witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Exactly mkuuMnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.
Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
Hicho kibaa wamejaa wanaapolo kibao...misifa kushindana kununua bucket za bia!
Hii iko kama family bar...kila mtu wanamzoea zoea kifala!