miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,088
Exactly. Anyways, masilaha tumewaachia. Siye tunataka mpunga tuHuyo kweli hamnazo. Anatakiwa akaikabidhi Kama anaitaka aanze mchakato upya wa kupewa.
Exactly. Anyways, masilaha tumewaachia. Siye tunataka mpunga tuHuyo kweli hamnazo. Anatakiwa akaikabidhi Kama anaitaka aanze mchakato upya wa kupewa.
Me nakuambia hapa hakuna anayemsemea alex. Sote tumebase kumsema gift. Tukishalitambua hilo basi. Naamini yako mengi hayasemwi. La baamedi hata siamini kbsHata mimi nilihisi hivyo .....
lazima huyu Gift kuna neno alitamka ndio lililomkosti.....
na hilo neno ndilo lilimchukiza Alex sana.....
mtu hawezi akakupiga shaba zote bure hivi hivi!!!
OkeyHuyo ni mama mdogo siyo mama mzazi
Hahaha the Galacticos...Wote walikuwa machori kina George sambeke, James Oraa,Sarakana James, John Makerere, John Bennet, John lekule na walikuwa na kiti chao backbencher pake rc Kristu Mfalme Moshi old is gold
Hahaha umeamshwa na Ndoto za ajabu ajabu ukiota kukimbizwa na Mijinamizi.Sasa hivi saa nne Maryland
Ulikua unasemaje?
Mkalidayo tuliaUmeona jamaa yako kazikwa kimasikini tofauti na wealth display ya mazishi ya Alex?
Unaona tofauti?
Muwe na adabu sometimes!
Mkalidayo nipe mchongo mwananguUmeona difference lakini au unajifanya hujaona?
Penye ukweli uwe unakubali mzeiya
Hahahaha fala Sana jamaaNjoo America
Ila uwe na bank statement ya maana ndio wakupe visa...kama huna wanakuridishia getini mshua
Au jitoe fahamu ingia na salio la Mpesa uwaonyeshe.....
Hahahaaa
Hizo hasira heri angejipiga risasi zote tatu yeye alex...watu wanamiliki bunduki huku wakiwa n stress za maisha,kwahiyo maneno yalivyomkera ndio akampiga mwenzake risasi.unajua mkuu ukiangalia hii thread unashindwa hata kucoment kitu...huyu dogo katika kuongea na watu wa mezani kwake...kuna neno aliliongea Alex akalisikia akageuka akamchekiii halafu Akageuka akatulia..hilo neno kumbe lilimkera Alex muda akawa ameliweka rohoni
Kwani unabastola.....Sasa hapa unamtaja ndugu yangu tutauanaaaaa. Weee weeee weee.... yaishie hapo
Bar za uchochoroni siendi,nakaa bar ambazo wanakunywa wenye akili sio wenye stress n visasi...istoshe huwa nakaa nje kabisa likitokea linipiteNi kweli kabisa alikosea sana. Ila tuepuke haya mambo. Kupambana na mtu mwenye silaha ya moto ni hatari hasa ukiwa huna mafunzo
Mkuu watu wanastress za kufa mtu na bunduki wanamiliki kitambo,kipindi cha magu wangejiua sana kwa kuyumba au kufilisika kibiashara....mimi nimekaa ar sana watu wanaroho ngumu unaweza mtolea chuma na asikuogope,dawa ni kuishi n watu vizuri tu,stress zako zikikuzidi jimalize wewe kma wewe,Mkuu
Huu utamaduni ndio unatakiwa
Kabla ya kumuongelesha mtu chochote ujifikirie mara mbili
Sure. Kama mtu anakunywa pombe kuanzia asubuhi hadi saa 11 jioni, huyo ni mlevi sugu. Hastahili kumiliki silaha. Background check ni muhimu sana katika maswala nyeti kama haya.Nadhani si kila mtu wa kupatiwa umiliki wa Bunduki.
Tulia wewe kipindi hicho sidhani km ulikuwepo duniani.Sawa kumbe nyie ofisi yenu ndo iko pale kontena unaingia kushoto unatokea st. Peters eehh kumbe ndo mlimuua jamaa yetu tumewatafuta kinyama.
[emoji23][emoji23] sina mkuu. Na siitaki tena. Ila biashara za kusema ndugu zangu huwa halivumiliki. Damu nzito ati. Unamsemaje mjukuu wa mangi selengiaKwani unabastola.....
Hiyo ndo wanashindwa hawa mayanki,km unaona vp usichukue ile makitu.Mkuu watu wanastress za kufa mtu na bunduki wanamiliki kitambo,kipindi cha magu wangejiua sana kwa kuyumba au kufilisika kibiashara....mimi nimekaa ar sana watu wanaroho ngumu unaweza mtolea chuma na asikuogope,dawa ni kuishi n watu vizuri tu,stress zako zikikuzidi jimalize wewe kma wewe,
Mwenye silaha mujeshimu. Mtaani kwetu kuna kiduka cha mangi, ni kubwa actually. Huwa wanakaaga hata wazee wakitoka mzigoni. Jirani kuna nyumba ya mwanajeshi. Siku moja wamekaa wanapiga vyombo saa 5 usiku ikapita boda kwanza. Yaan vijana wenyewe nyooka kabisaa[emoji23][emoji23] wakacheki ramani wakapitiliza. Waliporudi tena wakasimama. Ilikua finally ya europa manchester kama si last year ni mwaka juzi. Wakapaki boda lao. Wakawaambia qale mafaza akiwemo mjeda laza nyama chini[emoji23][emoji23][emoji23] vitambi chinii na usijikuneee. Bwanaa weee.. kila mtu kitambi kinaelemea juu kwa ju. Kila mtu chojoa simu hata kama kitochi. Mangi toa hela zote za mauzo na mpesa. Walevi wote toa kila sumni. Walichojoaaaaaa kiiilaaa kitu na saaa. Walipomaliza wakaamsha. Walikua na mashone AK47Bar za uchochoroni siendi,nakaa bar ambazo wanakunywa wenye akili sio wenye stress n visasi...istoshe huwa nakaa nje kabisa likitokea linipite
Marehemu alikuwa kichaa.Kabla ya kupata leseni ya kumiliki silaha angepelekwa mirembe kwa uchunguzi wa kina.
Mmefanya vizuri sanaExactly. Anyways, masilaha tumewaachia. Siye tunataka mpunga tu