Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana!

Hicho kibaa unakijua hapo kwa Remy?

Kuna jamaa anaitwa nyoka mwanaapolo kutoka Arusha kaununua huo mtaa mzima hapo!

So pale ni full bangi, unatongozwa mdada ukikataa wanakubeba wanakuingiza kwenye gari kwa nguvu...usiombe[emoji848]
Doh! Si pakwenda
 
Alex was as smart as it gets

Alikua ni mtu wa kupenda sifa tu

Yeye kaenda baa mpaka akawaomba wale watu samahani baada ya kusema wanaogopa anapotoa bunduki nje

Tatizo ni baada ya yote,Gift alirudi nyuma na kutembea kumfata na kuanza kumprovoke Alex na kujifanya kama anataka kumnyang;anya bunduki yake,what Alex did is exactly what is required upon any threat

Alex angeshinda hii kesi asubuhi na mapema....amejiua kwa hamaki tu

My nigga....best nigga on earth....kill these cochroches!

Hiyo kusema kadata ni nonsense,yupo duniani miaka 37 hakua mtu wa vurugu popote,the nigga was never physical!

Huyu mpumbavu kam-provoke Alex
Una fantasy za gangbang kichwani. No more no less
 
Moshi ni best place to raise kids...pamoja na Arusha

Great great memories in the 90's

Majengo kabla hawajapima rasmi watu walikua wanazikia majumbani kama mndenyi tu

Ila tangu wapime late 90's yale maeneo rasmi hawazikii maana ni viwanja vidogo vidogo havitoshi

Wanazikia makaburi ya Moshi mjini kule

Yaani mji mzima watu wanajuana wote kwa majina na sura na unapokaa,that town was legendary aisee

Yaani kila mmoja anamjua mwenzake kwa sura na jina na anapokaa na ndugu zako na gari yako inajulikana hadi namba....ila with love!
Ha ha ha ha

Yaani umenirudisha nyuma kweli. Ilaa tuliishi late 80s na very early 90s. Tukaja hamia Arusha. Kuna oale moshi kwa Boti alikua na depo la mahindi. Enzi za nairobi bwana.

Tumelala sana lodge za mama maua sana na dar es salaam street. Moshi watu wanajuana aisee hana miaka ile wooteee. Yaan ile life was woow. Siku hizi biashara z amahindi na mbao hazivambi sana maana tarakea viwanda vya mbao havina nguvu toka vihamie iringa huko.

I was babby scania[emoji23] sema sasa sikumbuki watu aisee ni muda sana. Tilikia hatusettle ni movements za hapa na pale. Kahali ka hewa katamu sana. Huu msiba basi utakua mkubwa sana. I feel sorry for him. Mamake bado yuko?
 
Hasira naskia zilikuwa za kuzuiwa na huyo askari asifanye fujo maana alimwambia ninayo ya nguvu kuliko yako hivyo tulia tunywe bia tu hapa amani!

Kama unavyojua kisasi cha mlevi yani kikawa kinamuuma kwanini yule jamaa amemtuliza. Zikaanza zile...,,”Kwani huyo anayejifanya yeye ni usalama ni nani hapa ananizuia mie kushika chombo changu”

sahio jamaa wa usalama alishajikataa mapema kwahio jamaa hasira akatoa mkwasa tena. Yule Gift alikuwa meza ya jirani akainuka kishujaa baada ya kuhamaki ile “Oya kwani huyu jamaa ni nani mbona anatuzingua tushamtuliza sana af anazingua tu”...”Kaka rudisha silaha yako basi mambo gani unafanyaa” huku anamfuata jamaa aka load mkwasa akamtia njugu ya paja dogo kakimbilia usawa wa chooni akaongezwa ya utumbo akaenda deki! Jamaa kabweka sana kisha akamrudia dogo na kumshona ya ubongo 😅😅😅 mchezo ukawa umeisha!
Babu huyo jamaa kwanza kwa tabia yake hakutakiwa kumiliki silaha
Kwa mienendo yake aliyokuwa anafanya lazima
Ingetokea tu naishatokea

Ova
 
𝐀𝐥𝐞𝐱 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐚𝐢𝐬𝐞𝐞

𝐚𝐜𝐜𝐨𝐮𝐧𝐭 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐲𝐚 𝐢𝐧𝐬𝐭𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐣𝐚𝐚 𝐩𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐳𝐚 𝐛𝐚𝐭𝐚 𝐛𝐚𝐭𝐚𝐧𝐢. 𝐁𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐥𝐚𝐲𝐚

𝐫𝐢𝐩 𝐛𝐫𝐨

Screenshot_20210719-203644.png
 
𝐑𝐈𝐏 𝐚𝐥𝐞𝐱𝐨
Screenshot_20210719-204101.png
Screenshot_20210719-204042.png
Screenshot_20210719-204022.png

𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧 𝐛𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐥𝐢𝐤𝐮𝐥𝐚 𝐚𝐢𝐬𝐞𝐞
 
Mwigulu ongeza Kodi kwenye pombe, vijana wanamalizana huku.
 
Sikiliza interviews za mashuhuda....

Mwishoni Gift alimfata,kuna kama Gift hua hapendi mtu wa dharau,yeye alimfata nadhani kwa aggression,kama sio kutaka kumnyang'anya pistol yake itakua labda kumtukana

Kwanza ile kumfata tu,tayari Alex lazima ahisi ni aggression,na hapo inakua spark ya kuwasha retaliation

Gift as per maelezo ya marafiki zake,yule anaefanya nae kazi kijiweni kwake ni kua hua hapendi kuhisi kama anaonewa,yeye Gift alitafsiri gun exposure ni sign ya kumnyanyapaa akahisi huyu ana hela ananiletea madharau

Mwanzoni Alex aliomba hadi msamaha yakaisha baada ya akina Gift kusema sio vizuri kuonesha silaha baa.....yakaisha

Ila baada ya lisaa Gift alisimama kumfuata,that was the big problem.....

Kungekua na CCTV camera Alex angeshinda hii kesi vizuri tu...sema basi nae alikua muoga sana akajiondoa
Najua vijana ni wabishi. Nakumbuka siku moja kulikuwa na msongamano na kijana kama 45 years akawa anachomekea. Nikafungua kioo nikamweleza kistaarabu kuwa utanigonga. Yeye naona bilauli ilishaingia kichwani, akaanza, we mzee Acha ushamba, endesha gari, mara nyie ndiyo mmejifunzia magari uzeeni. Mie kimya tu, sijakaa sawa akanigonga. Mimi nikazima gari, nikatoka nje; si akanivaa mara atake kuongea kwa kunigusa, nikamweleza tafadhali usiniguse maana nipo loaded. Ha ha ha, ilikuwa ni balaa, mara aseme huyu anataka kuniua mara anaringa kuwa ana pistol! Mpaka anaeleza watu kuwa nimemuonesha pistol wakati ukweli sikuwa nayo wakati ule. Mimi nilikuwa namthale tu, ingawa sikuwa nasubiri Kithibiti. Kijana alikuwa na maneno ya shombo yule na ulevi wake, nadhani ningelikuwa Alex nami sijui ila uzee Achana nao.

Kwa mantiki hiyo si ajabu Zawadi -gift au kichagga jifuti, alijitoa Zawadi kwa maneno ya shombo na Alex akafanya kweli. Midomo ni hatari
 
WEEEEEE.m YALINIKUTA SISIMIZI BAR NIKIWA NA MA.PROF WANGU TUNASUKUMA.MWENDO MKUU...SIKIA KWA WATU

KULIKUWA NA KASHAN GWE MEZA YA NNE PALE DARJAN KUSHOTO... MAKAKAA WATATU NA MADADA WAWILI TUKANZA KUCHEKA
WANAUME WAKAENDA NJE TUKAJUA CHOONI KURUDI SI WATU WANYAMA MKUU MMOJA AKASOGEA KARIBUYETU KAMA ANATOA ODA TUKASIIKIA CHAP ANGANI KILAMTU AWRKEMEZANI MZIGO AISEE HAJA ILINTOKA NILIHISI AMENIPIGA MIMI AISEE......WALEMADADA NDIO WAMESIMAMA MLANGON NAO WANA MOTO AISEE PROF MMOJA ALIDONDOKA RIP HAKUWA SAWA TOKA SIKUHIO....NA BAR NKASIZI KWAMDA MKUU NIKIIJARIBU KWENDA BAR NAHISI WANAKUJA WEWEE.. I NGU ATUPONYE TU
W
Umeandika kwa speed sana au hao jamaa wapo jirani
 
Ha ha ha ha

Yaani umenirudisha nyuma kweli. Ilaa tuliishi late 80s na very early 90s. Tukaja hamia Arusha. Kuna oale moshi kwa Boti alikua na depo la mahindi. Enzi za nairobi bwana.

Tumelala sana lodge za mama maua sana na dar es salaam street. Moshi watu wanajuana aisee hana miaka ile wooteee. Yaan ile life was woow. Siku hizi biashara z amahindi na mbao hazivambi sana maana tarakea viwanda vya mbao havina nguvu toka vihamie iringa huko.

I was babby scania[emoji23] sema sasa sikumbuki watu aisee ni muda sana. Tilikia hatusettle ni movements za hapa na pale. Kahali ka hewa katamu sana. Huu msiba basi utakua mkubwa sana. I feel sorry for him. Mamake bado yuko?
Dar es salaam street kwa wahaya?
 
Back
Top Bottom