Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Bar nyingi za sinza,wanywaji wao huwa watu wa
Sifa sifa,sasa ukute dalali kauza gari basi ni vurugu tu

Ova
[emoji16][emoji16][emoji16] afuu kweli

Bora mengine yameungua na kubomolewa tena Yale maarufu B bar na Le chaz
 
Ukishakuwa kwenye sehemu za starehe,pombe
Ukiwa na chamoto issue ndogo inaweza tokea
Utashanga watu wanatoa bastola
Na yote hiyo hutokana na mitungi kichwani
Utakuta mtu haambiliki

Ova
Chuga wako wachimbaji wanastress ya kuishiwa huwezi kuta anamtishia mtu...,,zaidi huziuza wakiishiwa...kuna jamaa yng tulifuatana kuchukua 2009,mpka mwaka 2015 ilikua imeshakula 50m au zaidi kwa kupiga hovyo,kuna siku alipiga bar jirani na RC n RPC ilimtoka 9m yani bar walisema hasara 6m...
Police walichukùa 3m
 
Napafahamu sana kuna jamaa yako ndio huenda hpo kupata pigi,na sio bar ni kapub tu
Hahaha pale pembeni kwa nje kna kisaloon fulani cha kiume kidogo lkn kanajaza balaa
Pale nshapita sana lakini sijawahi ingia ndani
Maana bar za sinza nazielewa sana,wanywaj wengi wana ushamba
Hahaha mule jikoni kwa pig kna dogo mmja msingida anatengenezaga mambo

Ova
 
Chuga wako wachimbaji wanastress ya kuishiwa huwezi kuta anamtishia mtu...,,zaidi huziuza wakiishiwa...kuna jamaa yng tulifuatana kuchukua 2009,mpka mwaka 2015 ilikua imeshakula 50m au zaidi kwa kupiga hovyo,kuna siku alipiga bar jirani na RC n RPC ilimtoka 9m yani bar walisema hasara 6m...
Police walichukùa 3m
mzee kesi ya mke wa msuya imefikia wapi?
 
Hahaha pale pembeni kwa nje kna kisaloon fulani cha kiume kidogo lkn kanajaza balaa
Pale nshapita sana lakini sijawahi ingia ndani
Maana bar za sinza nazielewa sana,wanywaj wengi wana ushamba
Hahaha mule jikoni kwa pig kna dogo mmja msingida anatengenezaga mambo

Ova
mzee unaziaminia bar za wapi?
 
Chuga wako wachimbaji wanastress ya kuishiwa huwezi kuta anamtishia mtu...,,zaidi huziuza wakiishiwa...kuna jamaa yng tulifuatana kuchukua 2009,mpka mwaka 2015 ilikua imeshakula 50m au zaidi kwa kupiga hovyo,kuna siku alipiga bar jirani na RC n RPC ilimtoka 9m yani bar walisema hasara 6m...
Police walichukùa 3m
huwa unatembea nayo masaa 24?
 
Listen man

Wewe ni mtu mzima wa miaka 30 leo unapitisha judgement kwa children wa miaka 10

Like man,really?

Hawa ni watoto

They found hiphop and basketball kama vitu wanavyovipenda,naturally wataongea kama idols wao wanavyoongea kwenye records

These are kids,10 years old!

Stop this judgement to these kids!

Wewe una chuki na Kingereza cha America,ni chuki zako binafsi,sio wanadamu wote tunakichukia

Niambie wewe,ulipata albums na video za hiphop artists na kuweza ku-recite rap lyrics ukiwa na miaka mingapi na mwaka gani?

Alex did it 1994 akiwa na 10 years old....na I'm sure chini ya miaka hiyo alikua anajua,mimi nilimfahamu around 1994 kabla ya hapo sikujua chochote

As per his proficiency at that time 1994 alikua mzoefu maana yake alikua anajua vitu vingi sana alipokua below 10 years old

Kila mtu aliesoma Old Moshi or Mawenzi secondary,Rau primary,Mwereni primary,waliocheza basketball Baptist na CCP grounds know this child...wanaweza toa ushahidi hapa

Kumbuka ni Moshi in 1990's,mji ulikua bado mdogo mno,internet cafe ni moja mji mzima,hakuna maduka ya electronics wala magazines wala chochote,lakini 10 year old child alikua na kila kitu,alipokua anavipata hatukujua,regardless kwa utotoni kule he was beyond legendary

Wewe na uzee wako wote huu nikikwambia nipatie movie ya Space Jam : The Legacy,utaanza kutoa mimacho.....acha upumbavu huu kudharau katoto ka 10 years old

Chuki zako jiambukizie wewe mwenyewe,usizisukume kwa wengine!

Mwaka 1994 hawa watoto walikua 10 years old below that walikua na mwaka 0-9,ni watoto wananyonya hawa!

Stop wivu na watoto wadogo
mkuu internet cafe tena miaka 90s huo ni uongo uliopitiza unajua kuwa mpaka mwaka 97 label kubwa kama bad boy au death row hazikuwa na mawasiliano ya email?
 
Alex was as smart as it gets

Alikua ni mtu wa kupenda sifa tu

Yeye kaenda baa mpaka akawaomba wale watu samahani baada ya kusema wanaogopa anapotoa bunduki nje

Tatizo ni baada ya yote,Gift alirudi nyuma na kutembea kumfata na kuanza kumprovoke Alex na kujifanya kama anataka kumnyang;anya bunduki yake,what Alex did is exactly what is required upon any threat

Alex angeshinda hii kesi asubuhi na mapema....amejiua kwa hamaki tu

My nigga....best nigga on earth....kill these cochroches!

Hiyo kusema kadata ni nonsense,yupo duniani miaka 37 hakua mtu wa vurugu popote,the nigga was never physical!

Huyu mpumbavu kam-provoke Alex
MY niggah
 
Nani kakwambia tulikua tunaenda internet cafe kutuma emails death row au bad boy records?

Pia punguza ukichaa,mwaka 1996 internet cafe watoto walikua wanatumia Yahoo na worldsex.com mostly....

Yahoo yenyewe ilianza 1995

Mwaka 1996 Hotmail ndio inaanza ipo hot nyuma ya Yahoo ndio nilipofungua email yangu ya kwanza maana Yahoo ilikua overloaded kufungua email ilikua unasumbuliwa...huku nikielekezwa na Alex na group la wenzangu elfu kidogo

At that time tupo primary school

News zote za hiphop na basketball zipo Yahoo News,search engine ilikua engine ya yahoo...

Hivi kuna maisha ya 90's mtu hakupitia yahoo?Ndio ilikua Google ya wakati huo kama ilivyo kwenu sasa

Mengine ni makelele tu unatafuta
Yahoo na Worldsex.com [emoji23][emoji23]
 
hiyo death row au bad boy nimekutolea tu mfano sijasema kama mlikuwa mnawasiliana! Kiba100 we
 
Back
Top Bottom