Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Haha [emoji38], umenikumbusha mbali, tulikuwa tunashobokea vitu vya kijinga vya wamarekani...yani mwana akija kijiweni na gazeti la the source au word up anaonekana kama mfalme
mwaka gani hiyo?
 
Chuga mambo ya kula tungi huku mikwaju ikiwa imesambaa juu ya Meza kama smartphone ni kawaida sana.. Ila matukio ya kufumuana ubongo sio mengi ki vile..

Chuga ndio Kuna show off za hovyo sana za silaha ila madhara yake ni machache.
chuga kuna mabilionea wengi...nasikia hata kuna msanii mmoja wa arusha anamiliki
 
Wanaume wa Sinza!mnaishia kuangalia midevu tu,kulewa huku hamna pakee aka pesa mbongo,ndo mana mnazibuliwa tu.
Huyo mshamba muuaji enzi zetu tungekua tushamkalisha ground huku miguu tumevunja na bastola yake hiyohiyo.
Enzi hizo watu wanatoka na machine gun na AK 47,mnavamia mahali mnalamba chenu mnatimka.
Kauli mbiu usimuatack mtu yeyote mpk akubugudhi,
Kuua ilikua last decision,kwamba nisipomuwahi nakufa mimi.
Sasa hilo fala eti linaenda bar kulewa linaanza kufyatua risasi ovyoovyo juu mara linakumbushwa linamshoot anayekumbusha.
mzee ushatumia ak47???
 
Nachojua ni kwamba,mtu anaejisikia watu hupenda kuwaita washamba

Alex kujisikia na kujisifu ni natural na tabia yake,msiomjua ndio mtakua mnatoka jasho na maneno

Alex sio mshamba kwamba hajui vitu,anavijua vitu kwa usahihi tena zaidi ya population iliyopo sema anapenda kujitanua na kujionesha which rubs people the wrong way

Regardless the nigga was a great great person kiukweli...anapenda watu wawe na good times,real good times ilimradi usimsimange na tabia yake

Na ukimsimanga na yeye anayajua maneno hasa,ataku-crush verbally

The dude was a smallest dude everywhere,hakua na mwili mkubwa,his mouth and savvyness was his means to survive....Mkitaka new things lazima mumtafute na anadeliver!

Great great guy
Sina interest ya kumfahamu alikuwaje, kitendo alichofanya ni dhahiri alikuwa bado mshamba tu. PERIOD
 
Alex was as smart as it gets

Alikua ni mtu wa kupenda sifa tu

Yeye kaenda baa mpaka akawaomba wale watu samahani baada ya kusema wanaogopa anapotoa bunduki nje

Tatizo ni baada ya yote,Gift alirudi nyuma na kutembea kumfata na kuanza kumprovoke Alex na kujifanya kama anataka kumnyang;anya bunduki yake,what Alex did is exactly what is required upon any threat

Alex angeshinda hii kesi asubuhi na mapema....amejiua kwa hamaki tu

My nigga....best nigga on earth....kill these cochroches!

Hiyo kusema kadata ni nonsense,yupo duniani miaka 37 hakua mtu wa vurugu popote,the nigga was never physical!

Huyu mpumbavu kam-provoke Alex
Watu wote waliohojiwa kuna kitu walikuwa wanaficha kiasi story zao zikawa haziungi,nilijiambia huyu jamaa hakuwa chizi japo simjui
 
Mkuu ndo maana mimi jambo la watu kumilikishwa silaha naita kipumbavu pumbavu nalipinga sana aisee,,
Sbbu at that moment mtu ana hasira ata react kumaliza hasira yake muda ule,,
Ndo hayo ana bastola kiunoni anaua,,
Huyu jamaa kama angekua hana bastola am sure angerusha ngumi au chupa t jamaa angeumia kidogo angepelekwa hospital imeisha..
Bastola sio masihara mtu anabadilishwa jina hapo hapo aisee,then wat wanaitwa yatima na wajane..
Serikali inabd waliangalie hili jambo
walevi wasipewe bastola
 
mlikuwa mmelewa wote?
No mi nilikua kazini so labda tubia tuwili nimekunywa jioni,ye sijui km alikua kalewa maana simjui nimemkuta tu pale na hata sikujua km yule changudoa bibi yake mpaka alipoanzisha ugomvi,na bibi yake alikua anapiga makelele mda wote "muache kaka wa watu,simjui mimi,jamaa kakomaa tu.
Tulimbezeana kavukavu badae ndio kapasua chupa kanikata tumboni
 
No mi nilikua kazini so labda tubia tuwili nimekunywa jioni,ye sijui km alikua kalewa maana simjui nimemkuta tu pale na hata sikujua km yule changudoa bibi yake mpaka alipoanzisha ugomvi,na bibi yake alikua anapiga makelele mda wote "muache kaka wa watu,simjui mimi,jamaa kakomaa tu.
Tulimbezeana kavukavu badae ndio kapasua chupa kanikata tumboni
mzee inaonekana una mafunzo ya mapigano
 
Listen man

Wewe ni mtu mzima wa miaka 30 leo unapitisha judgement kwa children wa miaka 10

Like man,really?

Hawa ni watoto

They found hiphop and basketball kama vitu wanavyovipenda,naturally wataongea kama idols wao wanavyoongea kwenye records

These are kids,10 years old!

Stop this judgement to these kids!

Wewe una chuki na Kingereza cha America,ni chuki zako binafsi,sio wanadamu wote tunakichukia

Niambie wewe,ulipata albums na video za hiphop artists na kuweza ku-recite rap lyrics ukiwa na miaka mingapi na mwaka gani?

Alex did it 1994 akiwa na 10 years old....na I'm sure chini ya miaka hiyo alikua anajua,mimi nilimfahamu around 1994 kabla ya hapo sikujua chochote

As per his proficiency at that time 1994 alikua mzoefu maana yake alikua anajua vitu vingi sana alipokua below 10 years old

Kila mtu aliesoma Old Moshi or Mawenzi secondary,Rau primary,Mwereni primary,waliocheza basketball Baptist na CCP grounds know this child...wanaweza toa ushahidi hapa

Kumbuka ni Moshi in 1990's,mji ulikua bado mdogo mno,internet cafe ni moja mji mzima,hakuna maduka ya electronics wala magazines wala chochote,lakini 10 year old child alikua na kila kitu,alipokua anavipata hatukujua,regardless kwa utotoni kule he was beyond legendary

Wewe na uzee wako wote huu nikikwambia nipatie movie ya Space Jam : The Legacy,utaanza kutoa mimacho.....acha upumbavu huu kudharau katoto ka 10 years old

Chuki zako jiambukizie wewe mwenyewe,usizisukume kwa wengine!

Mwaka 1994 hawa watoto walikua 10 years old below that walikua na mwaka 0-9,ni watoto wananyonya hawa!

Stop wivu na watoto wadogo
Itoshe kusema Alex dominated Moshi's hiphop scene enzi hizo kwa mujibu wa maelezo yako. Sikuwa Moshi na sijaishi Moshi, so sijui what was life like huko na what it meant ku own ama ku access vyote ulivovitaja. Ila kumbuka other parts of the country tena mawilayani in the remote areas watu wali access hivo usemavyo tena before 94 enzi za Yo mtv raps na walichana nyimbo za mbele kama kawaida wali cheza basketball na kufatilia nba nk na hawachukuliwi katika exalted status bali ilikuwa ndo kitu vijana wanafanya mda huo.
 
Mkuu

Whatever the case,sisi tunaongelea alivyo impact rika lake alipokua mdogo

Nyie mna experience zenu huko mnakotoka

Ni sawa,wewe ulikua supplier huko kwenu na yeye alikua supplier huku kwetu

Nachojua nilipoingia form 1 Ilboru ndio nikashangaa watoto ndio wanaanza kujua hivi vitu for,m 1,nikikumbuka Alex aka Abdi Hussein alikua ana supply akiwa mdogo darasa la 5 nikajua ragardless Alex hakua fala kabisa

Kwa standard zako alikua wa kawaida,ni sawa
Mkuu kiukweli nimeshukuru umenipa perspective nzuri ya personality yake. Na so far kwa maelezo yako na mengine niliyosoma naona alipenda kufurahia maisha yake kwa mujibu wa kila stage ya umri aliokuwa. Na wala i never meant to take away credits zake..uwasilishaji maneno wangu haukuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom