Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kwenu wanasheria, kwa hapo tena kuna jalada la kesi na uchunguzi wa vifo va wahanga hao wawili?
 
Kuna maamuzi huwa ni magumu sana kuchukua
 
Hapo unaweza kuwa mapenzi tu haya mambo tunayachukulia poa sanaaaa ilaaa yakikifikaaa unaweza UA kimasikhara.

Imagine jamaa kafuatwa unaambiwa achana na mke wangu jamaa kajibu mkeo mwenyew ndo ananitaka afuu bro una kibamia tulia tukusaidie kazi kimikwara kabsa then akimcheki jamaa ni kipande cha MTU huwezi mmudu lazima ale shaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…