Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Nitag huo uzi niusome. Nimesikia jamaa ni usalama wa taifa
Alikuwa tu anafanya biashara .kafanya biashara nyingi Sana China,Nairobi,Thailand Dubai bongo etc
Ya usalama sijui bna
Alikuwa mtu wa bataa anafanya hili anafulia anaanza tena.alikuwa mbishii hataki kushindwa anatoboa Tena hivo yaani.mtu wa masifa Sana yaani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana!

Hicho kibaa unakijua hapo kwa Remy?

Kuna jamaa anaitwa nyoka mwanaapolo kutoka Arusha kaununua huo mtaa mzima hapo!

So pale ni full bangi, unatongozwa mdada ukikataa wanakubeba wanakuingiza kwenye gari kwa nguvu...usiombe[emoji848]
Pembeni ya lemax hiyo lodge nzuri na opposite yake ni mali za kijana mmoja anaitwa makelele mchimbaji wa tanzanite....alijenga kitambo hapo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana!

Hicho kibaa unakijua hapo kwa Remy?

Kuna jamaa anaitwa nyoka mwanaapolo kutoka Arusha kaununua huo mtaa mzima hapo!

So pale ni full bangi, unatongozwa mdada ukikataa wanakubeba wanakuingiza kwenye gari kwa nguvu...usiombe[emoji848]
Sio nyoka bana huyo anaitwa "nyokaa" 😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana!

Hicho kibaa unakijua hapo kwa Remy?

Kuna jamaa anaitwa nyoka mwanaapolo kutoka Arusha kaununua huo mtaa mzima hapo!

So pale ni full bangi, unatongozwa mdada ukikataa wanakubeba wanakuingiza kwenye gari kwa nguvu...usiombe[emoji848]
Da Witness yatakuwa yalishakukuta,polee [emoji28]
 
Alikuwa tu anafanya biashara .kafanya biashara nyingi Sana China,Nairobi,Thailand Dubai bongo etc
Ya usalama sijui bna
Alikuwa mtu wa bataa anafanya hili anafulia anaanza tena.alikuwa mbishii hataki kushindwa anatoboa Tena hivo yaani.mtu wa masifa Sana yaani
Nitag huo uzi
 
Wachaga wengi ni washamba shapu, limbukeni, roho mbaya, wizi.

Sasa wachaga ndio wanatisha kwa mauaji tena ya kikatili. Mtu anamng'oa mama yake macho kweli?...
Acha ukabila wakishamba. Tabia ya mtu mmoja haiwezi ku reflect uhalisia wa kabila zima. Unajua wachaga wapo wangapi duniani? Muwe mnatumia bongo zenu kufikiri.

Labda uwe unafanya utani lakini kama una maanisha unachokisema basi huna akili.
 
Back
Top Bottom