jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,955
- 9,439
Nyinyi ndiyo mkinyanganywa mademu bar mnakimbilia bastola,mnaona silahaa ndiyo solution ya kila kitu! Kwa taarifa yako nakufundisha,hata siku ukija kumiliki silahaa unatakiwa uwe mpole na muungwana kupita hata mtu asiyekua na silahaa!Acha fear mongering na maneno ya ushauri maana sijakuomba
Unabaki kutoa ramli yatakayotokea baadae ambayo hayajatokea,wewe umepata wapi hayo maono mpaka unielezee hayo mabaya?..
Na silahaa ki halali inatakiwa itumuke kwenye hatari ya ukweli na si ya ugomvi kwenye ma bar,mtamalizana sana kisa ulimbukeni wenu wa kumiliki silahaa!!