Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Hahaaaa

Long time ago,Moshi mkienda kuoga mtoni dindini mwenye dudu kubwa kabisa anaheshimika

Alex alikua kwenye list yupo mwisho bana...kipindi hicho anaitwa Abdi Hussein....ila alikua anajenga hoja na maneno mia kidogo mpaka anaonekana wa maana wakati kwenye list ya madudu hayupo

Hahahaaaaa

All moshi niggas waoga mtoni know this and can relate
Huhuuhuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Maneno mia kadudu kanukta[emoji1787][emoji1787]
 
Mpwa haya mamboo Kampala yaan ni kama wana vifurushi vya mwezi yaan SHIDA moja SRC n mizigo doh

Nakumbukaa niliwindwa na JAMAA Mmoja mpaka nikawa natembea na karatasi ina namba za emergency

KINYWAJI n. Ki chochoroni TU Mpwa
Mpwaaa sikiatu yaan nambiwa wenyemaduka ya pembeni waliacha wazi maduka ndukiiii yani walivyosikia Moto angani wakaonaa mlangooo wa mbingunii ulee

Ukitoka hukolazim.a ukasali salamu Maria Marasaba
Mpwa huyu sio wewe....
 
Huwezi chukua rangi ya mtu kama kigezo cha uwezo wake wa kua huru...

Rangi ni kigezo cha hovyo sana.....

Ni ajabu unapangia watu marks kwendana na rangi za ngozi zao...wewe ni racist!
Wwe nakushauri Kama unampango wa kumiliki silahaa achaa mara moja, maana hiyo silahaa yako itakupeleka pabaya,inaonekana hujui kuji control,unacho waza wwe kichwani ndiyo unalazimisha kiwe!!
 
Aisee ngoja nipunguze kupenda ile kitu [emoji41][emoji41]
Watu wengi hawajui taratibu na Sheria za silahaa!hata yule Marehemu aliyepigwa risasi nae ana Makosa,unamfuataje Mtu ambae Kesha koki silahaa tena ukiwa mikono mitupu!? Unaambiwa silahaa hata ikishikwa na Nyani au Sokwe wwe kaa mbali sana, maana anything can happen anytime!!
 
Huu mwaka Ni mwaka ya wachaga kutoa roho za watu, juzi Kati mchagga kang'oa macho ya mama yake mzazi,juzi Tena mchagga kachoma nyumba na kumuua mme wake ,Jana tu mchaga kapiga Innocent man kwa risasi na kuua,Hawa watu ni makatili Sana kuliko jamii yoyote.
...
Kweli baada ya miaka 60+ ya uhuru bado tunawatu wana fikra za namna hii, jitiada zote walizofanya waasisi wa taifa hili kweli?, na undugu na ushirikiano wote waliotoa "CDP" kuvunja katiba halali ya uongozi wa kimangi ili tuwe na taifa moja au nikwakuwa shule hamfundishwi?
 
Back
Top Bottom