzuia alikuwa usalama wa taifa.
 
Katika amri 10 ni ipi inakataza pombe?
Ina maana mwalimu wetu mkuu Yesu alifanya dhambi alipotengeneza pombe kwenye harusi ya kanaan ambayo ilikuwa muujiza wake wa kwanza? Tenganisha kunywa pombe na kuwa mlevi. Pombe ikitumika kama kiburudisho ni nzuri kwa afya yako. Ukinywa ili ulewe unaweza tumia hata dawa ya kikohozi ikawa pombe kwako. Too much of everything is halmful. Hata ugali, pipi , mafuta vikizidi ni sumu kwako kama kileo chochote.
1 Kor 6:9-11 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

Sio mimi ni biblia.
 
Hao unaowatangazia biblia kwanza hawamwamini yesu kama ni masiah. Wanatucheka ila wanafurahi kuwapelekea pesa za utalii. Myahudi mpaka kesho haamini Yesu ni masiah. Bado wanamsubiri. Ndiyo maana wanagundua kila hint ya kuona maisha ya wakati wa Yesu yalikuwaje.
 
Kwanza kama kawaida nianze kwa kulaani kitendo alichokifanya Bw. Alex cha kumuua mwenzake kwa risasi na kisha kujiua.

Binafsi kama mchungazi wa mambo, nimegundua kuwa hawa watu hawakuwa wanafahamiana kabisa.

Hivyo basi, hawakuwa na ugomvi wowote, chanzo kikubwa nadhani itakuwa ni pombe. Ndio, pombe ni mbaya sana.

Mziba pancha, (Gift) hakuwa amelewa ila muuaji (Alex) shemeji yangu, mmachame, alikuwa amelewa na alianza kuwatishia wenzake kwa silaha.

Stress +Pombe, ndizo zilizopelekea Bw.Alex kuchukua maamuzi hasi kama hayo.

WITO: Achaneni na pombe, kitu chochote Mungu anachokikataza, jueni kuwa sio kizuri. Mungu ndie alietuumba sisi, anajua nini tunahitaji kutumia ili tuishi vyema.

Mpaka mwezi wa 6, mimi binafsi Nebuchadinezzer, nilikuwa mlevi na mtu wa hovyo sana, ila nashukuru nilibatizwa nikajiunga na dhehebu la wapinga pombe na nguruwe, na watunza sabato. Sasa hivi maisha yangu yamekuwa bora sana.

Nimeanza hadi kufikiria ndoa, na mwaka kesho naweza muoa Linah, binti wa kimachame mwenye roho ya ucha Mungu.

1 Kor 6:9-11 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
Hapa pombe imesingiziwa tuu.....Ujinga wa huyo.jmaa.ndo shida
 
Somo lingine mtu mwenye silaha yoyote muogope. Kama hakuna ulazima, ondoka. Watu wengine wamevurugwa wanatafuta sababu za kutoa roho wenzao.

Mwaka jana kuna kijana Kimara kafa kisa utani wa kubet, mwenzake kaliwa yeye anamcheka, jamaa kamaindi akachukua kisu cha mchoma chipsi, kamtisha jamaa kadhani utani, the next moment utumbo umemwagika. Kila mtu anashangaa, one boy is dead, mwingine yuko Ukonga
Ndiyo maana sipendagi kuingilia mambo yasiyonihusu nakuwaga ndugu mtazamaji tu
 
Back
Top Bottom