mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,191
- 1,854
huyu jamaa kitimoto, kweli aiseeHuyu kitimoto ndy walewale
Akimiliki cha moto atatutoa uhai😂
Ova
huyu jamaa kitimoto, kweli aiseeHuyu kitimoto ndy walewale
Akimiliki cha moto atatutoa uhai😂
Ova
Mpwa haya mamboo Kampala yaan ni kama wana vifurushi vya mwezi yaan SHIDA moja SRC n mizigo dohYah nlikuwa upande wa ngambo
Nlikuwa na smbdy Shanga ah tulipotea pale
Alafu maugomvi ya kwenye pombe sababu hazinaga msingi kabisa
Ova
Mpwaaa sikiatu yaan nambiwa wenyemaduka ya pembeni waliacha wazi maduka ndukiiii yani walivyosikia Moto angani wakaonaa mlangooo wa mbingunii ule.Unaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyo
Sasa hapo ndipo alitakiwa kumzuia,lkn inaonekana jamaa alipompiga jamaa watu...
Kushoto mkuu kwa uelekeo anaotokeaUmekosea maelekezo, ni kulia siyo kushoto
Hadi usalama akakimbiaUnaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyo
Sasa hapo ndipo alitakiwa kumzuia,lkn inaonekana jamaa alipompiga jamaa watu
Wote walitoka nduki
Ova
Ingekuwa ugomvi wa kuchomana visu hapo tena tungeongea mengine kwa tone hii hiiJela Masihara....
Serikali Iangalie Swala Hili Kwa Ukaribu, Nadhani si kila mtu wa kupatiwa umiliki wa Bunduki.
Wapumzike Wanapostahili.
Wabongo maisha yao ni mapenzi tu wanawaza chini full time kuliko hata maendeleoMnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.
Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
Unaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyo
Sasa hapo ndipo alitakiwa kumzuia,lkn inaonekana jamaa alipompiga jamaa watu
Wote walitoka nduki
Ova
Upo best?Huyo TISS aliyekuwepo hapo inabidi anyongwe maana hafai kuwepo tena ndani ya KITENGO.
Upo best?
Duh ndo maisha yalivo, ile inshu si nimesitisha, haiwezekani tena ntakucheki usikuNipo Best , Majanga mengi tu ,Huku soko limeungua Kariakoo hatujakaa sawa Shemeji Kamchoma Zungu ndani ya Nyumba kwa petrol kisa wivu wa mapenzi ,hatujakaa sawa limbukeni Alex kaua na yeye kujiua,hatari sana!!
Kwa Mangi huwezi kuona tambo jema.......MPWA M N MWENDO KWA MANGI MWANZO MWISHOO
Ana mikopo miwili ya bank ndo ilikuwa inamchachafya[emoji848]Hivi baba yao yule James Korosso sasa hivi kafulia?
Alikua na vihela ya kupigisha simu back in the days...plus nasikia alikua jambazi kubwa
Nyumba ya dingi yake ya kawaida majengo..
Alex alikua mtoto wa nje mama yake ni single mom,very quiet mom...Alex ngumu hawezi wala fujo ngumi jiwe hawezi ni mjuaji na maneno mengi tu na kujisifia
Hivi alikua ameoa kweli?Nadhani labda mke alimpa stress au mikopo maana anaepnda kula hela sana
Imagine[emoji848]Wabongo maisha yao ni mapenzi tu wanawaza chini full time kuliko hata maendeleo
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Unaambiwa akianza kuongea hataki mtu mwingine aongee...ole wako useme lolote anakuamshia na chupa[emoji848]Nipo Best , Majanga mengi tu ,Huku soko limeungua Kariakoo hatujakaa sawa Shemeji Kamchoma Zungu ndani ya Nyumba kwa petrol kisa wivu wa mapenzi ,hatujakaa sawa limbukeni Alex kaua na yeye kujiua,hatari sana!!
Huyu nadhani alikuwa ni sycopath..Niko YouTube now ...Kuna jamaa anahojiwa hapa Lemax kanichekesha sana
Anasema huyo Alex toka kakabidhiwa hiyo bastola kila mtu alikuwa anamuonesha mpaka watoto wadogo...
Duh ndo maisha yalivo, ile inshu si nimesitisha, haiwezekani tena ntakucheki usiku