Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Kwani Polisi wangepewa taarifa kuwa kuna mtu anatishia wenzie silaha wangekuja?
Iwe mjini iwe vijijini Polisi sizani kama wangekuwa na wepesi wa kufika eneo la tukio na kuzuia mauaji.
Watakwambia usafiri hawana mara vile mara hivi.