babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Mkuu kuna siku wanne walichabangwa njugu nyingi mno nawaona,ndio nikachomoka na kubadilika kimoja.hauna wenzako ambao wapo jela??
Mpaka leo hizo mambo naangaliaga tu
Mkuu kuna siku wanne walichabangwa njugu nyingi mno nawaona,ndio nikachomoka na kubadilika kimoja.hauna wenzako ambao wapo jela??
hapo pa he was God in moshi pamenihuzunishaWewe ni failure
Mwaka 1994 wewe ulikua wapi na ulikua na miaka mingapi?
Moshi ulikua unaijua miaka hiyo?Huijui
Alex alikua na miaka 10,ametuletea album ya Nas Illmatic iliyotoka April mwaka huo
Get your head straight,he was 10 years old!
Alex alikua ana magazeti ya porn yanayotoka America,mapya,anakoyatoa no one knows!
He was goddamn barely 11 years in 1996!
All the NBA Action video cassettes alikua anazileta,anakozitoa no one knows!
Hivi unajua utotoni wewe?These were great experiences....The lil nigga was God in Moshi
He was 11years old wewe maiti
Wewe ukiwa 11 years old ulikua unatoka makamasi mengi kiasi gani?Stop this nonsense
Sisi ndio tulikua nae,we know how legendary this kid was!
Hakuna kitu cha utotoni utakisema aache kua nacho au akilete kesho yake,never!
Sio rafiki wa Bob sambeke huyo???Exactlllllly
Ndio ndigi yake....famously James Oraa...ila ni James Korosso government name yake
Ukimuona kwa macho watu walikua wanam-confuse na Wajaluo wa Kenya....Alikua anapenda gari za Surf sana
Nasikia sas hivi kachoka kiutajiri
Alex alianza kwenda kumtembelea home kwake majengo baada ya kufaulu primary kwenda form 1 Old Moshi...maana ni mtoto wa nje
Maduka ya dawa yako wapi? Nasikia yako mitandaoni. Unajua kufanya lile tukio lazima uwe akili nusu kichwani? Mambo ya maduka ya dawa ni vigezo vya kukopea bia dukani au bar. Madalali wana majigambo sanaYaan mtu awe fighter hivyo aje kujitungua kizembe kisa madeni ya pombe? Nadhani kuna frustrations alikua anapitia tu. Si ana maduka ya dawa? We all know how that business is. Inalipa. Japo huwez amini aisee hii biashara iliyumba sana aisee hapa kati. Ila bado mapambano
Mzee mbona hujarudi kuleta mrejesho kamili?mkuu ni story ndefu sana ila alikua amedhamiria kama 2 weeks before na sababu ni kitu kidogo sana...ila yeye aliweka moyoni ishu ya kawaida...mda mrefu....! hakua na kichaa ila alikua na kisasi, aliowatafuta wote walikataa kuja maana aliwapigia simu wakagoma kuja...! kesho nitawaelezea muundo wa baa ya lemax na aina ya watu wanakaa hapo ni wa aina gani...na tabia zao...ile sio baa ya kawaida...ila mkinicrush ntakauka na hamtajua kitu..!
Unaonaje kitendo cha mtu mwenye silaha kwenda nayo bar na kuanza kuitoa toa na kuringishia watu? Huo siyo ushamba? Kwa nini asiiache kwenye gari ambapo ni sehemu salama zaidi? What if wazee wa kazi wanavamia mlipo then wanakuona una silaha? Si wanaweza kukuona threat kwao na wewe ukawa victim wa kwanza?Hakusema kwamba alex did the right thing
Lakini pia kwa uelewa wangu mdogo wa silaha nilivyo short tempered naogopa. Na sitaki tena kuimiliki naghairisha process. Naona sina sifa. Unawezaje mnyang'anya silaha mmiliki wa silaha aliyomiliki? Hiyo ni very risky maana imani yake ni kwamba unataka mpora halaf uigeuze kibao. Hata mimi niwe na silaha yangu, huwezi kunijia kindezi kunipora wakati nimeilipia na naimiliki mimi. Kuna sheria gani inasema hivyo? Alex amejihami mbali na kwamba alikua tungi. Always napenda sikiliza pande zote. Je gift pia angeiwahi akamdhuru hata mwingine kesi si bado ingemgekia alex mwenye silaha mbali na kwamba amekosea? Alex alishaweka silaha chini na kuomba msamaha. What happened tena? Ama gift aliamini ndo turn yake na yeye kuhit back? Yawezekana pia kijiwe ni cha gift hiko kweli na alikua na backup.
Mwenyewe nimepata somo, tukiwa bar nikaona mambo ya bastola naondoka. Sitaki kushindana na mwenye kibomba. Naonaga ni mtihani sana kumiliki maana unapaswa kuilinda silaha na silaha ikulinde. Ni mali yako hapaswi ishika meingine. Na sote tuchukue hili somo. Kwanza sipendagi fujo na hasa mabar ya kipuuziii...nashukuri tukio hili litakua somo kwetu wengi sana. Nilidhani ni jambo jepesi sana kuitunza silaha. Sielewi hawa wazee wetu wamewezaje miliki aisee ma tusisikie matukio. Ama ndo wanaua kimya kimya? Sitaki kbs. Nitaua ama kuuliwa
Ilikuwaje hii?Hivi huyu James oraa si ndio mkewe mkubwa na watoto walifia ndani kwa ajali ya moto?
Asante sana mkuu kwa kuliweka kisomi. Hivi Masai bado upo,? Very sad and sorry for him.Ukishaona mambo ya bastola bar,sijui mtu
Anaitoa anatishia kumpiga mtu basi
Hapo lazima uhai wa mtu upote
Kuna baadhi ya watu wakilewa wanakuwa wabishi,hawakubali kushindwa sasa kwenye hali kama hiyo lazima mtu apogee uhai
Kama gift angekuwa hajatumia kilevi
Asingemsogelea Alex,ila kwa sababu alikuwa ashaonja pombe lazima alikuwa na ubishi wa kumsogelea Alex
Kuna wakati fulani nlikuwa masai club kinondoni
Siku hiyo nlianza kunywa pombe kuanzia saa tatu asubuhi,nna kibunda tena
Nlikuwa na jamaa yangu mmoja tulipiga mtungi hadi mida ya saa tatu usiku,baada ya kuona mwenzangu ashatepeta kuna hali fulani au machale kama yalinicheza tuondoke pale,sasa mwenzang akawa hata kutembea hawezi
Nkawa namlazimisha tuondoke hadi jamaa akawa ss ananiletea utata,nkamforce jamaa kinguvu sasa ile tunashuka chini tunavuka Road tu kuelekea mtaa wa akiba Bank sahv ilipo(wakati huo Bank bado kuwepo)
Tunaingia kwenye gari naskia makelele,kumbe wazee wa kazi wamevamia pale na wamefunga Road
Watu mule ndani waliamrishwa walale chini
Wakawa wanapigwa sachi, sasa mule kulikuwa na mtu mmoja alikuwa bwiiii tena mteja alikuwa mmasai,akawa analeta ujeuri
Ahh jamaa wazee wa kazi walimfumua risasi ya kichwa papa hapo alikata moto
Ndomana nasema kwenye sehemu ambayo watu washakuwa vyombo,ikitokea mambo ya silaha uwezekano ni mkubwa wa mtu kupoteza uhai
Ova
Thank you. Hii story naona kama hayajaelezwa kweli upande mwingine.. tujipime sana aisee. Ni kosa kubwa sana kama ilikua ni aim yake. Yaan ni kwamfano mtu anayebuka kwenye zebra anakuambia akinigonga atanilipa. Imagine. Hajui gari ni chombo cha moto na hakina macho. Hajui hata akilipwa ameshapata ulemavu wa kudumu ama kupoteza uhai wake kbs.Doooh kama kweli Gift alileta ubabe mbele ya Manati ya Mzungu basi alikosea....Ilitakiwa atambue CHUMA hakina macho kile.
Hata mimi sihitaji kabisa kumiliki BOMBA maana sina uwezo wa kuvumilia ujinga.
Nimeona huko wanasema ana maduka ya dawa. I worked in a pharma. Najua jinsi ilivyo na hela. Hata kama biashara zimeyumba. Nani kasema alex ni dalali.Maduka ya dawa yako wapi? Nasikia yako mitandaoni. Unajua kufanya lile tukio lazima uwe akili nusu kichwani? Mambo ya maduka ya dawa ni vigezo vya kukopea bia dukani au bar. Madalali wana majigambo sana
.umesema sahihi kabisa na hakuna aliyesema alex amefanya sawa. Na umesikia wenzie wakisema huwa ni mpenda sifa sana. Ndo nature yake. Huwezi sema ni mshamba. Na maybe aliona hiyo ndo self deffence yake kwake maana wanasema hata nguvu za kupugana hana. Nilichojifunza bar epuka ugomvi. Yaan kaa mbali kbs. Kwanza bora ninywee home kama ni hayo mabia.Unaonaje kitendo cha mtu mwenye silaha kwenda nayo bar na kuanza kuitoa toa na kuringishia watu? Huo siyo ushamba? Kwa nini asiiache kwenye gari ambapo ni sehemu salama zaidi? What if wazee wa kazi wanavamia mlipo then wanakuona una silaha? Si wanaweza kukuona threat kwao na wewe ukawa victim wa kwanza?
Haisemekan Ni kweli wanakunywa Sana mipombe.inasemekana wanakunywa sana pombe
Ujinga tu mtu kuwa na porno magazine ndio ujanja.Listen man
Wewe ni mtu mzima wa miaka 30 leo unapitisha judgement kwa children wa miaka 10
Like man,really?
Hawa ni watoto
They found hiphop and basketball kama vitu wanavyovipenda,naturally wataongea kama idols wao wanavyoongea kwenye records
These are kids,10 years old!
Stop this judgement to these kids!
Wewe una chuki na Kingereza cha America,ni chuki zako binafsi,sio wanadamu wote tunakichukia
Niambie wewe,ulipata albums na video za hiphop artists na kuweza ku-recite rap lyrics ukiwa na miaka mingapi na mwaka gani?
Alex did it 1994 akiwa na 10 years old....na I'm sure chini ya miaka hiyo alikua anajua,mimi nilimfahamu around 1994 kabla ya hapo sikujua chochote
As per his proficiency at that time 1994 alikua mzoefu maana yake alikua anajua vitu vingi sana alipokua below 10 years old
Kila mtu aliesoma Old Moshi or Mawenzi secondary,Rau primary,Mwereni primary,waliocheza basketball Baptist na CCP grounds know this child...wanaweza toa ushahidi hapa
Kumbuka ni Moshi in 1990's,mji ulikua bado mdogo mno,internet cafe ni moja mji mzima,hakuna maduka ya electronics wala magazines wala chochote,lakini 10 year old child alikua na kila kitu,alipokua anavipata hatukujua,regardless kwa utotoni kule he was beyond legendary
Wewe na uzee wako wote huu nikikwambia nipatie movie ya Space Jam : The Legacy,utaanza kutoa mimacho.....acha upumbavu huu kudharau katoto ka 10 years old
Chuki zako jiambukizie wewe mwenyewe,usizisukume kwa wengine!
Mwaka 1994 hawa watoto walikua 10 years old below that walikua na mwaka 0-9,ni watoto wananyonya hawa!
Stop wivu na watoto wadogo
Alionekana chizi ndio maana walitaka apokonywe Silaha.Walificha mkuu
Hawakutoa sababu kwanini Gift alimfata Alex
Kuna mmoja kajifanya kulainisha maneno eti alimfata kumuomba "kaka usioneshe bastola tulia sio vizuri"
Si kweli maana ugomvi wa kuonesha bastola uliisha na akaomba msamaha akarudi kunywa
Baada ya lisaa hawa akina Gift na wapumbavu wenzake walipanga aende akamnyang'anye bastola yake ndio maana alienda kishari....bad mistake....Alex took his life
Walitaka kumnyang'anya bastola yake hilo ndio tatizo
Wanaficha hilo
Hata mimi nimefurahi limekufa, nimefarijika kwamba alijiachia risasi moja kwa ajili yake, marehemu hakua na akili, marehemu ni taahira.Alionekana chizi ndio maana walitaka apokonywe Silaha.
Unakimbilia kusema akitaka kupokonywa Silaha ila husemi kwanini walitaka kumpokonya Silaha. Ndio maana tunasema Hilo Marehemu ni limbukeni. Watu wangejuaje ana Silaha Kama asingekuwa anaonesha hadharani?
Kila mtu kwenye hii nchi anaemiliki Silaha akisema awe anaionesha Silaha yake patakalika kweli ? Na sheria ya umiliki wa Silaha inasemaje kuhusu kuonesha Silaha hovyo ?
Acheni kutetea makosa hata Kama alikuwa rafiki semeni ukweli daima.
Marehemu alikuwa mshamba hata Kama amewahi kwenda Marekani haimuondolei kuwa mshamba.
Bora limekufa shenzi Lile limetuuwia innocent citizen.
Eeeh Basi Marehemu alikuwa mshamba na maiti Yake ichapwe viboko kwa kutuuwia innocent citizen.Kwani mtu akiwa na umarekani wewe unaumia nini? Si na wewe uwe?
Real friends will stand for their friends even in their absence.
The question is, whom will back you off when u aint there?
Sawa, kafa a coward death, ndo itabadilisha mazuri yake?
Kama ilishapangwa afe kifo hiko basi angekufa hivyo.
Kwani shida ni nini kukubali fulani alinipita ujanja kitu fulani enzi zetu? Envy ni mbaya sana. Hakuna aliyekua anamsemea marehem mazuri yake. Haijalishi wewe ni jambazi ama lah, always wako watu wako wa muhimu wakupendao sana wataumia mno.
Mf. Alex angekua rafiki yangu miaka hiyo na akawa amenionyesha upendo ama msaada wowote ule kwahiyo leo hii amekufa kifo hiki basi ndo iwe sababu ya kumdis? Jiwe mwenyewe wako wanaompenda mpk kesho na wengine hawakubali kama kafa bado.
Again, baba yangu anaweza kuwa jambazi, akafa leo unafikiri nitamwona mbaya? Yaan chuki zako ndo zinilazimishe nimwone mbaya milele? Yes alikosea kufanya alichofanya. Lakini tusilazimishane wote kuwa na akili moja ya chuki. Tuheshimiane juu ya hisia zetu. Unaitaje wenzako washamba ukute na wewe ulikua sigimbi huko hujitambui. Wivu tuache.
Hata huo umri wake wanaosema 37 nina wasiwasi nao, kwa muonekano wake na stories zake tulizosikia humu inaonesha ni mtu wa 40's, kuchakachua umri kawaida sana siku hizi hasa hawa watu wanaojiita wa kishua! Kama aliweza kutumia jina la mtu shuleni atashindwaje kuchakachua umri wake?Hata mimi nimefurahi limekufa, nimefarijika kwamba alijiachia risasi moja kwa ajili yake, marehemu hakua na akili, marehemu ni taahira.
Nahisi pia marehemu alikua shoga na lile ni mwili lake limejaa nyama watakua walikua wanaliinamisha, pumbavu sana.
Hayo maduka ya Dawa unajua anamiliki Nani au mnaongea tu story za mabaa ?Yaan mtu awe fighter hivyo aje kujitungua kizembe kisa madeni ya pombe? Nadhani kuna frustrations alikua anapitia tu. Si ana maduka ya dawa? We all know how that business is. Inalipa. Japo huwez amini aisee hii biashara iliyumba sana aisee hapa kati. Ila bado mapambano
Jamaaa shamba Sana aiseeh.Soma comments zake za mwanzoni anazoelezea tukio kama alikuwepo. Kwamba Gift deserved to be shot ndo anachokimaanisha. What F*uck is that? Hata kama unamtetea rafiki, not to that extent kwa kweli. Mimi siku comment kuhusu ili tukio at all. Nilikuwa nasoma comments. Until nilipokutana na verbal diarrhea kutoka kwa huyo mshamba wa Moshi anayejifanya mjuaji