Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Ni kosa ndio

Wa kuniambia ni kosa ni wewe?

Wa kuniambia ni kosa na kunifunga kwa kutoa silaha adharani ni hakimu

Cha maana wewe ungepiga simu polisi waje wanishike wanifungulie kesi hakimu waniadhibu

Ila wewe,akili mavi mavi,umekaa baa unajiekti ndio polisi,hakimu na executioner hapo hapo....

Still unanifata unataka ninyang'anya bunduki yangu will all those provocations....nigga rest in peace!

Alex angeshinda hii kesi vizuri maana mashahidi wamesema Gift alitembea kumfata na kum-provoke kama kua physical hivi,na unajua penye threat then ni bunduki tu inafuata!
Wwe unaonekana hata Majirani zako unawapa shida sana,na umarekani wako wa kuecti! Ukiishi uswahilini kwetu hizo mbwembe hutakua nazo hata Kama unamiliki Beretta!!
 
baba yake ni mhamiaji wa moshi kitambo...na alex ni mtoto wa nje,mama yake mrombo kabisa

na alex kaanza kwenda kwa dingi yake oficially alipofaulu primary kuanza form 1

ila all his life we was with his mom,a single mom,moshi hapo hapo

he always identify himself with his mother's side...ana majina mengi ultimately kachukua korosso la dingi yake ukubwani tu
Asante mkuu. Lakini anabaki kuwa mnyaki og
 
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.

Habari zaidi zitawajia

MUENDELEZO...
===

Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.

TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)

View attachment 1857511
Mashuhuda wameeleza kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya kuwatishia watu kuwapiga risasi wakati wakipata kinywaji.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana Julai 17,2021 katika baa ya New Lemax iliyopo maeneo ya Sinza kwa Remmy

Mashuhuda wamesema siku ya tukio Korosso alifika kwenye baa hiyo aliyezoea kunywa akiwatisha wenzake na kwamba anatamani kuua mtu.

"Gift Mushi alipigwa risasi moja ya mguu, mbili za tumboni baada ya kumuona anaendelea kuangaika chini alienda kummalizia kwa kumpiga risasi tatu kichwani na baadaye kurudi kwenye kiti alichokaa kujimalizia mwenyewe kwa kujipiga risasi moja kichwani," amesema Karim Hussen.

"Alikuja toka asubuhi akiwa na gari yake ambayo alimpa ufunguo aitengeneze huku mwenyewe akiwa anaendelea kunywa na kuwatisha wenzake muda wote na baadae Gift Mushi ambaye ni marehemu akamfuata kumshauri aache kuwatisha wenzake wakati wakinywa."

"Baadaye kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa naye silijui jina lake akamuambia kwamba kuwa yeye ni usalama wa taifa na kumuonesha kitambulisho baadae alitulia na kuanza kuomba msamaha, alikaa kimya kwa muda akawa anajishauri ghafla alitoka kwenye kiti alichokaa na kwenda hadi kwa DJ kumuambia azime muziki nako alikataliwa" amesema Lema.

Lema amesema "Kossoro baada ya kukataliwa kuzima muziki alianza kuongea kwa sauti kubwa na kusema watu katika baa wanajifanya usalama na kuchomoa bunduki yake kuanza kupiga risasi juu baadae Gift Mushi alipomfuata kumshauri alipigwa risasi ya mguu kabla ya hajakaa sawa alipigwa risasi mbili za tumboni na akuanguka chini na watu wengine walikuwa wanakunywa walianza kukimbia," amesema.

Amesema wakati huo Gift Mushi alikuwa chini anahangaika baadae alimfuata tena kumpiga risasi tatu kumalizia kumuua na baadae alitoka nje ya baa na kwenda kwenye gari yake kufungua mlango alikuta umefungwa.

Husseni anaeleza "baada ya kuona mlango haufunguki alirudi tena kwenye baa na kukaa kwenye siti yake kisha kujipiga risasi ya kichwa na baadae sisi tulijitokeza,"

Husseni amesema siku hiyo Gift Mushi hakulewa isipokuwa Alex Korosso alikuwa amekuwa na tabia ya kuwatisha watu kwenye baa hii toka miezi miwili alipoanza kumiliki silaha hiyo yenye magazini 16," amesema.


Credit:Mwananchi
Aisee
 
Acha fear mongering na maneno ya ushauri maana sijakuomba

Unabaki kutoa ramli yatakayotokea baadae ambayo hayajatokea,wewe umepata wapi hayo maono mpaka unielezee hayo mabaya?

Silaha ni basic human right....kujilinda ni jukumu namba mbili la kiumbe chochote baada ya kula na kuvuta hewa..

Mengine ni fear zako binafsi unazi project kwa wengine waogope haki zao

Wewe hutaki hiyo haki umeikabidhi serikali ikushikie basi ni wewe

Yaani wewe unaona serikali ndio ina akili ya kukulinda zaidi yako wewe pekee yako?

Yaani unaamini serikali ina wanadamu wenye akili na rational thinking zaidi ya akili yako wewe mpaka uwakabidhi haki yako ya kujilinda waishike?Siku hawapo kukusaidia kukulinda,hivyo uwawe?

Majitu majinga yanayotumia other people to think for themselves ndio kama nyie mnapenda maserikali ya kidikteta kuwafanyia vitu sababu ni serikali
Mkuu kwa hizi hali,,
Inabd tujipe tyme kuruhusu hii kitu imilikiwe mtaani na mtu wa aina yeyote kwa mtazamo wangu mimi hata miaka 50 mbele uko,
Watu wanashida na mattzo mengi sana kuwaruhusu kumiliki bastola,,
Tunavyorogana na kuuana tu bila ata ssbu ingekuaje watu wangekua wanamiliki gun mitaani,,
Inafkirisha sana.
 
Kuna watu wanasema marehemu angedhibitiwa, unawezaje kumdhibiti mtu anayekununulia pombe? Boss siku zote yupo right nyie kunyweni, kuleni na kuchekacheka kila anachoongea boss!
Ataly mkuu anaonekana alikua yupo sawa mfkoni,,
Kuna maeneo nimepita leo wat wanasema jamaa alikua na bill ya karibu laki 7,,na wat walikua wanaendelea kunywa kwa hisani
 
Alex was as smart as it gets

Alikua ni mtu wa kupenda sifa tu

Yeye kaenda baa mpaka akawaomba wale watu samahani baada ya kusema wanaogopa anapotoa bunduki nje

Tatizo ni baada ya yote,Gift alirudi nyuma na kutembea kumfata na kuanza kumprovoke Alex na kujifanya kama anataka kumnyang;anya bunduki yake,what Alex did is exactly what is required upon any threat

Alex angeshinda hii kesi asubuhi na mapema....amejiua kwa hamaki tu

My nigga....best nigga on earth....kill these cochroches!

Hiyo kusema kadata ni nonsense,yupo duniani miaka 37 hakua mtu wa vurugu popote,the nigga was never physical!

Huyu mpumbavu kam-provoke Alex
Alex fala ka wewe tu.
 
Msalimie sana shujaa wa Africa. Mwambie huku vifurushi juu, miamala juu na mafuta juu.
Anauliza mmeshamkumbuka au

8589e412-35c3-4dee-9f5c-a4dc228da7f1.jpg
 
Back
Top Bottom