Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kwani mtu akiwa na umarekani wewe unaumia nini? Si na wewe uwe?

Real friends will stand for their friends even in their absence.

The question is, whom will back you off when u aint there?
Sawa, kafa a coward death, ndo itabadilisha mazuri yake?
Kama ilishapangwa afe kifo hiko basi angekufa hivyo.

Kwani shida ni nini kukubali fulani alinipita ujanja kitu fulani enzi zetu? Envy ni mbaya sana. Hakuna aliyekua anamsemea marehem mazuri yake. Haijalishi wewe ni jambazi ama lah, always wako watu wako wa muhimu wakupendao sana wataumia mno.

Mf. Alex angekua rafiki yangu miaka hiyo na akawa amenionyesha upendo ama msaada wowote ule kwahiyo leo hii amekufa kifo hiki basi ndo iwe sababu ya kumdis? Jiwe mwenyewe wako wanaompenda mpk kesho na wengine hawakubali kama kafa bado.

Again, baba yangu anaweza kuwa jambazi, akafa leo unafikiri nitamwona mbaya? Yaan chuki zako ndo zinilazimishe nimwone mbaya milele? Yes alikosea kufanya alichofanya. Lakini tusilazimishane wote kuwa na akili moja ya chuki. Tuheshimiane juu ya hisia zetu. Unaitaje wenzako washamba ukute na wewe ulikua sigimbi huko hujitambui. Wivu tuache.
 
Sasa ndo nakuambia na sisi tukiwa na miaka 10 tunasikiliza hip hop. Labda Moshi kwenu ilikuwa ni ajabu. Wewe ni fala tu na Keyboad warrior. Lakini behind the screen you are a scared little maza faka😀
Why all this hate sasa?
 
Inasemekana ni madeni ya pombe. Kuna lolote la kweli hapo???
Yaan mtu awe fighter hivyo aje kujitungua kizembe kisa madeni ya pombe? Nadhani kuna frustrations alikua anapitia tu. Si ana maduka ya dawa? We all know how that business is. Inalipa. Japo huwez amini aisee hii biashara iliyumba sana aisee hapa kati. Ila bado mapambano
 
No hate. Anajifanya Bully na much know. Soma baadhi ya comments zake .
Tatizo mnambully nyie bwana sijui umarekanj and blah blah. Mbona sijaona hata mahali ameweka kinge cha woraa[emoji23][emoji23] na kwann mtu asikubali fulan ndo alimtoa kwenye ushamba fulan? Sinaga roho mbaya. Mtu akinjzidi namkubali sana. Tena kuna adui yangu kesho nampigia nimpe heshma yake japo hatujawahi kuwa na mashindano[emoji23][emoji23]
 
Soma comments zake za mwanzoni anazoelezea tukio kama alikuwepo. Kwamba Gift deserved to be shot ndo anachokimaanisha. What F*uck is that? Hata kama unamtetea rafiki, not to that extent kwa kweli. Mimi siku comment kuhusu ili tukio at all. Nilikuwa nasoma comments. Until nilipokutana na verbal diarrhea kutoka kwa huyo mshamba wa Moshi anayejifanya mjuaji
 
Kuwa nayo na mke asijue inawezekana sana
Ila ni ngumu kweli kweli.. yani utatumia mbinu ipi na utaificha silaha wapi hapo chumbani ambapo mkeo hawezi kujua au kupafikia?? Labda muwe mnalala vyumba tofauti!!
 
Soma comments zake za mwanzoni anazoelezea tukio kama alikuwepo. Kwamba Gift deserved to shot ndo anachokimaanisha. What F*uck is that? Hata kama unamtetea rafiki, not to that extent kwa kweli.
Hakusema kwamba alex did the right thing

Lakini pia kwa uelewa wangu mdogo wa silaha nilivyo short tempered naogopa. Na sitaki tena kuimiliki naghairisha process. Naona sina sifa. Unawezaje mnyang'anya silaha mmiliki wa silaha aliyomiliki? Hiyo ni very risky maana imani yake ni kwamba unataka mpora halaf uigeuze kibao. Hata mimi niwe na silaha yangu, huwezi kunijia kindezi kunipora wakati nimeilipia na naimiliki mimi. Kuna sheria gani inasema hivyo? Alex amejihami mbali na kwamba alikua tungi. Always napenda sikiliza pande zote. Je gift pia angeiwahi akamdhuru hata mwingine kesi si bado ingemgekia alex mwenye silaha mbali na kwamba amekosea? Alex alishaweka silaha chini na kuomba msamaha. What happened tena? Ama gift aliamini ndo turn yake na yeye kuhit back? Yawezekana pia kijiwe ni cha gift hiko kweli na alikua na backup.

Mwenyewe nimepata somo, tukiwa bar nikaona mambo ya bastola naondoka. Sitaki kushindana na mwenye kibomba. Naonaga ni mtihani sana kumiliki maana unapaswa kuilinda silaha na silaha ikulinde. Ni mali yako hapaswi ishika meingine. Na sote tuchukue hili somo. Kwanza sipendagi fujo na hasa mabar ya kipuuziii...nashukuri tukio hili litakua somo kwetu wengi sana. Nilidhani ni jambo jepesi sana kuitunza silaha. Sielewi hawa wazee wetu wamewezaje miliki aisee ma tusisikie matukio. Ama ndo wanaua kimya kimya? Sitaki kbs. Nitaua ama kuuliwa
 
Chalii mushi alitaka ajichukulie credit kwa korosso mangi
Yeye ashamuona jamaa amewada kindo kya mudo alafu yeye anamfata alikuwa anataka nini zaidi
Ulishawahi kuona wapi mtu mwenye bapa kichwani anaelekezwa cha kufanya

Walale pema wote sawia
 
Hakusema kwamba alex did the right thing
Sawa ugomvi wa Bar si mzuri. Lakini that Imbicile said it openly, kwamba hii kesi Alex angeshinda, amekimbilia tu kujiua kwa uwoga wake. Anasema hata yeye yupo na bunduki halafu anaona unamfuata lazima angeku shoot. Sasa huyo ni mtu wa kudebate naye kweli? Tayari ameconclude kwamba Gift alimprovoke Alex. Na no matter what the circumstance, owning a gun doesn't give you the right to kill or threaten people. Kuonyesha silaha hadharani kunaweka mmiliki wa silaha kwenye risk, wengi hawajui hili Unajua tu watu kujua una silaha inaweza kuwa hatari kwa maisha yako. Maana wapo ambao baada ya kuiona hiyo silaha watatamani waje kuichukua baadaye. Hata jambazi akikufata na anajua unayo silaha, ana nafasi kubwa ya kukuminia risasi kwanza ili usije ukaitumia hiyo silaha.
 
Chalii mushi alitaka ajichukulie credit kwa korosso mangi
Yeye ashamuona jamaa amewada kindo kya mudo alafu yeye anamfata alikuwa anataka nini zaidi
Ulishawahi kuona wapi mtu mwenye bapa kichwani anaelekezwa cha kufanya

Walale pema wote sawia
Yes. Nami nimeelewa hivi. Mimi siyo nlevi ila naelewa akili za walevi coz tunadeal nao. Hawaelekezeki hao. Maamuzi gao ya kishujaa sana. Ni kosa kisheria kutaka kumpora bastola mmiliki halali wa chombo hiko achilia mbali alex alikosea.

Yaan nimepata sana somo la nyongeza leo. Mwenye silaha siyo mwenzako kaa mbali ama kuwa ndezi yakupite. Hatupendi dharau lkn risasi ikishatoka tu ni either mauti ama ulemavu vikupate. Nani anataka. Nilivyo na hasira mimi sema tu maamuzi hayo nalgopaga
 
Sawa ugomvi wa Bar si mzuri. Lakini that Imbicile said it openly, kwamba hii kesi Alex angeshinda, amekimbilia tu kujiua kwa uwoga wake. Anasema hata yeye yupo na bunduki halafu anaona unamfuata lazima angeku shoot. Sasa huyo ni mtu wa kudebate naye kweli? Tayari ameconclude kwamba Gift alimprovoke Alex. Na no matter what the circumstance, owning a gun doesn't give you the right to kill or threaten people.
Yes. Very correct. Amesema hivyo kutokana na uhalisia wenyewe. Tukumbuke akili za pombe siyo. Tuliweke hili kichwani. And yes, maybe kweli wangeenda mahakaman alex angeweza shinda kulingana na ambavyo angejitetea. Its sad tumenpoteza gift na alex mwenyewe.
 
Hakusema kwamba alex did the right thing

Lakini pia kwa uelewa wangu mdogo wa silaha nilivyo short tempered naogopa. Na sitaki tena kuimiliki naghairisha process. Naona sina sifa. Unawezaje mnyang'anya silaha mmiliki wa silaha aliyomiliki? Hiyo ni very risky maana imani yake ni kwamba unataka mpora halaf uigeuze kibao. Hata mimi niwe na silaha yangu, huwezi kunijia kindezi kunipora wakati nimeilipia na naimiliki mimi. Kuna sheria gani inasema hivyo? Alex amejihami mbali na kwamba alikua tungi. Always napenda sikiliza pande zote. Je gift pia angeiwahi akamdhuru hata mwingine kesi si bado ingemgekia alex mwenye silaha mbali na kwamba amekosea? Alex alishaweka silaha chini na kuomba msamaha. What happened tena? Ama gift aliamini ndo turn yake na yeye kuhit back? Yawezekana pia kijiwe ni cha gift hiko kweli na alikua na backup.

Mwenyewe nimepata somo, tukiwa bar nikaona mambo ya bastola naondoka. Sitaki kushindana na mwenye kibomba. Naonaga ni mtihani sana kumiliki maana unapaswa kuilinda silaha na silaha ikulinde. Ni mali yako hapaswi ishika meingine. Na sote tuchukue hili somo. Kwanza sipendagi fujo na hasa mabar ya kipuuziii...nashukuri tukio hili litakua somo kwetu wengi sana. Nilidhani ni jambo jepesi sana kuitunza silaha. Sielewi hawa wazee wetu wamewezaje miliki aisee ma tusisikie matukio. Ama ndo wanaua kimya kimya? Sitaki kbs. Nitaua ama kuuliwa
Ukishaona mambo ya bastola bar,sijui mtu
Anaitoa anatishia kumpiga mtu basi
Hapo lazima uhai wa mtu upote

Kuna baadhi ya watu wakilewa wanakuwa wabishi,hawakubali kushindwa sasa kwenye hali kama hiyo lazima mtu apogee uhai

Kama gift angekuwa hajatumia kilevi
Asingemsogelea Alex,ila kwa sababu alikuwa ashaonja pombe lazima alikuwa na ubishi wa kumsogelea Alex

Kuna wakati fulani nlikuwa masai club kinondoni
Siku hiyo nlianza kunywa pombe kuanzia saa tatu asubuhi,nna kibunda tena
Nlikuwa na jamaa yangu mmoja tulipiga mtungi hadi mida ya saa tatu usiku,baada ya kuona mwenzangu ashatepeta kuna hali fulani au machale kama yalinicheza tuondoke pale,sasa mwenzang akawa hata kutembea hawezi
Nkawa namlazimisha tuondoke hadi jamaa akawa ss ananiletea utata,nkamforce jamaa kinguvu sasa ile tunashuka chini tunavuka Road tu kuelekea mtaa wa akiba Bank sahv ilipo(wakati huo Bank bado kuwepo)
Tunaingia kwenye gari naskia makelele,kumbe wazee wa kazi wamevamia pale na wamefunga Road
Watu mule ndani waliamrishwa walale chini
Wakawa wanapigwa sachi, sasa mule kulikuwa na mtu mmoja alikuwa bwiiii tena mteja alikuwa mmasai,akawa analeta ujeuri
Ahh jamaa wazee wa kazi walimfumua risasi ya kichwa papa hapo alikata moto
Ndomana nasema kwenye sehemu ambayo watu washakuwa vyombo,ikitokea mambo ya silaha uwezekano ni mkubwa wa mtu kupoteza uhai

Ova
 
Hakusema kwamba alex did the right thing

Lakini pia kwa uelewa wangu mdogo wa silaha nilivyo short tempered naogopa. Na sitaki tena kuimiliki naghairisha process. Naona sina sifa. Unawezaje mnyang'anya silaha mmiliki wa silaha aliyomiliki? Hiyo ni very risky maana imani yake ni kwamba unataka mpora halaf uigeuze kibao. Hata mimi niwe na silaha yangu, huwezi kunijia kindezi kunipora wakati nimeilipia na naimiliki mimi. Kuna sheria gani inasema hivyo? Alex amejihami mbali na kwamba alikua tungi. Always napenda sikiliza pande zote. Je gift pia angeiwahi akamdhuru hata mwingine kesi si bado ingemgekia alex mwenye silaha mbali na kwamba amekosea? Alex alishaweka silaha chini na kuomba msamaha. What happened tena? Ama gift aliamini ndo turn yake na yeye kuhit back? Yawezekana pia kijiwe ni cha gift hiko kweli na alikua na backup.

Mwenyewe nimepata somo, tukiwa bar nikaona mambo ya bastola naondoka. Sitaki kushindana na mwenye kibomba. Naonaga ni mtihani sana kumiliki maana unapaswa kuilinda silaha na silaha ikulinde. Ni mali yako hapaswi ishika meingine. Na sote tuchukue hili somo. Kwanza sipendagi fujo na hasa mabar ya kipuuziii...nashukuri tukio hili litakua somo kwetu wengi sana. Nilidhani ni jambo jepesi sana kuitunza silaha. Sielewi hawa wazee wetu wamewezaje miliki aisee ma tusisikie matukio. Ama ndo wanaua kimya kimya? Sitaki kbs. Nitaua ama kuuliwa

Doooh kama kweli Gift alileta ubabe mbele ya Manati ya Mzungu basi alikosea....Ilitakiwa atambue CHUMA hakina macho kile.

Hata mimi sihitaji kabisa kumiliki BOMBA maana sina uwezo wa kuvumilia ujinga.
 
Back
Top Bottom