Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inawezekana, muoneshe akufyatuee ubongo umelala
Hahahahaa...Tema mate chini mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
mkuu ni story ndefu sana ila alikua amedhamiria kama 2 weeks before na sababu ni kitu kidogo sana...ila yeye aliweka moyoni ishu ya kawaida...mda mrefu....! hakua na kichaa ila alikua na kisasi, aliowatafuta wote walikataa kuja maana aliwapigia simu wakagoma kuja...! kesho nitawaelezea muundo wa baa ya lemax na aina ya watu wanakaa hapo ni wa aina gani...na tabia zao...ile sio baa ya kawaida...ila mkinicrush ntakauka na hamtajua kitu..!
Mkuu humu ndani wote tupo sbbu ya kujifunza bila mipaka,
ndo sababu wengi tuna hide utambulisho wetu ili tuwe huru kuchangia lolote bila brake,,
Tunakusubiri uje utupe mbili tatu kuhusu hilo eneo..
 
Watu aina hiyo wako wengi mpwaaa
Mm nna mwaka na bar yyt sikanyagi
Maana vichaa masifa wako wengi
Wageni wa pombe na starehe
Acha tujikalie kwa duka la mangi tu
Au tunaenda kwenye sehemu za kunywa za malegend kama kwa mzee Fernández

Ova
Kweli bab, bar nzuri ni zile local saana ambazo limbukeni hawezi kuzipenda au zile expensive ambapo hata ulinzi wa maana unakuwepo...au kutulia na kipenda roho hotel room mkiagiza mambo yenu...humu middle class tuna tabu sana
 
Kafara hili mkuu,ndio maana kamuua yule dogo wa watu bila sababu alijua atasave the sacrifice lakini wapi jamaa wamemng'ang'ania koo wanataka damu yao ikabidi ajisalimishe tu kwa maana hakuwa ameandaa kafara.

Humu JF kuna kisa kama hiki cha yule jamaa wa makambako aliefariki maeneo ya morogoro kwa ajali na mdogo next year year tarehe ile ile akafariki kwa ajali ya gari the same place.
Nitagi kwenye huo uzi wa dogo aliyefariki moro wa makambako
 
Katika stori hii, najifunza kumbe inatupasa kujiepusha na majanga kama haya. Unamuona mtu anasema anataman kuuwa na kuleta ujuaji mwingi ni vema ukamkwepa tuu maana huwez jua ni nin kinamtia kiburi au kinamsibu kihwani. Ona kama jamaa ni kama alikuw anatafuta wakwenda nae safari yake ya milele.
 
Walimchekea sana, kama wangechukua hatua za kumdhibiti mapema ikiwemo kutoa report kwenye vyombo vya usalama yasingetokea hayo maafa! Na hili tukio iwe fundisho next time akitokea mtu kama huyo adhibitiwe mapema
Vyombo vya usalama pekee ndo vingeweza kumdhibiti ndugu na sidhani kama hawakutoa taarifa... mtu ana bastola unaanzaje kumsogelea na unaona mwenzio kauliwa bila sababu hapo.
 
Back
Top Bottom