macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Tanzania kuna janga la watu kutotafakari au kufikiri kwa kina. Anachoona mbele ndiyo jibu. Ni matokeo ya elimu yetu ya kukariri.Watu wanahitimisha utafikiri wanajua kisa.
Tanzania kuna janga la watu kutotafakari au kufikiri kwa kina. Anachoona mbele ndiyo jibu. Ni matokeo ya elimu yetu ya kukariri.Watu wanahitimisha utafikiri wanajua kisa.
Mkuu, duka la madawa kkoo ni mchezo? Kilemba tu wajua bei yake? Unajua criterias za kumiliki bastola?
Magifuli is dead... unanijua mimi nani wamerudi kwa kasi sanaJust yesterday somewhere
Jamaa anadai haki yake kabisaa..
Jamaa anayedaiwa anafosi alipe ndivyo sivyo..
Anayedai anafosi alipwe hela yake...
Mlevi anamshuti mtu alafu anatambua kuwa ana kesi ya mauaji ya kufungiwa maisha jela kisha anaona laifu halina maana anajishuti na yeye, ni ngumu kuamini jamaa alilewa...kashuti akijua anachofanya na consequence zake alizijua ndio maana akawa na akili ya kujimaliza...sio akili za pombe hizi..alichofanya ni PRE-MEDITATED. kuna dhulma kati yao au mapenzi...Ulevi noma
Ata kuku akichinjwa siunaonaga hewa yamwisho mwisho nikitokaMtu hewa inatoka katika koromeo risasi mbaya asee [emoji58]
Mwigulu lazima alipe 😂😂Mwigulu utalipia vifo hivi.
Koroso,ni wa kanda maalumu huyu nadhaniAsante kwa starter
Usisahau kuuliza Koroso ni kutoka kanda gani
Tozo za miamala pia zinaweza kuwa zimehusika hapa ☹️Jela Masihara....
Serikali Iangalie Swala Hili Kwa Ukaribu, Nadhani si kila mtu wa kupatiwa umiliki wa Bunduki.
Wapumzike Wanapostahili.
Wanaume tunapoongeza kipato tusibwete nguvu za kiume tuzitunze sana.Possibly, akina mama wasipotosheka wanakaribisha yeyote
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Habari zaidi zitawajia
MUENDELEZO...
===
Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.
Sikusikia awamu ya tano watu wakishuyiqna hivi.. sasa hivi ukimzingua mtu atakwambia unanijua mie ni nani? Ukibisha mguu wa kuku huoKishindo Cha Awamu Ya Sita!!!.Dar es Salaam ☺
Watoto atalea nani?Hapo kwa kujipiga risasi kweli ni fala haswaaa. Limbukeni pia kutishia kibastola chake
Ndiyo Ukweli WenyeweSikusikia awamu ya tano watu wakishuyiqna hivi.. sasa hivi ukimzingua mtu atakwambia unanijua mie ni nani? Ukibisha mguu wa kuku huo
😀😀😀