Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Nipo Best , Majanga mengi tu ,Huku soko limeungua Kariakoo hatujakaa sawa Shemeji Kamchoma Zungu ndani ya Nyumba kwa petrol kisa wivu wa mapenzi ,hatujakaa sawa limbukeni Alex kaua na yeye kujiua,hatari sana!!
Nasikia kigamboni kuna mtu naye kapotezwa

Ova
 
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.

Habari zaidi zitawajia

MUENDELEZO...
===

Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.

TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)

View attachment 1857511
Mashuhuda wameeleza kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya kuwatishia watu kuwapiga risasi wakati wakipata kinywaji.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana Julai 17,2021 katika baa ya New Lemax iliyopo maeneo ya Sinza kwa Remmy

Mashuhuda wamesema siku ya tukio Korosso alifika kwenye baa hiyo aliyezoea kunywa akiwatisha wenzake na kwamba anatamani kuua mtu.

"Gift Mushi alipigwa risasi moja ya mguu, mbili za tumboni baada ya kumuona anaendelea kuangaika chini alienda kummalizia kwa kumpiga risasi tatu kichwani na baadaye kurudi kwenye kiti alichokaa kujimalizia mwenyewe kwa kujipiga risasi moja kichwani," amesema Karim Hussen.

"Alikuja toka asubuhi akiwa na gari yake ambayo alimpa ufunguo aitengeneze huku mwenyewe akiwa anaendelea kunywa na kuwatisha wenzake muda wote na baadae Gift Mushi ambaye ni marehemu akamfuata kumshauri aache kuwatisha wenzake wakati wakinywa."

"Baadaye kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa naye silijui jina lake akamuambia kwamba kuwa yeye ni usalama wa taifa na kumuonesha kitambulisho baadae alitulia na kuanza kuomba msamaha, alikaa kimya kwa muda akawa anajishauri ghafla alitoka kwenye kiti alichokaa na kwenda hadi kwa DJ kumuambia azime muziki nako alikataliwa" amesema Lema.

Lema amesema "Kossoro baada ya kukataliwa kuzima muziki alianza kuongea kwa sauti kubwa na kusema watu katika baa wanajifanya usalama na kuchomoa bunduki yake kuanza kupiga risasi juu baadae Gift Mushi alipomfuata kumshauri alipigwa risasi ya mguu kabla ya hajakaa sawa alipigwa risasi mbili za tumboni na akuanguka chini na watu wengine walikuwa wanakunywa walianza kukimbia," amesema.

Amesema wakati huo Gift Mushi alikuwa chini anahangaika baadae alimfuata tena kumpiga risasi tatu kumalizia kumuua na baadae alitoka nje ya baa na kwenda kwenye gari yake kufungua mlango alikuta umefungwa.

Husseni anaeleza "baada ya kuona mlango haufunguki alirudi tena kwenye baa na kukaa kwenye siti yake kisha kujipiga risasi ya kichwa na baadae sisi tulijitokeza,"

Husseni amesema siku hiyo Gift Mushi hakulewa isipokuwa Alex Korosso alikuwa amekuwa na tabia ya kuwatisha watu kwenye baa hii toka miezi miwili alipoanza kumiliki silaha hiyo yenye magazini 16," amesema.

Credit:Mwananchi
Aiseee hatari sana, sasa huyo usalama wa Taifa alionyesha kitambulisho ili iweje? Si angetumia njia yoyote ampokonye hiyo bunduki? Hizi silaha kabla ya kuuzwa huwa wanatumia vigezo gani? Au nikisha uza mihogo yangu huku mkuranga naruhusiwa kununua bastola? Chamaa kajikuta kama Chuck Norris vile kisha mwishoni akawa Amrish kapoor au Govinda (Kajiwasha)
 
Du kwahiyo alikuwa ni Afisa usalama lakini hapo mtaani alikuwa anazuga kama mziba pancha? Au kulikuwa na afsa usalama mwingine ambaye baada ya milio ya risasi na yeye akakimbia.
Rejea taarifa ya Kamanda wa Polisi siku ya tukio.
 
WALEVI NA POMBEE

wanaume wamefirwa sababu ya pombe.

Madem wamefirwa sababu ya Pombe

Watu wameibiwa, wameuliwa sababh ya Pombe.

Huko Uingereza, inasemekana asilimia 20% ya vifo vilivyotokea wakat wa wote wa rokudauni vimetokana na Pombe.

Acheni Pombe !!!
sijui kwanini demu akilewa sana halafu amekula hela zako nyingi hamu ya kumfira inakuja!
 
Alex was as smart as it gets

Alikua ni mtu wa kupenda sifa tu

Yeye kaenda baa mpaka akawaomba wale watu samahani baada ya kusema wanaogopa anapotoa bunduki nje

Tatizo ni baada ya yote,Gift alirudi nyuma na kutembea kumfata na kuanza kumprovoke Alex na kujifanya kama anataka kumnyang;anya bunduki yake,what Alex did is exactly what is required upon any threat

Alex angeshinda hii kesi asubuhi na mapema....amejiua kwa hamaki tu

My nigga....best nigga on earth....kill these cochroches!

Hiyo kusema kadata ni nonsense,yupo duniani miaka 37 hakua mtu wa vurugu popote,the nigga was never physical!

Huyu mpumbavu kam-provoke Alex
Nimeona mahali jamaa anasema alisoma naye old moshi 97-2000, kama ni kweli ana miaka 37 basi hilo haliwezekani, maana yake alimaliza form 4 akiwa na 16, kwa miaka ile 16 ndiyo walikuwa wanaanza form form 1 or wengine walikuwa form 2
 
Mkuu

Sio mimi,kila mwanadamu ni haki yake kumiliki silaha,iwapo tu ataenda kinyume na sheria zetu ndio anyang;anywe!

Mimi bado nina haki hiyo sijanyang'anywa bado sija violate sheria

Nashindwa kuwaelewa kabisa yaani

Haki ya kujilinda ni haki ya msingi ya kiumbe chochote,nyezo za kufanya hivyo ni naturally haki ya mtu

Sasa kama wewe huwezi kujilinda hilo ni tatizo lako mwenyewe binafsi,hiyo haki ipe serikali ikushikie maana bado huna akili rational ya kujilinda binafsi

Mimi ni rational being,haki yangu ya kujilinda nimeibeba mwenyewe sitaki wa kunisaidia...

Na please tuheshimiane,sitaki threats wala reaching wala advancements wala kutukana wala kunyang'anya mali zangu au utu wangu wala kunitisha popote

Alex kahamaki tu,kesi ilikua kidogo maana Gift as per witnesses alimsogelea Alex kama reaching which is defined as threat!
Kama ni kujihami na threat huoni kama hiyo risasi aliyompiga mguuni ilitosha kabisa naye angeweza kupanda gari lake na kuondoka? Kulikuwa na sababu gani ya kumuongeza risasi nyingine mbili tumboni na moja kichwani? Kulikuwa na sababu gani kuendelea kupiga risasi juu? Mtu ushamlaza chini kwa risasi, unasababu gani ya kumuongeza zingine za kichwa? Jamaa yako kazingua
 
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.

Habari zaidi zitawajia

MUENDELEZO...
===

Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.

TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)

View attachment 1857511
Mashuhuda wameeleza kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya kuwatishia watu kuwapiga risasi wakati wakipata kinywaji.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana Julai 17,2021 katika baa ya New Lemax iliyopo maeneo ya Sinza kwa Remmy

Mashuhuda wamesema siku ya tukio Korosso alifika kwenye baa hiyo aliyezoea kunywa akiwatisha wenzake na kwamba anatamani kuua mtu.

"Gift Mushi alipigwa risasi moja ya mguu, mbili za tumboni baada ya kumuona anaendelea kuangaika chini alienda kummalizia kwa kumpiga risasi tatu kichwani na baadaye kurudi kwenye kiti alichokaa kujimalizia mwenyewe kwa kujipiga risasi moja kichwani," amesema Karim Hussen.

"Alikuja toka asubuhi akiwa na gari yake ambayo alimpa ufunguo aitengeneze huku mwenyewe akiwa anaendelea kunywa na kuwatisha wenzake muda wote na baadae Gift Mushi ambaye ni marehemu akamfuata kumshauri aache kuwatisha wenzake wakati wakinywa."

"Baadaye kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa naye silijui jina lake akamuambia kwamba kuwa yeye ni usalama wa taifa na kumuonesha kitambulisho baadae alitulia na kuanza kuomba msamaha, alikaa kimya kwa muda akawa anajishauri ghafla alitoka kwenye kiti alichokaa na kwenda hadi kwa DJ kumuambia azime muziki nako alikataliwa" amesema Lema.

Lema amesema "Kossoro baada ya kukataliwa kuzima muziki alianza kuongea kwa sauti kubwa na kusema watu katika baa wanajifanya usalama na kuchomoa bunduki yake kuanza kupiga risasi juu baadae Gift Mushi alipomfuata kumshauri alipigwa risasi ya mguu kabla ya hajakaa sawa alipigwa risasi mbili za tumboni na akuanguka chini na watu wengine walikuwa wanakunywa walianza kukimbia," amesema.

Amesema wakati huo Gift Mushi alikuwa chini anahangaika baadae alimfuata tena kumpiga risasi tatu kumalizia kumuua na baadae alitoka nje ya baa na kwenda kwenye gari yake kufungua mlango alikuta umefungwa.

Husseni anaeleza "baada ya kuona mlango haufunguki alirudi tena kwenye baa na kukaa kwenye siti yake kisha kujipiga risasi ya kichwa na baadae sisi tulijitokeza,"

Husseni amesema siku hiyo Gift Mushi hakulewa isipokuwa Alex Korosso alikuwa amekuwa na tabia ya kuwatisha watu kwenye baa hii toka miezi miwili alipoanza kumiliki silaha hiyo yenye magazini 16," amesema.

Credit:Mwananchi
wachagga wameuana.
 
nakuelewa

ila yeye hua ana claim ni mchagga as such na moshi nzima anajulikana that way..

kwa moshi Alex was as famous,you just cant believe it,hiyo ni tangu akiwa primary

mazishi yake moshi yatakua big issue.....

alex was famous in moshi acha kabisa
I feel him. Everyone wants to us[emoji23][emoji23] kwani Alex hajui vitu vizuri? Ningekua rombo ningeenda mzika jamaa yetu
 
Ni kweli,Alex kamaliza Form Six 2003 maana alisomea Makongo nadhani

Olevel ni 1997-2001 Old Moshi,primary kasoma Rau Primary moshi mjini

Jamaa ni kweli kamaliza form four akiwa 17 years mzee unabisha nini sasa?

He was the youngest ,smallest and the most loudest little nigga in his classes...

Apart from majivuno,the nigga was the most smartest japo darasani alikua mtu wa middle numbers!
Watu wanajifanya wana makadi ya wenzao. Mtu anayetoka familia inayojitambua kuwahi shule ilikuwa jambo la kawaida sana sema kwa kuwa wao walikuwa wa familia za wafugaji wanadhan kila mtu ametokea huko
 
Kumbe unapangia watu how to attack ana enemy sio?

Usipangie watu

Yeye kama mwanadamu rationally kaona another human being kageuka threat kwa kiwango alichohisi yeye,retaliation aliyofanya yeye kaona ile dozi ndio itampa assurance ya his aggressor kwenda down.

Yeye ndio alikua kwenye scene na aggresor,hujui Gift nae kama alikua na bomba au alikua na shoka etc....

Acheni kujifanya mna moral judgement wakati wewe sio Alex wala Gift

Kazingua,possibly yes kwa lens unayotumia wewe

Gift pia alikua aggressor kumfata na kutaka kumshika na kumtukana

Thats what chu get...

Tujifunze kuheshimiana kila mtu na uhuru wake,tusiingiliane,kama hupendi navyoongea shauri yako,ilimradi sijakutukana na wala sijafanya reaching na wewe

Kama kutoa bunduki wazi ni kosa,pigia simu polisi aje anichukue na nikajibu kwa hakimu,sio mnajifanya kunifata na kunitukana na kutaka kuchukua bunduki yangu
Andika kwa Kiingereza tupu hata sentensi moja tu bila hata neno moja la Kiswahili
 
Back
Top Bottom