Upo sahihiHuyu si mtoto wa Mzee James Oraaa wa Majengo Moshi, baba yake alikuwa real money maker & fighter. Hawa ni wanyakyusa ila maisha yao wamekuwa Moshi.
Baba yake kamiliki mguu wa kuku kipindi Cha kina Raisi Mwinyi na akuwahi kusumbua raia na mtu wa watu.
Alikuwa anakutafuna si ndiyo! Inabidi muanzishe chama na Jocate a k a mkuu wa wilaya.Alikuwa babe wangu kitambo
Fighter Sana wa maisha.ila alikuwa na sifa dunia nzima yaani.alizaliwa kwenye utajiri mzee wake akafulia hakukubali .jamaa alikuwa mbishi hadi kwenye maisha kweli bwana akaja akatoboa.miss u abdi Alex koroso.unakumbuka uzi wangu wa watu naoelewana nao?? Nilimtaja
Mbona hapo juu umekumbatiwa mshiki wangu.Nimekukwepa na nn tena mleu[emoji23][emoji23] infact sitaki ujinga na mwili wangu
Ha ha ha mahabaaaMbona hapo juu umekumbatiwa mshiki wangu.
PoazzMambo?
mkuu tupo tunaokusubiri utufungue macho kuhusiana na hiyo barmkuu ni story ndefu sana ila alikua amedhamiria kama 2 weeks before na sababu ni kitu kidogo sana...ila yeye aliweka moyoni ishu ya kawaida...mda mrefu....! hakua na kichaa ila alikua na kisasi, aliowatafuta wote walikataa kuja maana aliwapigia simu wakagoma kuja...! kesho nitawaelezea muundo wa baa ya lemax na aina ya watu wanakaa hapo ni wa aina gani...na tabia zao...ile sio baa ya kawaida...ila mkinicrush ntakauka na hamtajua kitu..!
ndioHuyu ndie wanasema mziba pancha
Poazz
Mkuu picha za kichwa chake na ubongo hauna utuwekee tuone, wengine tuko mbali.Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.
Habari zaidi zitawajia
MUENDELEZO...
===
Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.
TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)
View attachment 1857511
Mashuhuda wameeleza kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya kuwatishia watu kuwapiga risasi wakati wakipata kinywaji.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana Julai 17,2021 katika baa ya New Lemax iliyopo maeneo ya Sinza kwa Remmy
Mashuhuda wamesema siku ya tukio Korosso alifika kwenye baa hiyo aliyezoea kunywa akiwatisha wenzake na kwamba anatamani kuua mtu.
"Gift Mushi alipigwa risasi moja ya mguu, mbili za tumboni baada ya kumuona anaendelea kuangaika chini alienda kummalizia kwa kumpiga risasi tatu kichwani na baadaye kurudi kwenye kiti alichokaa kujimalizia mwenyewe kwa kujipiga risasi moja kichwani," amesema Karim Hussen.
"Alikuja toka asubuhi akiwa na gari yake ambayo alimpa ufunguo aitengeneze huku mwenyewe akiwa anaendelea kunywa na kuwatisha wenzake muda wote na baadae Gift Mushi ambaye ni marehemu akamfuata kumshauri aache kuwatisha wenzake wakati wakinywa."
"Baadaye kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa naye silijui jina lake akamuambia kwamba kuwa yeye ni usalama wa taifa na kumuonesha kitambulisho baadae alitulia na kuanza kuomba msamaha, alikaa kimya kwa muda akawa anajishauri ghafla alitoka kwenye kiti alichokaa na kwenda hadi kwa DJ kumuambia azime muziki nako alikataliwa" amesema Lema.
Lema amesema "Kossoro baada ya kukataliwa kuzima muziki alianza kuongea kwa sauti kubwa na kusema watu katika baa wanajifanya usalama na kuchomoa bunduki yake kuanza kupiga risasi juu baadae Gift Mushi alipomfuata kumshauri alipigwa risasi ya mguu kabla ya hajakaa sawa alipigwa risasi mbili za tumboni na akuanguka chini na watu wengine walikuwa wanakunywa walianza kukimbia," amesema.
Amesema wakati huo Gift Mushi alikuwa chini anahangaika baadae alimfuata tena kumpiga risasi tatu kumalizia kumuua na baadae alitoka nje ya baa na kwenda kwenye gari yake kufungua mlango alikuta umefungwa.
Husseni anaeleza "baada ya kuona mlango haufunguki alirudi tena kwenye baa na kukaa kwenye siti yake kisha kujipiga risasi ya kichwa na baadae sisi tulijitokeza,"
Husseni amesema siku hiyo Gift Mushi hakulewa isipokuwa Alex Korosso alikuwa amekuwa na tabia ya kuwatisha watu kwenye baa hii toka miezi miwili alipoanza kumiliki silaha hiyo yenye magazini 16," amesema.
Credit:Mwananchi
Umekosea maelekezo, ni kulia siyo kushotoWeekend hii usije njoo weekend ijayo kuanzia ijumaa ,Hadi jumamosi
Iko ukivuka Airport njia ya kwenda gongolambo unakunja kushoto jiapanda segerea unanyoosha mwemdo kama wa dakika 4 ukilipita daraja dakika 3 unafika mwembeni upande wa kushoto ndiyo ipo THE ANDROID
Live by the gun Die by the gunwhat you love the most can also be the part of your death
View attachment 1859249
😠 Hiyo ndio dislike.Dislike kivip we mama
AminaNashukuru kama uko salama.
Amina
Logickosa lilifanywa na wote waliokuwa pale....alipotoa pistol once.....ilipaswa aripotiwe police direct....nae yule usalama taifa aliekuwepo pale,, mzembe sana....anajua mbinu zote za kiintelijinsia...but aliishia kuonyesha ID tuu...sbb hata wao hawaruhusiwi kuwepo kwenye starehe na silaha....incase kuna progress wanaimendea....so yule raia hakupaswa kuwa nayo pale sembuse kuionyesha.....alipaswa kuchukua hatua hata kwa kuripoti kimya kimya....ona klichotokea sasa...... wananchi wapewe elimu juu ya kuripoti matukio kama haya mapema sana.....la sivyo watakufa wengi mno......pole wafiwa...poleni WATANZANIA wenzangu.....hili ni janga pia...
Unaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyoVyombo vya usalama pekee ndo vingeweza kumdhibiti ndugu na sidhani kama hawakutoa taarifa... mtu ana bastola unaanzaje kumsogelea na unaona mwenzio kauliwa bila sababu hapo.
Mtu wa usalama nae wakufukuzwa huyooo kengee kabisaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Unaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyo
Sasa hapo ndipo alitakiwa kumzuia,lkn inaonekana jamaa alipompiga jamaa watu
Wote walitoka nduki
Ova