BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Huwa unasikiaje lakin wakikushika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh, nachukiaga haka katabia. Ndo maana nilipachukia kkoo. Sasa narudi tena. Yaan kitawakaaa.. kidudu nakipiga rirasi chaaap aache ujeuri maana ndo kinambust ukichaa.
Basi uwe wapita nikushike Mimi tu
Japo nimecheka kweli.