miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,088
[emoji23][emoji23][emoji23] niko kivita sana siku hzBasi Kama maisha yamekuchangamsha natumain now hujakaa kimanka umekaa kimjini mjini eti [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] niko kivita sana siku hzBasi Kama maisha yamekuchangamsha natumain now hujakaa kimanka umekaa kimjini mjini eti [emoji23][emoji23][emoji23]
Moshi hutakiwi ubaki huko huko kwa kina Samaleko..[emoji23][emoji23][emoji23] niko kivita sana siku hz
Kafara hili mkuu,ndio maana kamuua yule dogo wa watu bila sababu alijua atasave the sacrifice lakini wapi jamaa wamemng'ang'ania koo wanataka damu yao ikabidi ajisalimishe tu kwa maana hakuwa ameandaa kafara.Tarehe 17/07/2020 mdogo wake 17/07/2021 yeye [emoji848]?? Mshana unaneno gani hapa.View attachment 1858279
Tupe habari kamili ya ukweli.Kikao kipo hapo mwika wakuu na mm nipo kwenye kikao kama una swali serious kuhusu marehemu unaweza niuliza ni best friend wangu na mm ni member wa hiyo lemax..mengi mnayoyaongea sio kweli ni hearsay...ila mengine kweli
Duh inasikitisha, pombe sometimes siyo kabisa😪Chanzo mpaka sasa ni ulevi wa kicenge! Jamaa inaonekana alibutua hela mahali ama aidha alikuwa na stress maana inadaiwa toka jana alikuwa anatembeza gambe Elements, leo kaamkia Sinza toka asubuhi watu wanakula nae maji!
Sema jamaa akawa anatoa toa chuma kile anawadolishia wenzie.Wengine wakawa wanamsifia kuwa mashine kali huku wanamtuliza tuliza akawa anairudisha mfukoni ila mara ingine dogo huyo ambaye ni marehemu alikuwa akimwambia kuwa airudishe bana anatishia watu kufanya hivyo jamaa akaona dogo ameleta dharau 😛 akamtia ya paja akamuongeza ya tumbo na kumalizia ya kichwa!
Baada ya kuona ile movie midamu imezagaa akaamua ajiondoe na yeye kwa kujichapa ya kooni!
✔️Watampiga Ban,,maana hawa JF siku hizi ,wanajinadi kua una-speak freely,kumbe ndo wanaongoza kwA kupiga ban....
unatakiwa uwe na nin na nin ili umiliki mguu wa kuku madam??Mkuu, duka la madawa kkoo ni mchezo? Kilemba tu wajua bei yake? Unajua criterias za kumiliki bastola?
mzeebaba hamna sababu ya msingi mpak sasa kwan inadaiwa aliepigwa/aliepiga wote hawajuani kabisa na hakukuwa na fujo baina yao.Naona mpaka sahv hakuna mtu aliyesema chanzo cha hao kutunguana ni nini!
Naona wadau humu wana ngangania itakuwa mambo ya madem
Ova
Huyo baamedi alikuwa kiwango sana eh?mzeebaba hamna sababu ya msingi mpak sasa kwan inadaiwa aliepigwa/aliepiga wote hawajuani kabisa na hakukuwa na fujo baina yao.
Nitag huo uziKafara hili mkuu,ndio maana kamuua yule dogo wa watu bila sababu alijua atasave the sacrifice lakini wapi jamaa wamemng'ang'ania koo wanataka damu yao ikabidi ajisalimishe tu kwa maana hakuwa ameandaa kafara.
Humu JF kuna kisa kama hiki cha yule jamaa wa makambako aliefariki maeneo ya morogoro kwa ajali na mdogo next year year tarehe ile ile akafariki kwa ajali ya gari the same place.
Namkumbuka sana! Mtoto wake nilisoma naye shule ya sekondari Usagara A-Level, jijini Tanga. Hata mwalimu wa mpira (coach) namkumbukaUnamkumbuka jaji Koroso?
Hahah sawa bwasheeMoshi hutakiwi ubaki huko huko kwa kina Samaleko..
Kuna siku nilienda kutoa pesa kwenye ATM pale city, sasa kuna jamaa alikuwa ndani anatoa.......nikasema ngoja nisubiri atoke na mimi niingie pale maana sikuwa na uhakika kama machine nyingine zinatoa. Jamaa si akanipandishia kwamba mimi ni mtu mbaya hadi tukajibizana pale. Ni kweli unavyosema kuna watu walishavurugwa ni vizuri kuwa makini...Ni kwamba mtu anapoenda kuhitaji silaha ya kujilinda (bastola) tayari huyo mtu
kashakidhi vigezo vyote vyakuita laki 1 (kijisent) sasa ndugu yangu mtu ambae laki 1
ni kijisent unafkiri kuna wakumnyima silaha akiamua enda iomba? tena kwa kufata utaratbu?
maana ana uwezo wakuipata hiyo silaha kwa magendo,ila hajataka iwe hivyo akaamua afate utaratbu
unafkiri watoa vibali wakibustiwa na vijisent vya jamaa watakua na ubavu wakunyima/kuzuia vibali kwa muombaji?
Penye pesa hakishindikani kitu serikali yenyewe inahtaji pesa,sembuse huyo mtoa kibali cha kumiliki bastola?
Tufundishane tu na kufundisha watu wote kuwa unapoona unaeongea nae kakuzidi kila kitu Bila kujali ana bastola au hana, jiweke mbali nae maana ulimi wako wa neno 1 tu unaweza sababisha uka acha TITLE kwenye vyombo vyote vya habari.
Wenye pesa hasa watumia vileo sio watuwakukaa nao karibu kbsa, Ni mashetani yanayotembea nchi kavu ukiyavuruga yanakuvuruga kila kitu.
WEEEEEE.m YALINIKUTA SISIMIZI BAR NIKIWA NA MA.PROF WANGU TUNASUKUMA.MWENDO MKUU...SIKIA KWA WATUIle sauti pombe lazima ikate, kuna mwaka tukiwa bar wazee wa kazi wakaingia wakatandika kama tatu hewani.
Kilichotokea ni ndani ya nusu dk lile eneo tuliwaachia wao.
Nkadhan hua wanakusingizia kwamba hujui kuandka. Ila kwa mwandiko huu naona hawakusingizii kabisa[emoji1787][emoji1787]WEEEEEE.m YALINIKUTA SISIMIZI BAR NIKIWA NA MA.PROF WANGU TUNASUKUMA.MWENDO MKUU...SIKIA KWA WATU
KULIKUWA NA KASHAN GWE MEZA YA NNE PALE DARJAN KUSHOTO... MAKAKAA WATATU NA MADADA WAWILI TUKANZA KUCHEKA
WANAUME WAKAENDA NJE TUKAJUA CHOONI KURUDI SI WATU WANYAMA MKUU MMOJA AKASOGEA KARIBUYETU KAMA ANATOA ODA TUKASIIKIA CHAP ANGANI KILAMTU AWRKEMEZANI MZIGO AISEE HAJA ILINTOKA NILIHISI AMENIPIGA MIMI AISEE......WALEMADADA NDIO WAMESIMAMA MLANGON NAO WANA MOTO AISEE PROF MMOJA ALIDONDOKA RIP HAKUWA SAWA TOKA SIKUHIO....NA BAR NKASIZI KWAMDA MKUU NIKIIJARIBU KWENDA BAR NAHISI WANAKUJA WEWEE.. I NGU ATUPONYE TU
W
Hiyo ni hulka yake. Mboni sie wahaya tuna sifa ka zote lakin hatujawahi ua mtuAlikuwa tu anafanya biashara .kafanya biashara nyingi Sana China,Nairobi,Thailand Dubai bongo etc
Ya usalama sijui bna
Alikuwa mtu wa bataa anafanya hili anafulia anaanza tena.alikuwa mbishii hataki kushindwa anatoboa Tena hivo yaani.mtu wa masifa Sana yaani
TUKO NA.MISIBA HUO MDA MCHAFU UNAPATA WAPI NIKUELIMISHE WAKURUDISHE UKASOME..UPYANkadhan hua wanakusingizia kwamba hujui kuandka. Ila kwa mwandiko huu naona hawakusingizii kabisa[emoji1787][emoji1787]
MNATUUUAGA KULE KULIKOJIFICHA ACHATUHiyo ni hulka yake. Mboni sie wahaya tuna sifa ka zote lakin hatujawahi ua mtu