Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Vibaa vya siku hizi vingi wanajazana watu wa ovyo,washamba,wageni wa pombe,wageni wa starehe mm sahv nna mwaka sijakanyaga bar au pub yyt za aina hizo maana unakwepa mambo mengi,hata huko kidimbwi sjui yaleyale

Ova
Lodge ya jirani n hapo ya jamaa yangu ni mchimbaji mererani so napajua sana....ila hicho kibaa cha hovyo tu...boss wangu alikua anunue hilo eneo 2018 bei ikawa juu
 
Nafkir alitaka kuandika Hot chair ..Yan Kitimoto ila sijui kachapia au ndo hajui tumpe elimu hapa hapa jukwaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikosea tu binamu yangu uyo kasoma bus la njano ngazi zote za elimu ya chini
 
Ulifanya makosa. Mtu wa namna hiyo hugombani naye. Unaedna polisi na kesi inaenda mahakamani. Huu ujinga uko sana Tanzania. Wanaume wengi bado ni malumbukeni. Exposure sifuri. Nchi zilizoendelea ukifanya hivyo utajuta kuzaliwa. Kwanza utaekwa kwenye rekodi ya sex offenders na maisha yako yatakuwa magumu sana. Wanawake wa Tanzania amkeni na msikubali kufanyiwá ujinga kama huo. Najua kwenye mfumo dume kama huyo kuan ugumu wake lakini chukueni hatua.
Aisee, asante sana mkuu. Lile tukio nilichukiaa. Sikufikaga tena ofisini aisee. Nilikaa mudaaa. Nilipata mfadhaiko sana. Niliogopa sana. Maybe pia ningekua na silaha ningemdhuru kweli. Nilipokuja sikia amekufa basi nikakaa kimya tu japo bado najisikiaga hasira kila nikilikumbuka lile shetani
 
Duh nyonyo tu imekuwa hivyo?!!!
 
Sawa lakini sehemu ambayo kila mtu ana kufahamu kama kweli unaishi na watu vizuri kuanzia masai,malaya,bodaboda na wahuni wengine watakulinda hilo dude unaacha nyumbani, linaongeza kauzito tu kiunoni na kwa wenye akili fupi linaongeza uzito akilini baada ya pombe.
Silaha pesa bastola mzigo. Kama unahela sana basi kuna mtu wa kubeba huo mzigo.
 
Back
Top Bottom