Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Nami nasema walipaswa ita polisi. Na huyo mwana usalama kwa utashi baada ya kuona kiwanja siyo na kutoa maonyo si alisepa? That means anajitambua mbali na kwamba alipaswa muitia polisi. Ila aliona michongo nakula chombo halag mambo ya silaha tena yanakuja hatafai ngoja nikalale ama nihame kiwanja. Sitaki kuamini kwamba gift alimfata kiupole hapana. Lazima alikua na ushari. Sasa mtu yuko maji ana utimamu tena? Hamna kitu hapo. Maamuzi yoyote atayochukua majuto huwa ni baadaye kbs pombe zikikata. Sasa risk ya nini yote hiyo na huna mafunzo yoyote. Nani akabebe hiyo risk. Mimi mashukuru limetokea sote timejifunza both ways. Silaha si ya kwenda nayo viwanja, ma pia usimvamie mwenye silaha viwanja. Pia kama unaamini huna sifa za kuimiliki kama mimi usiende chukua. Tutamalizana. Kila mtu ajitathmini juu ya hili. Gift alikua ana nia nzuri tu naamini lakini the approach was wrong. Hata nikuone una jiwe nakaa mbali. Nani anataka manundu?
Kwenye maeneo ya pombe,watu wakishapombeka,pombe imeingia ubongoni
Maelewano ni mdg sana
Lolote hutokea

Ova
 
alikuwa anakula mke wa mtu.ilikuwa siku wanaenda kulana jamaa anachukua taxi wanaenda kukutana na mke wa mtu arusha.
kwahiyo watu wakiona gari ya jamaa iko mjini imepaki wanajua yupo!kumbe yupo zake gest na mke wa jamaa!

akaliwa mingo na kweli akaingia kwenye 18.jamaa mwenye mke akamfata mke wa J na kumpa mkanda mzima.
kisha wakamuibukia na njemba km 3 hivi!
akawekewa bastola akafirwa huku anachkuliwa video na mapicha jinsi alivyokunja sura akipigwa mshedede..
kipindi hicho tupo majalala ilikuwa tuna kopi za picha zake ukimpelekea anakupa elf50 halafu anazichana.mwisho wa siku akaona hizi picha naletewa kila siku napigwa tuu ela akawa hazinunui tena.ni kitambo sana hii I THINK NI 2005.ila jamaa bado yupo halafu kawa mlaini laini sijui alinogewa na mshedede hadi sshv analiwa..watoto na mke walifariki kipindi hicho hicho kwa moto..
O.M.G[emoji849][emoji849]

Huyo mke wake nani alimchoma moto?
 
Naomba mwenye ufahamu anijibu maswali yafuatayo.

1. Huyo Koroso ana mahusiano yeyote na Jaji Koroso??

2. Kuna jamaa anaitwa Benedict Koroso are they related??

Asante.
Hukutakiwa kum drugg huyo Winni Koroso kwenye ujinga wa humu...?
 
Huyu jamaa kafa kizembe sana.....
angekausha tu
unajua mkuu ukiangalia hii thread unashindwa hata kucoment kitu...huyu dogo katika kuongea na watu wa mezani kwake...kuna neno aliliongea Alex akalisikia akageuka akamchekiii halafu Akageuka akatulia..hilo neno kumbe lilimkera Alex muda akawa ameliweka rohoni
 
Kuna kibaka mtaani kwetu alikua ananithreat. Mamake ameolewa huku mtaani kwetu. Kamtaa ketu hakatoki. Woote wala nguruwe. Huyu kijana babake ni msambaa. Alishafariki. Nadhani malezi ya mamake yamemuharibu yale ya kisambaa. So kijana amekua na tendency ya wizi. Yaan mwizi kweli. Wenzake walishauawa sana. Yeye anatoboa. Wanasemaga ana hirizi. Sasa hiyo siku alipata kibarua jirani hapa. Kukawa kuna kupishana kiswahili na wamama wa pale. Ktk kutaka kueleweshana ndo akaingilia ananifukuza eneo lenyewe. Ndo nikamwambia we kama nani hapa. Na inakuhusu nn? Nikamwambia sometimes mnajitafutia matatizo kwa mambo yasiyokuhusu. Akanitishia sana kunifumua nikamwambia we niguse tu nikufurahishe. Akanitishia sana mpk mishipa ikamsimama. Akaongea shit nyingi sana. Basi nikaweka moyoni nikinunua ile bastola tu tayari nitadeal naye. Either nimlime miguu yote ama nivunje mbavu na nilikua naambia mpk majirani. Yaan ni kinyongo nilibeba. Na vile aliahidi kwamba nitaingia 18 zake nikasema basi poa. Ijapokua huwaga hatuna issue yoyote ya kutukutanisha. Haishi huku ila kutwa anakuja shinda mtaan hapa ndo anaiba iba. Nikasema siku tu aibe nisikie mwizi natoka na bomba. Ni mtu niliapia kbs namla shaba. Sema sasa hii kesi ya hawa kwakweli imenibadilisha. Nimeona i am too weak kumiliki hiki kitu. Kitanigharimu. Thats why nasema kila mtu ajipime kama amejitosheleza kumiliki hiki kitu. Na nilianza fanya follow up na mzee ananijaza kichwa lazima nikumilikishe. Mimi ni dhaifu[emoji23][emoji23] maana kupigana naye nisingeweza hivyo ningetumia silaha. Niliona kama amenidhalilisha sana hivyo i carried my pride with me .
Nimekuelewa ,pole Sana .Cha muhimu nikusamehe na kusahau na kujua kwamba kumiliki silaha Ni hatari Sana.
 
Kuna ndugu yetu niliona hamnazo kbs. Nduguye alipofariki eti akakimbilia bastola anadai alikua akimdai marehemu Na huo ndo urithi wake. Na kama sikosei huwez amini alijamilikishwa. Sisi tuliambiana haya mambo ya silaha tukae pembeni yasije tukuta bure yale ya yule dada wa barclays pale ilala bungoni
Huyo kweli hamnazo. Anatakiwa akaikabidhi Kama anaitaka aanze mchakato upya wa kupewa.
 
unajua mkuu ukiangalia hii thread unashindwa hata kucoment kitu...huyu dogo katika kuongea na watu wa mezani kwake...kuna neno aliliongea Alex akalisikia akageuka akamchekiii halafu Akageuka akatulia..hilo neno kumbe lilimkera Alex muda akawa ameliweka rohoni
Hata mimi nilihisi hivyo .....
lazima huyu Gift kuna neno alitamka ndio lililomkosti.....
na hilo neno ndilo lilimchukiza Alex sana.....
mtu hawezi akakupiga shaba zote bure hivi hivi!!!
 
Kumbe bado yuko? Maskini. Nimepita insta kwa joyce kiria hata najuta. Nimeliajee[emoji23] nimepata hurumaa[emoji24][emoji24] mamake gift analiaaa. Gift anaonekana mdogo jaman maana mamake bado kijana kbs. Analia kwa uchunguu.. daah. Wapumzike kwa amani...
Huyo ni mama mdogo siyo mama mzazi
 
Aisee unamfahamu vizuri alex, mimi nilishare naye locker moja bweni la hanang23 pale old moshi 2001 akiwa A-level PCB kulikuwa na novels nyingi ninayoikumbuka ni Burden of Proofs iliyoandikwa na Scott Turrow, alikuwa na perfumes za gharama , nguo zake na viatu pia vilikuwa expensive sana, tulikuwa tunamuita ABDI
Jirani yenu pcb alikuwa Kimaro mbao
 
Hayo mambo yapo jamani muelewe,kuna visa mi huwa moja kwa moja navihusisha na yaliyonitokea. Siku mitaa ya Obay kuna kontena tulikua tunakunywa then tunaingia mzigoni mpk sa nane tisa hivi na boss aliruhusu,kwahiyo wewe tu ila usilewe ukashindwa kazi.

Mara nyingi tukawa unaweza bill unalipa mwisho hawajafunga. Huyu dada muuza bar kaja kunistua nafunga,
Nikamwambia nakuja kuclear kaondoka.

Muda naenda kumbe kuna lichangu moja hivi yale ya barabarani pale w bar limetoka kukojoa sina hata habari nalo nalo linatoka liko mbele mimi nyuma.

Mi naenda kulipa bill nafika kaunta yule demumuuzaji yupo ndani nikawa namuita. Huyu jamaa nimemkuta pale,bouncer flani hivi anakunywa tuskeryake mara kuona nafika pale na changudoa wake anafika kajua nimetoka kumtomba.

E bana sijakaa vizuri huyo kanivaa oyaa umetokakumtomba mke wangu? Mi nikajibu kwa dharau tu nani atombe **** chafu hiyo
Dah jamaa kanivaa mzima mzima tukachapana alipoona siendeki kindezi si akapasua ile bia kaja kani atack tumboni akanichana chana.midamu hiyo.

Pale sasa yule binti muuza kakimbia kazini kuwaambia Mwenzenu anauliwa huku. Timu nzima likaja jamaa kakimbia tumemsaka tinga tinga yoote hajaonekana.

Nikapelekwa hospitali pigwa nyuzi week mbili off poa tu. Nikarudi mzigo kiupole,

Kwa ujumla huyo changu msingida kwanza aliliwa vizuri tu na akatoa info zote huyo jamaa anapatikana wapi,
Tulimdaka hapo amerikan chips na alichokipata anakijua.

Hayupo.

Bibi yake sijui km anaendelea na biashara kuuza papuchi au kaacha
Sawa kumbe nyie ofisi yenu ndo iko pale kontena unaingia kushoto unatokea st. Peters eehh kumbe ndo mlimuua jamaa yetu tumewatafuta kinyama.
 
dah mkuu unamchafua mzee wa watu vibaya sana bro...sijui kwann kama hujui kitu uliza bro na story yenyewe hata huijui..wewe unamzungumzia James Selengia na sio James Oraa..Selengia ana sheli mzee oraa hana sheli kwann unafanya hivi? acha kumchafua mtu usiemjua..
halafu hata kama ungekua unamjua james selengia bado story yenyewe sio hivyo ulivyosema huu uzi umeleta damage kubwa sana kwa watu
Sasa hapa unamtaja ndugu yangu tutauanaaaaa. Weee weeee weee.... yaishie hapo
 
Miss pablo kumpiga mtu risasi 3 ulidhamiria kufanya mauaji,inaonekana walevi siku hiyo walikua fiti wakatoka nduki...umeshampiga risasi ya mguu then unampiga ya kifua bdae kichwani,marehemu alikua zaidi ya mnyama
Ni kweli kabisa alikosea sana. Ila tuepuke haya mambo. Kupambana na mtu mwenye silaha ya moto ni hatari hasa ukiwa huna mafunzo
 
Nimekuelewa ,pole Sana .Cha muhimu nikusamehe na kusahau na kujua kwamba kumiliki silaha Ni hatari Sana.
Eeh, sitaki tena. Sina uvumilivu hasa kwa anayeninyanyasa kijinsia. Si kama lile lilevi tu. Nna kinyongoo. Lazima lkn nimwoshee huyu kibaka bado roho haijasuuzika[emoji23][emoji23] bastola sitaki ila lazima nimuoshee kimkakati
 
Back
Top Bottom