Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

WEEEEEE.m YALINIKUTA SISIMIZI BAR NIKIWA NA MA.PROF WANGU TUNASUKUMA.MWENDO MKUU...SIKIA KWA WATU

KULIKUWA NA KASHAN GWE MEZA YA NNE PALE DARJAN KUSHOTO... MAKAKAA WATATU NA MADADA WAWILI TUKANZA KUCHEKA
WANAUME WAKAENDA NJE TUKAJUA CHOONI KURUDI SI WATU WANYAMA MKUU MMOJA AKASOGEA KARIBUYETU KAMA ANATOA ODA TUKASIIKIA CHAP ANGANI KILAMTU AWRKEMEZANI MZIGO AISEE HAJA ILINTOKA NILIHISI AMENIPIGA MIMI AISEE......WALEMADADA NDIO WAMESIMAMA MLANGON NAO WANA MOTO AISEE PROF MMOJA ALIDONDOKA RIP HAKUWA SAWA TOKA SIKUHIO....NA BAR NKASIZI KWAMDA MKUU NIKIIJARIBU KWENDA BAR NAHISI WANAKUJA WEWEE.. I NGU ATUPONYE TU
W
Hahahaha

Mimi matukio ya silaha yalinikuta
Bar ya uhuru peak tulikuwa tunapiga vitu vyetu, muda sana ,kuna mama alikuja na gari akashuka akatoa silaha akapiga kumuelrkezea dada mmja ye alidai anamchkua mme wke ilimkosakosa huyo dada alikimbia alirudi kwao singida😂
Watu wote pale tulipotea
Kuna tukio ilinikuta hongera bar,kuna tukio lilinikuta masai club ile natoka tu wazee wa kazi wakavamia nko nje nasikia ndani shaba
Kuna tukio lilinikuta maridadi bar mkwajuni
Hahah mpwa matukio ya kwenye mabar ni mengi...ndomana nmeachana na mambo ya kwenda kwenye mabar maana nliona sasa ntakuja kufa nkiwa kwenye bar
Mpwa vichaa ni wengi

Ova
 
HILI CHAGA FALAAA MPWAA.KWANZA JUMUIYAYA WACHAGA TUMEOMBA AZIKWE HUKUHUKU DAR ASITUPELEKEE NUKSI MOSHI
Alikuwa na kichwa kibov na siku ile yaelekea alikuwa na stress😂😂

Ova
 
Hahahaha

Mimi matukio ya silaha yalinikuta
Bar ya uhuru peak tulikuwa tunapiga vitu vyetu, muda sana ,kuna mama alikuja na gari akashuka akatoa silaha akapiga kumuelrkezea dada mmja ye alidai anamchkua mme wke ilimkosakosa huyo dada alikimbia alirudi kwao singida😂
Watu wote pale tulipotea
Kuna tukio ilinikuta hongera bar,kuna tukio lilinikuta masai club ile natoka tu wazee wa kazi wakavamia nko nje nasikia ndani shaba
Kuna tukio lilinikuta maridadi bar mkwajuni
Hahah mpwa matukio ya kwenye mabar ni mengi...ndomana nmeachana na mambo ya kwenda kwenye mabar maana nliona sasa ntakuja kufa nkiwa kwenye bar
Mpwa vichaa ni wengi

Ova
MPWAAA UJAFUNGUA.KANISAA??HAHAHAAHAAA YALINIKUTA BAR YA SISIMIZI.TOKA SIKUHIO YAAN NAAMKA NA MORNING GLORY KUSALI NILIONA MWISHO WA DUNIA UNAKARIBIA WEE
 
Alex alikuwa na sifa tunaomjua Wala hatujali ngapi tumeumia tu kamuua mwenzake.
Kuna Xmas aliweka m 10 mezani watu wale na kunywa
Alikuwa na sifaaaaaaaaaa mpaka unachoka yaani
Watu wa sifa sifa hawafai kumiliki silaha

Ova
 
Alikuwa na kichwa kibov na siku ile yaelekea alikuwa na stress😂😂

Ova
Mkeweee anajuaa.ukwelii.nasikia.hakulalaa nyumbaaani hakunafala analalaa bar mke anasema hakuwa anapokea simuakataka kwenda POLISI
 
MPWAAA UJAFUNGUA.KANISAA??HAHAHAAHAAA YALINIKUTA BAR YA SISIMIZI.TOKA SIKUHIO YAAN NAAMKA NA MORNING GLORY KUSALI NILIONA MWISHO WA DUNIA UNAKARIBIA WEE
Mpwa nafikiri unajua sisi wengine tulikuwa manightmare mjini tushakutana na mengi
Mpwa kna bar moja sinza jina kapuni
Ila sahv imededi,ilikuwa wateja wakiwa nyomi
Manager anawatonya wazee wa kazi wapige ambush...wakifika mnambiwa mlale chini mnapigwa masage Hahaha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkeweee anajuaa.ukwelii.nasikia.hakulalaa nyumbaaani hakunafala analalaa bar mke anasema hakuwa anapokea simuakataka kwenda POLISI
Watu aina hiyo wako wengi mpwaaa
Mm nna mwaka na bar yyt sikanyagi
Maana vichaa masifa wako wengi
Wageni wa pombe na starehe
Acha tujikalie kwa duka la mangi tu
Au tunaenda kwenye sehemu za kunywa za malegend kama kwa mzee Fernández

Ova
 
Hpo bado visanga vya bar za tmk 😂
Acha watu watulie 😂😂
Maana syo kila anaye kuja sehemu za pombe ni mzima

Ova
Mpwaaa.nimewazaa alikua.mzee was kz nn dili ikagomaa akaamua.kujipigilia aondoe strss dah kama aliiazima balaaa
 
Back
Top Bottom