Ecclesiastes 9:7: "Go, eat your food with gladness, and drink your wine with a joyful heart, for it is now that God favors what you do."Ule mstari unasema gongo lako na fimbo yako Bwana vyanifariji kumbe pale walimaanisha pombe ya gongo
JuiceTunywe nini?
Ndio shida ya silaha kutolewa hovyo hovyo.Story kamiliView attachment 1857752
Unavosema mererani ..moja Kwa moja unataka hii habari watu waihusishe na kaskazini sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..kama ya neemaKuna best kanitumia video sasa hivi ....hicho kibaa kiko vichochoroni lkn ni Kuna mambo hapo [emoji849][emoji849]
Mererani imejaa hapo, wahuni watupu
Umethibitisha kuwa ni mchaga??Alex Koroso, mchagga, wa miaka 37!
Du...h!
Mbona kwingine tunaambiwa ni "mziba pancha" au ndio hao hao... Anyways, silaha ni hatari hasa hasa ikiwa mikononi mwa mtu amelewaJamaa aliyemzuia alikuwa usalama wa taifa.
Na zimeshuka beiDah! Omba Mungu hizi bia zisikuzingue ukazima, dunia nzima itakuona hamnazo. Drink safe mazee
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Habari zaidi zitawajia
MUENDELEZO...
===
Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.
TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI:
View attachment 1857511
Hakunahatamoja n jamaa alikuwaa anapiga kelelee mshikaji akawwomba watulie akawrka bastola jamaa akawa anawaonya msiwrke bastola hadharani ila nahisiiiii na msongowamawazo piakuna maamuzi mengine magumu sana.
sababu itakuwa
1.pesa
au
2.mapenzi
Usalama wa Taifa anayelewa Baa hovyo, kisa wanalipwa kwa kutumia kodi kandamizi!!!Jamaa aliyemzuia alikuwa usalama wa taifa.
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Habari zaidi zitawajia
MUENDELEZO...
===
Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.
TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)
View attachment 1857511
Na wangeseeeeekabisaa siokwaupuuzi huuWalevi wote ni wapumbafu
Ushamba wa pombe,CHONDE CHONDE ULEVI NOMA!.
Tukio likishatokea watu wataongea mengi sana na ya kuzusha pia. Jamaa hakuwa mbabe kabisa alikuwa mpole na muoga wa vurugu. Nilisoma nae Old Moshi 97-2000. Alikuwa mchakarikaji wa maisha na mpenda gambe. Pengine ukubwani alikuwa na stress za maisha ambazo zilimbadilisha tabia.Kwa wanaomjua huyo jamaa, wanasema ni mtu mbabe mbabe tangu akiwa mdogo...
Na huenda hata hiyo silaha aliomba kuimiliki ili kuendeleza tu tabia yake ya utemi...
Ujinga ukitawala ,matokeo ndo hayoLkn jamani kwanini umpige mtu risasi umuuwe na ww ujiuwe!!?
wamechoka kula ugali kambale hawa....