Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Alafu mke na pesa zilizoachwa vyote vinaliwa na wahuniEeeh tukose wote au
Alafu mke na pesa zilizoachwa vyote vinaliwa na wahuniEeeh tukose wote au
Wabongo bana.....Inahuzunisha mkuu asee vijana tunaondoka
Maiti hazina machungu wala hisia ama hujui hiloAlafu mke na pesa zilizoachwa vyote vinaliwa na wahuni
Na wanyakyusa wapo,ni jina la Kibantu.korosso ni wakurya
Watu wanahitimisha utafikiri wanajua kisa.Mnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.
Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
Kwenu wanasheria, kwa hapo tena kuna jalada la kesi na uchunguzi wa vifo va wahanga hao wawili?Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake...Habari zaidi zitawajia
Sababu ni Nini mkuu?uyo jamaa namjua ni mpwa wangu msiba upo kweli
Kwani wabongo huwajui!!?Watu wanahitimisha utafikiri wanajua kisa.
Asante kwa starter
Usisahau kuuliza Koroso ni kutoka kanda gani
Najua. Lakini mke.isiwe sababu ya kujiuaMaiti hazina machungu wala hisia ama hujui hilo
Kwa Grace Mushi wa MakabeKiasili ni wa Mbeya ila amekulia kanda ya Kaskazini Arusha/Moshi.
Ya wapi yapo ya kitofauti mkuu😄Huyo mziba pancha atakuwa alikuwa anamzibua mke wa huyo jamaa mwenye duka la madawa..
most likely story ipo hivyo.....
matukio ya kibongo yote yanafanana
Possibly namba 2, mtu mwenye uwezo wa kumiliki silaha na anayeziba pancha wana huge economic gap, wanapoweza kuzungumza lugha moja ni hapo namba 2sababu itakuwa
1.pesa
au
2.mapenzi
Kuna maamuzi huwa ni magumu sana kuchukuaWatu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake...Habari zaidi zitawajia
Sio kanda ile ile ya yule dada wa Mbezi Makabe? Au nimekosea Mkuu?Asante kwa starter
Usisahau kuuliza Koroso ni kutoka kanda gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah sasa mwigulu kaingiajeMwigulu utalipia vifo hivi.
Hakuna mtu alishatosheka kwenye mapenzi. Lambda awe na heshima na familia yake.Possibly, akina mama wasipotosheka wanakaribisha yeyote