Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Mkuu kama unayo hiyo kitu, uliinunua pasina kuwa na uhitaji nayo!
Nilikuwa nayo kitambo,siku hizi sina na kuna uzi wa silaha nilikomenti nikiwa kwenye shughuli zangu nje ya mji baadhi ya hotel unaweza ikabidhi reception kuliko kwenda nayo uswazi kulewa, nikashambuliwa na wana usalama na wanasheria wa humu kuwa utaachaje moto reception,nikawauliza swali moja je ni kifungu kipi cha sheria kinanikataza kuacha moto sehemu salama kama reception na wana safety box na utaratibu unajulikana tu,ohhhh lazima uwe nayo kila sehemu ni wajibu wako nikaona nabishana na watu waliokariri sheria na siyo kuielewa.
 
Pembeni ya lemax hiyo lodge nzuri na opposite yake ni mali za kijana mmoja anaitwa makelele mchimbaji wa tanzanite....alijenga kitambo hapo
Ile lodge wakati mpya nimetafuna sana watoto wa Sinza, ila baada ya muda flani ilichoka, customer care haikuwa nzuri sana. Masogange kabla hajatoka kivile alikuwa anakaa mitaa ile pia.
 
Kuna post inasambaa mtandaoni inasema baba yake alikuwa jambazi miaka ya 80 na 90...alikuwa anaitwa James Oraa.
Yes. Nimemsikia sana. Halaf kuna majambazi yalitusumbuaga moshi jamanj. Kidogo yatuulie anko wangu takabaka housegirl housegirl alikujaga kufa na ukimwi. Ilikua 98. Kuna rimuli, mmasai wengine nimewasahau. Mmasai alipigwa bomba kwenye ubavu alipoenda iba mji meingine maana hiyo siku waliiba miji mitatu. Kuna boma waliua mtoto same night. Mmasai alipopigwa bomba alipita nje kwa myu akaanua kitenge akachana akaimgiza kwenye shimo la risasi. Sasa hv wameacha ni wafanya viashara wakubwa na wana familia. Wengine walikufa. Ulikua mtandao mkubwa sana.
 
Yani huyu inaonekana washkaji wa mjini wale wapenda mtelezo walikuwa wanakunywa bia zake kwa kumsifia hiyo bastola yake..hadi wamemtengenezea keki yenye picha ya bastola [emoji38]...sasa naona kichwa kikajaa sifa akajisahau...kweli wahuni sio watu wazuri...ila ndio namna ya kudeal na mlevi mpenda sifa..ukisema umshauri vizuri yatakukuta kama ya huyo dogo aliyeuwawa
 
Yes. Nimemsikia sana. Halaf kuna majambazi yalitusumbuaga moshi jamanj. Kidogo yatuulie anko wangu takabaka housegirl housegirl alikujaga kufa na ukimwi. Ilikua 98. Kuna rimuli, mmasai wengine nimewasahau. Mmasai alipigwa bomba kwenye ubavu alipoenda iba mji meingine maana hiyo siku waliiba miji mitatu. Kuna boma waliua mtoto same night. Mmasai alipopigwa bomba alipita nje kwa myu akaanua kitenge akachana akaimgiza kwenye shimo la risasi. Sasa hv wameacha ni wafanya viashara wakubwa na wana familia. Wengine walikufa. Ulikua mtandao mkubwa sana.
aisee
 
Wakati watu wengi vichwa vyao haviko sawa
Wakishalewa tu shida
Silaha hutakiwi kwenda nayo kwenye sehem za starehe
Huyu marehem tangu aimiliki silaha alikuwa akikaa na watu kdg tu kaionesha,Mara anaiweka mezani....bastille unaifanya kma sim

Ova
Tatizo sheria inataka silaha yako uwe nayo karibu...ukiacha mbali ikaibiwa ni msala au mtoto akaiotea ulipoificha nyumbani nayo pia noma... kipindi nipo sekondari kuna mshkaji mara moja moja alikuwa anatembea na bastola ya dingi na mshua alikuwa hata hajui..anairingishia huko ma slipway na coco enzi hizo..mshua alikuja kuambiwa na majirani alipomtishia mtu, bar, kwao kimara
 
Back
Top Bottom