Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kumbe unapangia watu how to attack ana enemy sio?

Usipangie watu

Yeye kama mwanadamu rationally kaona another human being kageuka threat kwa kiwango alichohisi yeye,retaliation aliyofanya yeye kaona ile dozi ndio itampa assurance ya his aggressor kwenda down.

Yeye ndio alikua kwenye scene na aggresor,hujui Gift nae kama alikua na bomba au alikua na shoka etc....

Acheni kujifanya mna moral judgement wakati wewe sio Alex wala Gift

Kazingua,possibly yes kwa lens unayotumia wewe

Gift pia alikua aggressor kumfata na kutaka kumshika na kumtukana

Thats what chu get...

Tujifunze kuheshimiana kila mtu na uhuru wake,tusiingiliane,kama hupendi navyoongea shauri yako,ilimradi sijakutukana na wala sijafanya reaching na wewe

Kama kutoa bunduki wazi ni kosa,pigia simu polisi aje anichukue na nikajibu kwa hakimu,sio mnajifanya kunifata na kunitukana na kutaka kuchukua bunduki yangu
As long as wote tunasimuliwa then hakuna ambaye anaweza kulielezea hilo tukio kwa uhakika 100%
 
Watu wanajifanya wana makadi ya wenzao. Mtu anayetoka familia inayojitambua kuwahi shule ilikuwa jambo la kawaida sana sema kwa kuwa wao walikuwa wa familia za wafugaji wanadhan kila mtu ametokea huko
Hiyo ni experience yangu kwa miaka hiyo inayozungumzwa mbwiga wewe, O and A level zote nimesoma upanga, na nimesoma na hao watu wa age ya Alex miaka hiyo, ndiyo maana Wyatt kasema jamaa alikuwa ni mdogo zaidi class
 
mama yake ndio anatoka rombo ila wameishi moshi mjini all their life

dingi yake yupo moshi mjini majengo

nadhani watamzikia kwa dingi yake majengo...

nigga was famous na mbwembwe zake
Nimemisi sana moshi. Miaka hiyo ha 90s na 90s tumeishi huko. Wazazi wangu wamepiga mishe sana hapo. Napapenda sana mishi mjini has pana moderate temperature yake na pia lifestyle yake. Lazima uwe famous kama una vitu vya kipekee hapo. Ile old generation ndo onaenda ikipotea potea. Majengo wanazikia majumbani kama huku milimani?
 
Ni kweli,Alex kamaliza Form Six 2003 maana alisomea Makongo nadhani

Olevel ni 1997-2001 Old Moshi,primary kasoma Rau Primary moshi mjini

Jamaa ni kweli kamaliza form four akiwa 17 years mzee unabisha nini sasa?

He was the youngest ,smallest and the most loudest little nigga in his classes...

Apart from majivuno,the nigga was the most smartest japo darasani alikua mtu wa middle numbers!
Angalau wewe unaeleza kitu kinaeleweka! Haiwezekani mtu akapigwa risasi bila kuchokoza.
 
nakuelewa

ila yeye hua ana claim ni mchagga as such na moshi nzima anajulikana that way..

kwa moshi Alex was as famous,you just cant believe it,hiyo ni tangu akiwa primary

mazishi yake moshi yatakua big issue.....

alex was famous in moshi acha kabisa
You are stupid and silly as fu.c.k, plus you can't even express yourself in a single paragraph using plain English. You just feel the need to go against everybody else's opinions and common sense due to whatever egotistical, ignorant and arrogant reasons you may have in you.
 
kosa lilifanywa na wote waliokuwa pale....alipotoa pistol once.....ilipaswa aripotiwe police direct....nae yule usalama taifa aliekuwepo pale,, mzembe sana....anajua mbinu zote za kiintelijinsia...but aliishia kuonyesha ID tuu...sbb hata wao hawaruhusiwi kuwepo kwenye starehe na silaha....incase kuna progress wanaimendea....so yule raia hakupaswa kuwa nayo pale sembuse kuionyesha.....alipaswa kuchukua hatua hata kwa kuripoti kimya kimya....ona klichotokea sasa...... wananchi wapewe elimu juu ya kuripoti matukio kama haya mapema sana.....la sivyo watakufa wengi mno......pole wafiwa...poleni WATANZANIA wenzangu.....hili ni janga pia...

Yule usalama ndio hawa TISS wenu wa jamii forums
 
Hiyo ni experience yangu kwa miaka hiyo inayozungumzwa mbwiga wewe, O and A level zote nimesoma upanga, na nimesoma na hao watu wa age ya Alex miaka hiyo, ndiyo maana Wyatt kasema jamaa alikuwa ni mdogo zaidi class
Mbwiga anasema asante.
Kwani miaka hiyo dar ikiwa vichaka karibia yote wafugaji wa ng'ombe unadhani hawakuwepo?
Wala jibu langu halikuwa kukuataki
 
Dogo alikua famous aisee...alikua anapenda attention

Mostly alikua very very good guy,anapenda company sana,very good dude

Without him my childhood isingekua poa...official name yake shule ilikua Abdi Hussein

Ukigeuka ni Alex Buretta,ikafika times anatumia Alex Games,ikawa Alex James,ikaja Alex James Korosso,nasikia ukubwani Dar wanamuita Simba

I remember him sana,yeye ndio alitufundisha ku-surf internet,kufungua email,kudownload mp3 miziki,ku-burn CDs,etc..hiyo ni 1990's ujue

Yeye ndio kwa mara ya kwanza akiwa primary hiyo ni 1996 huko ana video game console ya Nintendo..watu tulishangaa katolea wapi

In the 90's hakuna cassette ya movie yeyote,au rapper yeyote wa America umwambie akuletee ashindwe..imagine ni 1997 kushuka chini Moshi mjini cafe ni moja na mji umejaa tope wote

Magazine gani kutoka America iwe Source,Slam,etc Abdi Hussein hana na tena ni mapya?

Hapa naongelea mtu alikua 12-13-14-15-16 years old!

That little nigga was legendary aisee
Kamzike sasa bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntatuma ujumbe mshua

Rest in peace my nigga

Kila anaemjua tangu utotoni atakuambia that nigga was legendary kua ahead of people in lifestyle

He was good dude kiukweli ila kuna wasiompenda sababu anawapiga bakora kwenye their own majigambo game

Majigambo wenzie ndio waga wana tatizo nae,ila sisi low key,tunamkubali sana!
Sema angeingia 18 zangu namtoa ubongo kabala haja koki lakini bunduki angepata Drop kick moja matata sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana wwe hujui kuwa kutoa tu silahaa kwenye public ni kosa kisheria hata Kama unamiliki ki halali!? Sasa kila Sasa ukiwa unajisikia kutoa bastola unatoa tu!? Silahaa inatakiwa itoke kwenye hatari na siyo kuitoa kwa show tu,kuna watu wengine wabaya wakijuwa una silahaa tu lazima wakuwinde hadi wakunyanganye hiyo silahaa yako wakapige nayo kazi za maana siyo kazi zenu za kutisha Walevi bar na bastola zenu!!
Jamaa alihisi yupo Marekani 😅😅😅
 
Mkuu

Alex sio fala kiivyo....

Sema kawa mtu mzima hadi naona alikua na kitambi

Jamaa sio fala the way you think...ingetokea shootout

Ila kama wote mna gun mngeheshimiana tu wala msingeletea altercations zote hizo
Kuna omela mmoja Niko Ndugu uko mwanza kisa nmemwambia counter aweke nyembo ya ney wa mitego hakuna maisha magumu tofauti ni viwanjo na alikuwa anamtaka demu tuko nae kwa meza akajaa mazima kuchoma gun nikanyoosha sime namwambia ukikoki tu nakuua nakukata shingo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa....kama inavyosemakana pale alikuwepo askari sijui na alimuonya huyo askari angemkamata amzuie kabla ya kufanya maafa

Ova
Hasira naskia zilikuwa za kuzuiwa na huyo askari asifanye fujo maana alimwambia ninayo ya nguvu kuliko yako hivyo tulia tunywe bia tu hapa amani!

Kama unavyojua kisasi cha mlevi yani kikawa kinamuuma kwanini yule jamaa amemtuliza. Zikaanza zile...,,”Kwani huyo anayejifanya yeye ni usalama ni nani hapa ananizuia mie kushika chombo changu”

sahio jamaa wa usalama alishajikataa mapema kwahio jamaa hasira akatoa mkwasa tena. Yule Gift alikuwa meza ya jirani akainuka kishujaa baada ya kuhamaki ile “Oya kwani huyu jamaa ni nani mbona anatuzingua tushamtuliza sana af anazingua tu”...”Kaka rudisha silaha yako basi mambo gani unafanyaa” huku anamfuata jamaa aka load mkwasa akamtia njugu ya paja dogo kakimbilia usawa wa chooni akaongezwa ya utumbo akaenda deki! Jamaa kabweka sana kisha akamrudia dogo na kumshona ya ubongo 😅😅😅 mchezo ukawa umeisha!
 
Dogo alikua famous aisee...alikua anapenda attention

Mostly alikua very very good guy,anapenda company sana,very good dude

Without him my childhood isingekua poa...official name yake shule ilikua Abdi Hussein

Ukigeuka ni Alex Buretta,ikafika times anatumia Alex Games,ikawa Alex James,ikaja Alex James Korosso,nasikia ukubwani Dar wanamuita Simba

I remember him sana,yeye ndio alitufundisha ku-surf internet,kufungua email,kudownload mp3 miziki,ku-burn CDs,etc..hiyo ni 1990's ujue

Yeye ndio kwa mara ya kwanza akiwa primary hiyo ni 1996 huko ana video game console ya Nintendo..watu tulishangaa katolea wapi

In the 90's hakuna cassette ya movie yeyote,au rapper yeyote wa America umwambie akuletee ashindwe..imagine ni 1997 kushuka chini Moshi mjini cafe ni moja na mji umejaa tope wote

Magazine gani kutoka America iwe Source,Slam,etc Abdi Hussein hana na tena ni mapya?

Hapa naongelea mtu alikua 12-13-14-15-16 years old!

That little nigga was legendary aisee
Ooh, buretta ni Keni hiyo kwa mamake basi
 
Unaona sasa

Una catch feelings like a loser

Yaani mtu akienda kinyume na hoja za watu inakufanya unakua manung'uniko namna hii?

Sipo hapa kuonesha nani anajua Kiswahili au English zaidi ya nani,kama hiyo ni hoja yako nitoe kwenye hiyo competition

Mimi natumia lugha kama tool kufikisha my point across

Wewe kama hupendi my labnguage usage and style,too bad,I cant help ya.

Mimi natoa hoja za upande wa pili regardless....alieua ni mwanangu utoto kule I know him na pia natoa perspective rationally

Kama hunipendi sio tatizo na kama hupendi nachoongea sio tatizo,sio lazima tupendane
Say it in English only, could you?
 
Back
Top Bottom