Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Mongolandege ukiifika darajani una kunja kushoto the android ukifika darajani unanyooka

Napajua kote huko... nadhani pana jina la asili either Miembeni au Stakishari lakini ni kata ya Segerea Jimbo la Segerea... ila sio Kinyerezi... Kinyerezi inaanzia baada ya Mbuyuni.
 
Huu mwaka Ni mwaka ya wachaga kutoa roho za watu, juzi Kati mchagga kang'oa macho ya mama yake mzazi,juzi Tena mchagga kachoma nyumba na kumuua mme wake ,Jana tu mchaga kapiga Innocent man kwa risasi na kuua,Hawa watu ni makatili Sana kuliko jamii yoyote.

Mungu atunusuru na hii jamii ya wachaga ,sijui tu siku wakichukua nchi, watakua wanatufata majumbani na kutuua.

Rest in peace marehemu wote waliouiliwa na wachagga ndani ya wiki hii.
Wachaga wengi ni washamba shapu, limbukeni, roho mbaya, wizi.

Sasa wachaga ndio wanatisha kwa mauaji tena ya kikatili. Mtu anamng'oa mama yake macho kweli?

Mwingine ananunua petrol anamkaanga mpenzi wake tena amesubiri jamaa amemtundika goli 3 amejichokea ndio akamchoma moto.

Kuna mwingine kamtapeli waziri, na kuna huyu taahira kaua na kujiua.

Wachaga ni wa kukaa nao kwa akili.

Mademu zangu wote wa kichaga nimewapiga block kubwa sana. Na washkaji naishi nao kwa akili kubwa.

Video hizi hapa


 
kuna maamuzi mengine magumu sana.

sababu itakuwa
1.pesa

au

2.mapenzi
Chuma cha mjerumani, kuna tetesi kwamba huyo aliyeuawa alikuwa na mahusiano na mke wa huyo jamaa aliyeua, kuna uwezekano mkubwa, mtu hawezi kuamua kukupiga risasi bila sababu, na wanaume wengine wana madharau, unachukuaje mke wa mwenzio ?, wnawake ambao hawajaolewa mbon wako wengi sana !!
 
Sababu ni ulevi bna mbona watu mnakalili kua ni mapenzi tu.

Jamaa kakesha na ulabu monie bado yumo tu, na uyo chalii aliepigwa shaba alikua anamkataza si ajabu kujataza kwake ni kwa matusi na kufoka, jamaa akakasirika ngoma ikacheua mara 3, kuona kaharibu na huenda alikua hana cha kupoteza nae kajilipua.
Haziwezi pombe basi
 
Huu mwaka Ni mwaka ya wachaga kutoa roho za watu, juzi Kati mchagga kang'oa macho ya mama yake mzazi,juzi Tena mchagga kachoma nyumba na kumuua mme wake ,Jana tu mchaga kapiga Innocent man kwa risasi na kuua,Hawa watu ni makatili Sana kuliko jamii yoyote.

Mungu atunusuru na hii jamii ya wachaga ,sijui tu siku wakichukua nchi, watakua wanatufata majumbani na kutuua.

Rest in peace marehemu wote waliouiliwa na wachagga ndani ya wiki hii.
Sukuma Gang...mlishashindwa...jaribuni tena
 
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.

Habari zaidi zitawajia

MUENDELEZO...
===

Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.

TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)

View attachment 1857511
mzee wa tusker baridi unamjua huyo jamaa au sio mlevi mwenzako
 
Alikuwa babe wangu kitambo
Fighter Sana wa maisha.ila alikuwa na sifa dunia nzima yaani.alizaliwa kwenye utajiri mzee wake akafulia hakukubali .jamaa alikuwa mbishi hadi kwenye maisha kweli bwana akaja akatoboa.miss u abdi Alex koroso.unakumbuka uzi wangu wa watu naoelewana nao?? Nilimtaja
 
Hahaha chizi Sana wew
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh, nachukiaga haka katabia. Ndo maana nilipachukia kkoo. Sasa narudi tena. Yaan kitawakaaa.. kidudu nakipiga rirasi chaaap aache ujeuri maana ndo kinambust ukichaa.
 
Wachaga wengi ni washamba shapu, limbukeni, roho mbaya, wizi.

Sasa wachaga ndio wanatisha kwa mauaji tena ya kikatili. Mtu anamng'oa mama yake macho kweli?

Mwingine ananunua petrol anamkaanga mpenzi wake tena amesubiri jamaa amemtundika goli 3 amejichokea ndio akamchoma moto.

Kuna mwingine kamtapeli waziri, na kuna huyu taahira kaua na kujiua.

Wachaga ni wa kukaa nao kwa akili.

Mademu zangu wote wa kichaga nimewapiga block kubwa sana. Na washkaji naishi nao kwa akili kubwa.

Video hizi hapa


Ahaaahaaaahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mademu zako wachaga umewapiga block kuubwa sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
mzee wa tusker baridi unamjua huyo jamaa au sio mlevi mwenzako

Nafahamiana naye na tumewahi kukaa meza 1 lakini sikuwahi kuwa na amani naye anataka aongee yeye,Kila kitu anajua... Ubishi mdogo tu... Mfano Maeneo ya Oysterbay,Mikocheni,Mbezi Beach,Sinza,Kawe,Mbweni.Goba,Madale hayapo jijini Dar es Salaam HAPO MTAKAA SANA... ok all in all alikuwa Mpambanaji sana sema ndio hivyo...
 
Back
Top Bottom