Unaona sasa unavyofeli
Mkuu,miaka ya 80 Alex alikua na miaka 0-4,hivi mtoto wa miaka minne unataka aache kunyonya akasikilize album ya Rakim ya 1986?
Wewe ulikua libaba 1980's,Alex ndio anazaliwa
Alex kaja na album ya Nas ya 1994,mpya,akiwa na miaka 10 sio 14!
Miaka 14 Alex yupo Form 1 Old Moshi Secondary,acha kumuongezea miaka,unataka kupunguza legacy yake makusudi sababu ya wivu wako wa kingese
Sikua fala either,nilikua mzuri wa mambo mengine,sio kila mtu atakua na ujanja wa vitu vya mwingine,stop this nonsense
Na kama unadhani Moshi ni mahali pa mapimbi it shows you are delusional wewe!