Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Ntatia timu...thanks again

We mtu poa sana lakini kwanini umemtia kifungoni rafiki yangu extrovert?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Holy Man Kuja pande hii
[emoji16] Dah! Mshikaji namuheshimu issue ilikuwa gari la Diamond jipya nikapakua ile picha inayoonyesha Tyre kipara nikatuma kwenye uzi ule.

Direct jamaa kani attack na matusi makali niache wivu nitageuzwa nikamuuliza kwanini mkuu akawa hajutii kunitusi vile ana enjoy nikafanya ku edit post yake ili anatukane tena akanitukana nikamuitia moderators ndiyo ilivyokuwa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Poleni wakuu wote nawakubali

Asee nilicheka sana ule uzi hahaahaa
 
Kwanza kama kawaida nianze kwa kulaani kitendo alichokifanya Bw. Alex cha kumuua mwenzake kwa risasi na kisha kujiua.

Binafsi kama mchungazi wa mambo, nimegundua kuwa hawa watu hawakuwa wanafahamiana kabisa.

Hivyo basi, hawakuwa na ugomvi wowote, chanzo kikubwa nadhani itakuwa ni pombe. Ndio, pombe ni mbaya sana.

Mziba pancha, (Gift) hakuwa amelewa ila muuaji (Alex) shemeji yangu, mmachame, alikuwa amelewa na alianza kuwatishia wenzake kwa silaha.

Stress +Pombe, ndizo zilizopelekea Bw.Alex kuchukua maamuzi hasi kama hayo.

WITO: Achaneni na pombe, kitu chochote Mungu anachokikataza, jueni kuwa sio kizuri. Mungu ndie alietuumba sisi, anajua nini tunahitaji kutumia ili tuishi vyema.

Mpaka mwezi wa 6, mimi binafsi Nebuchadinezzer, nilikuwa mlevi na mtu wa hovyo sana, ila nashukuru nilibatizwa nikajiunga na dhehebu la wapinga pombe na nguruwe, na watunza sabato. Sasa hivi maisha yangu yamekuwa bora sana.

Nimeanza hadi kufikiria ndoa, na mwaka kesho naweza muoa Linah, binti wa kimachame mwenye roho ya ucha Mungu.

1 Kor 6:9-11 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
 
Back
Top Bottom