Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kikao kipo hapo mwika wakuu na mm nipo kwenye kikao kama una swali serious kuhusu marehemu unaweza niuliza ni best friend wangu na mm ni member wa hiyo lemax..mengi mnayoyaongea sio kweli ni hearsay...ila mengine kweli
Mwika sehemu gani mkuu exactly
 
Kabisa....kama inavyosemakana pale alikuwepo askari sijui na alimuonya huyo askari angemkamata amzuie kabla ya kufanya maafa

Ova

Niliona maelezo ya aliyesemekana alimfungia acc kwenye gar lake kuwa aliwatishia zaidi ya mara moja na hao waliomfata na kudai usalama [emoji23][emoji23][emoji23] kweli nimeamini hawana shida na usalama wa raia...

All in all inauma
 
Bahati mbaya kuna vijana wengi wamemiliki hizi silaha ili tu ijulikane nayeye ana cha moto.
Akisikia mwizi nje anakurupuka kwenda kufyatua hata hewani ili tu watu wajue.
Mimi ninayo nina mika minne sasa lakini hata wife hajui.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Utakuwaje nayo, halafu wife asijue? Mnaishije? Kwamba life hagusi vitu vyako?

By the way, pole sana kwa Familia zilizokumbwa na masononeko hayo...

Pombe ni mbaya asee zi, pombe huleta kujiamini kwa mtu...pombe huleta kujimwambafahi, unakuwa unajiona wewe ndo wewe, kwamba una nguvu kushinda chochote...ukiongeza na Pistol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hulka ya mtu[emoji23]Aisee, R.I.P
 
Niliona maelezo ya aliyesemekana alimfungia acc kwenye gar lake kuwa aliwatishia zaidi ya mara moja na hao waliomfata na kudai usalama [emoji23][emoji23][emoji23] kweli nimeamini hawana shida na usalama wa raia...

All in all inauma
Walitoka ndk nao😂😂😂

Ova
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Utakuwaje nayo, halafu wife asijue? Mnaishije? Kwamba life hagusi vitu vyako?

By the way, pole sana kwa Familia zilizokumbwa na masononeko hayo...

Pombe ni mbaya asee zi, pombe huleta kujiamini kwa mtu...pombe huleta kujimwambafahi, unakuwa unajiona wewe ndo wewe, kwamba una nguvu kushinda chochote...ukiongeza na Pistol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hulka ya mtu[emoji23]Aisee, R.I.P

Kuwa nayo na mke asijue inawezekana sana
 
Kikao kipo hapo mwika wakuu na mm nipo kwenye kikao kama una swali serious kuhusu marehemu unaweza niuliza ni best friend wangu na mm ni member wa hiyo lemax..mengi mnayoyaongea sio kweli ni hearsay...ila mengine kweli
Mkuu hivi huyu jamaa yenu alipatwa na nini hasa mpaka kufanya alichofanya..
 
Mlevi anamshuti mtu alafu anatambua kuwa ana kesi ya mauaji ya kufungiwa maisha jela kisha anaona laifu halina maana anajishuti na yeye, ni ngumu kuamini jamaa alilewa...kashuti akijua anachofanya na consequence zake alizijua ndio maana akawa na akili ya kujimaliza...sio akili za pombe hizi..alichofanya ni PRE-MEDITATED. kuna dhulma kati yao au mapenzi...

I wish Tz kungekua na wapelelezi wazuri wa kufuatilia mikasa ya kusisimua kama hii, wenzetu wangechunguza hadi history Nzima ya Jamaa toka alivyozaliwq wakajua why alifanya alichokifanya
 
Mkuu hivi huyu jamaa yenu alipatwa na nini hasa mpaka kufanya alichofanya..
mkuu ni story ndefu sana ila alikua amedhamiria kama 2 weeks before na sababu ni kitu kidogo sana...ila yeye aliweka moyoni ishu ya kawaida...mda mrefu....! hakua na kichaa ila alikua na kisasi, aliowatafuta wote walikataa kuja maana aliwapigia simu wakagoma kuja...! kesho nitawaelezea muundo wa baa ya lemax na aina ya watu wanakaa hapo ni wa aina gani...na tabia zao...ile sio baa ya kawaida...ila mkinicrush ntakauka na hamtajua kitu..!
 
Ukiwa unarudi home, nguo unaziweka wapi? Pistol unaificha wapi? Hahhaa...kwamba chumbani kwenu kuna uficho wa mtu kutomkuona hata siku moja!
Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inawezekana, muoneshe akufyatuee ubongo umelala
 
mkuu ni story ndefu sana ila alikua amedhamiria kama 2 weeks before na sababu ni kitu kidogo sana...ila yeye aliweka moyoni ishu ya kawaida...mda mrefu....! hakua na kichaa ila alikua na kisasi, aliowatafuta wote walikataa kuja maana aliwapigia simu wakagoma kuja...! kesho nitawaelezea muundo wa baa ya lemax na aina ya watu wanakaa hapo ni wa aina gani...na tabia zao...ile sio baa ya kawaida...ila mkinicrush ntakauka na hamtajua kitu..!
Hahahahahaha ulivomaliza chini...unaleta uzi au ndo yale mambo ya sehem ya pili itafata alafu upotee
 
Back
Top Bottom