Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Hakusema kwamba alex did the right thing

Lakini pia kwa uelewa wangu mdogo wa silaha nilivyo short tempered naogopa. Na sitaki tena kuimiliki naghairisha process. Naona sina sifa. Unawezaje mnyang'anya silaha mmiliki wa silaha aliyomiliki? Hiyo ni very risky maana imani yake ni kwamba unataka mpora halaf uigeuze kibao. Hata mimi niwe na silaha yangu, huwezi kunijia kindezi kunipora wakati nimeilipia na naimiliki mimi. Kuna sheria gani inasema hivyo? Alex amejihami mbali na kwamba alikua tungi. Always napenda sikiliza pande zote. Je gift pia angeiwahi akamdhuru hata mwingine kesi si bado ingemgekia alex mwenye silaha mbali na kwamba amekosea? Alex alishaweka silaha chini na kuomba msamaha. What happened tena? Ama gift aliamini ndo turn yake na yeye kuhit back? Yawezekana pia kijiwe ni cha gift hiko kweli na alikua na backup.

Mwenyewe nimepata somo, tukiwa bar nikaona mambo ya bastola naondoka. Sitaki kushindana na mwenye kibomba. Naonaga ni mtihani sana kumiliki maana unapaswa kuilinda silaha na silaha ikulinde. Ni mali yako hapaswi ishika meingine. Na sote tuchukue hili somo. Kwanza sipendagi fujo na hasa mabar ya kipuuziii...nashukuri tukio hili litakua somo kwetu wengi sana. Nilidhani ni jambo jepesi sana kuitunza silaha. Sielewi hawa wazee wetu wamewezaje miliki aisee ma tusisikie matukio. Ama ndo wanaua kimya kimya? Sitaki kbs. Nitaua ama kuuliwa
Ubaya mnakimbilia kwanini alitaka kupokonywa Silaha ila husemi kwanini walitaka kumpokonya Silaha!!! Hujui ni kosa kisheria kuonesha Silaha unayomiliki hadharani na kuanza kutishia watu ?

Hivi hujiulizi Kama Huyo alietaka kumpokonya Silaha na yeye angekuwa na Silaha Hali ingekuaje hapo?

Nyie mnakimbilia kwanini alitaka kupokonywa Silaha. Kila mtu anaemiliki Silaha akianza kutembea anaonesha Silaha iwe kwenye mitaa , Bars na mahotel hii nchi itakalika kweli ?

Ndio maana sheria inakataza kuonesha hovyo Silaha unayomiliki unaweza kufanya provocation kwa watu. Imagine unaonesha Silaha hovyo na mtu ana mzigo wa dhahabu unadhani atajisikije ?

Huyo Marehemu alikuwa limbukeni.
 
Sawa ugomvi wa Bar si mzuri. Lakini that Imbicile said it openly, kwamba hii kesi Alex angeshinda, amekimbilia tu kujiua kwa uwoga wake. Anasema hata yeye yupo na bunduki halafu anaona unamfuata lazima angeku shoot. Sasa huyo ni mtu wa kudebate naye kweli? Tayari ameconclude kwamba Gift alimprovoke Alex. Na no matter what the circumstance, owning a gun doesn't give you the right to kill or threaten people. Kuonyesha silaha hadharani kunaweka mmiliki wa silaha kwenye risk, wengi hawajui hili Unajua tu watu kujua una silaha inaweza kuwa hatari kwa maisha yako. Maana wapo ambao baada ya kuiona hiyo silaha watatamani waje kuichukua baadaye. Hata jambazi akikufata na anajua unayo silaha, ana nafasi kubwa ya kukuminia risasi kwanza ili usije ukaitumia hiyo silaha.
Kuna majitu yamejaa fangasi kwenye ubongo.

Hilo jamaa ukisoma linavyomtetea Huyo Marehemu chizi utajua wote akili zao zimejaa UTI
 
Yes. Very correct. Amesema hivyo kutokana na uhalisia wenyewe. Tukumbuke akili za pombe siyo. Tuliweke hili kichwani. And yes, maybe kweli wangeenda mahakaman alex angeweza shinda kulingana na ambavyo angejitetea. Its sad tumenpoteza gift na alex mwenyewe.
Angeshinda njaa labda ...

Angeozea jela mshamba huyo.

Tena huko mbingun achapwe viboko vya hatari iwe fundisho uko mbingun
 
Unaonaje kitendo cha mtu mwenye silaha kwenda nayo bar na kuanza kuitoa toa na kuringishia watu? Huo siyo ushamba? Kwa nini asiiache kwenye gari ambapo ni sehemu salama zaidi? What if wazee wa kazi wanavamia mlipo then wanakuona una silaha? Si wanaweza kukuona threat kwao na wewe ukawa victim wa kwanza?
Watetez wa muuaji hili hawalioni.

Shwain
 
Hata mimi nimefurahi limekufa, nimefarijika kwamba alijiachia risasi moja kwa ajili yake, marehemu hakua na akili, marehemu ni taahira.

Nahisi pia marehemu alikua shoga na lile ni mwili lake limejaa nyama watakua walikua wanaliinamisha, pumbavu sana.
kama nchi tukipoteza raia vichaa Kama wale lazima tusherehekee.

Na huko mbingun awe Shamba Boy kabisa afanye kazi masaa 24 bila kupumzika Hadi Lile li kitambi lake likatike awe na 6 Packs.

Jinga kabisa lile.
 
Huyo kwake Jehanam ya Moto sizani kwa mazingira aloondokea kama ataenda mbinguni.

Yani amekera wengi sana bora angejimaliza yeye mwenyewe nafsi yake kuliko kuua mtu asiye na hatia.
 
kama nchi tukipoteza raia vichaa Kama wale lazima tusherehekee.

Na huko mbingun awe Shamba Boy kabisa afanye kazi masaa 24 bila kupumzika Hadi Lile li kitambi lake likatike awe na 6 Packs.

Jinga kabisa lile.
Lile senge acha mashetani wakarifile tu huko jehanamu
 
Mnashupaza shingo bure. Ukishajua mtu ana silaha na mko mazingira hasa ya bar dawa pekee ni kumuepuka na kumpuuza. Sawa ni mshamba then what? Gift ndo huyo keshapotexa uhai. Nyie mnaona kama tunamback up. Yes, alionyesha silaha ma ni kosa kisheria. Wewe ukifurahia loss yake basi wako pia wanaoombooeza. Binafsi simjui na sijawahi msikia. Maybe ningeendelea ishi mo town ningeyapata haya. Just because ameccomit murder basi ndo tukatae uhalisia? What were u doing with your 10yrs of age.?

Na ndo maana hili tukio ni la kujifunza both ways,, mkiwa ulevini either uiache bom a yako mbali ama kwenye safe. Kwa tulio na hasira za karibu tusimiliki kabisa. Na ukaona mtu ananya kuonyesha onyesha bastola hivi leo unamuotea kumpora, next time anakuotea yeye unapoteza uhai. Binafsi napenda kuishi na sutaki maugonvi. Nikaona mabastola nasepa eneo la tukio. Ya nini yote hayo? Gift amepoteza uhai, hata tukasikitika ama kufurahi tunapata nn tena zaidi ya funzo? Tunapaswa pia kujua watu wanapitia mengi sana maishani ni kwasababu tu hawasemi. Ukute hata alex alienda jilipua ana stress zake hapo then wewe kwa wema tu unamshauri bro usifanye hivi anakuelewa anaweka bastola chini. Yaan kbs niamini kwamba gift alienda kwa upole mara ya pili baada ya utulivu? Hapana. He was aggresive ndo maana jamaa akaretaliate. Ndo maana sote basi tuchukue somo. Ukiina mtu ana bastola anafanya anayofanya bwana alex kaa mbali ama report polisi. Gift alikua anaendaje panbana na mwenye bomba? Nyie mmeweka hisia kwakua gift ameshafariki. Tuweke hisia pembeni na kuchukua funzo. Either positively ama negatively. Na hata ingeweza kuwa chupa tu na siyo bastola pia. Ya nn yote haya?

NOTA BENE:
Tujenge home bars majumbani kwetu[emoji28]
Kwenye garden kule unatupia counter yako unachill na masela.. mnafunga na screen yenu on match days wewe na masela wako. Unless otherwise unataka ushike wowowo la muhudumu
 
kwa hiyo wewe ulikuwa fala tu enzi hizo na unaonyesha bado ni fala mpaka leo maana stori unayoelezea ya mwanaume mwenzio tu wewe huna legacy. Eti unasifia mwanaume mwenzio kuwa na albamu sijui ya NAS wakati ana 14, huko Moshi mlikuwa bado mifala fala basi. Vijana wengi wa Tanzania hasa Dar es salaam walikuwa tayari wanasikiliza hiphop miaka ya tisini. Hiphop imeingia tanzania mwishoni mwa miaka ya 80. 91 na 92 tulikuwa na albamu za Naught By Nature , NWA na wengi tu na tulikuwa watoto wa primary. Wewe Korosso aliwazidi ujanja sababu wote mlikuwa mapimbi huko moshi na bado hadi hii leo unaonekana bonge la mshamba usiye na exposure. Yale makundi ya hiphop ya miaka 90 unadhani yalipata influence wapi? Don't try to act Gangsta wakati ni Mama Boy😀😀
Mkuu unajua kuna watu humu wanaona kuishi kusifia umarekani ni kitu kikubwa wakati wabongo wanabeba box kurudi home wanaogopa aiseeee....bora nilienda kusoma na kurudi nyumbani .....tatizo wengi washamba sana mkuu
 
Leo nilikuwa sehem na baadhi ya watu waliokuwepo wakat ili tukio linatokea..nilichogundua ili tukio watu wanaliongelea upande mmoja kwa uyu bwana Alex ila nilichokiona n kila mmoja kujifanya mwamba mbele ya mwenzake ndio kimesababisha aya yote
Doooh kama kweli Gift alileta ubabe mbele ya Manati ya Mzungu basi alikosea....Ilitakiwa atambue CHUMA hakina macho kile.

Hata mimi sihitaji kabisa kumiliki BOMBA maana sina uwezo wa kuvumilia ujinga.

Thank you. Hii story naona kama hayajaelezwa kweli upande mwingine.. tujipime sana aisee. Ni kosa kubwa sana kama ilikua ni aim yake. Yaan ni kwamfano mtu anayebuka kwenye zebra anakuambia akinigonga atanilipa. Imagine. Hajui gari ni chombo cha moto na hakina macho. Hajui hata akilipwa ameshapata ulemavu wa kudumu ama kupoteza uhai wake kbs.
Unajua akili ya mwanadam na akishalewa anakuwaga na visas,yaani hasau jambo hata kama alihudhika siku akilewa tu anakumbushia

Kuna mtu yuko pale jikoni kwenye pig namjua,anakwambia kabla huyo marehem alikuwa mikwazano kdg na mambo ya kulipa
Bill alikuwa anadaiwa na mmiliki
Mpaka kuna siku mke wake akaja ku clear...sasa inawezekana hta hilo jambo kama ni kweli,basi jamaa alikwazika au lilimuudhi,ndomana alipokuwa eneo lile anakata maji alikuwa anakunywa kwa jazba na pombe ukinywa huku ukiwa ma stress basi itakupeleka hivyo hivyo
Hapo hata akitokea mtu mkapishana kauli basi
Mtafanyiana mambo ya ajabu

Ova
 
Sikiliza interviews za mashuhuda....

Mwishoni Gift alimfata,kuna kama Gift hua hapendi mtu wa dharau,yeye alimfata nadhani kwa aggression,kama sio kutaka kumnyang'anya pistol yake itakua labda kumtukana

Kwanza ile kumfata tu,tayari Alex lazima ahisi ni aggression,na hapo inakua spark ya kuwasha retaliation

Gift as per maelezo ya marafiki zake,yule anaefanya nae kazi kijiweni kwake ni kua hua hapendi kuhisi kama anaonewa,yeye Gift alitafsiri gun exposure ni sign ya kumnyanyapaa akahisi huyu ana hela ananiletea madharau

Mwanzoni Alex aliomba hadi msamaha yakaisha baada ya akina Gift kusema sio vizuri kuonesha silaha baa.....yakaisha

Ila baada ya lisaa Gift alisimama kumfuata,that was the big problem.....

Kungekua na CCTV camera Alex angeshinda hii kesi vizuri tu...sema basi nae alikua muoga sana akajiondoa
Angechomoa murder lakini manslaughter ingemkaba.Mitigation ingemsaidia angepigwa adhabu ya miaka kadhaa Kama Lulu au zaidi au kifungo cha maisha kadri ambavyo mahakama ingeona kwa mujibu wa sheria na ushahidi wa ambao ungewasilishwa na upande wa DPP.Hapo bwana Alex angejitetea kwa utetezi wa self defense au insanity kwa maana ya ulevi ingawa hii ingekwama kwakuwa ni voluntary intoxication.Hivyo Alex angebaki na self defense Kama utetezi wake.
 
Unajua akili ya mwanadam na akishalewa anakuwaga na visas,yaani hasau jambo hata kama alihudhika siku akilewa tu anakumbushia

Kuna mtu yuko pale jikoni kwenye pig namjua,anakwambia kabla huyo marehem alikuwa mikwazano kdg na mambo ya kulipa
Bill alikuwa anadaiwa na mmiliki
Mpaka kuna siku mke wake akaja ku clear...sasa inawezekana hta hilo jambo kama ni kweli,basi jamaa alikwazika au lilimuudhi,ndomana alipokuwa eneo lile anakata maji alikuwa anakunywa kwa jazba na pombe ukinywa huku ukiwa ma stress basi itakupeleka hivyo hivyo
Hapo hata akitokea mtu mkapishana kauli basi
Mtafanyiana mambo ya ajabu

Ova
Nami naamini story iko biased ya upande mmoja. Hv wote ni wachagga eh? Muuaji na muuliwaji?

Mimi naemdelea kusisitizia, ukiwa bar. Kuwe na bastola ama hamna epuka ugomvi. Waweza hata sukumwa tu ukaangukia kisogo ukapotea uhai mazima. Yaan nifee na kitimoto ya urassa na white house ale nani
 
Yes. Hili ndo tunalopaswa kuliona. Hapa wengi tuko kimhemko. Angepigwa mvua kadhaa tu. Liwe funzo kwetu sote na basi
 
Mnashupaza shingo bure. Ukishajua mtu ana silaha na mko mazingira hasa ya bar dawa pekee ni kumuepuka na kumpuuza. Sawa ni mshamba then what? Gift ndo huyo keshapotexa uhai. Nyie mnaona kama tunamback up. Yes, alionyesha silaha ma ni kosa kisheria. Wewe ukifurahia loss yake basi wako pia wanaoombooeza. Binafsi simjui na sijawahi msikia. Maybe ningeendelea ishi mo town ningeyapata haya. Just because ameccomit murder basi ndo tukatae uhalisia? What were u doing with your 10yrs of age.?

Na ndo maana hili tukio ni la kujifunza both ways,, mkiwa ulevini either uiache bom a yako mbali ama kwenye safe. Kwa tulio na hasira za karibu tusimiliki kabisa. Na ukaona mtu ananya kuonyesha onyesha bastola hivi leo unamuotea kumpora, next time anakuotea yeye unapoteza uhai. Binafsi napenda kuishi na sutaki maugonvi. Nikaona mabastola nasepa eneo la tukio. Ya nini yote hayo? Gift amepoteza uhai, hata tukasikitika ama kufurahi tunapata nn tena zaidi ya funzo? Tunapaswa pia kujua watu wanapitia mengi sana maishani ni kwasababu tu hawasemi. Ukute hata alex alienda jilipua ana stress zake hapo then wewe kwa wema tu unamshauri bro usifanye hivi anakuelewa anaweka bastola chini. Yaan kbs niamini kwamba gift alienda kwa upole mara ya pili baada ya utulivu? Hapana. He was aggresive ndo maana jamaa akaretaliate. Ndo maana sote basi tuchukue somo. Ukiina mtu ana bastola anafanya anayofanya bwana alex kaa mbali ama report polisi. Gift alikua anaendaje panbana na mwenye bomba? Nyie mmeweka hisia kwakua gift ameshafariki. Tuweke hisia pembeni na kuchukua funzo. Either positively ama negatively. Na hata ingeweza kuwa chupa tu na siyo bastola pia. Ya nn yote haya?

NOTA BENE:
Tujenge home bars majumbani kwetu[emoji28]
Kwenye garden kule unatupia counter yako unachill na masela.. mnafunga na screen yenu on match days wewe na masela wako. Unless otherwise unataka ushike wowowo la muhudumu
Funzo liwe kwa wote anaemiliki na asiemiliki.

Msiwe bias eti funzo apate asie na Silaha tu. Eti mtu ukiwa na Silaha usiambiwe. Tembea hata hapo Burundi uone watu wasivyoogopa bunduki , una kibunduki chako ndio uogopwe. Uanze kutisha Tisha watu Kuna sehemu unazimwa na hicho kibunduki chako.

Tuseme wanaomiliki Silaha wazingatie miongozo ya kumiliki silaha uone Kama Kuna mtu atamfuata kutaka kumpokonya Silaha.

Huyo jamaa alikuwa chizi , eti Birthday keki likaweka Bunduki kwenye keki. Nguruwe kabisa lile Bora limekufa shetani lile.
 
Unajua akili ya mwanadam na akishalewa anakuwaga na visas,yaani hasau jambo hata kama alihudhika siku akilewa tu anakumbushia

Kuna mtu yuko pale jikoni kwenye pig namjua,anakwambia kabla huyo marehem alikuwa mikwazano kdg na mambo ya kulipa
Bill alikuwa anadaiwa na mmiliki
Mpaka kuna siku mke wake akaja ku clear...sasa inawezekana hta hilo jambo kama ni kweli,basi jamaa alikwazika au lilimuudhi,ndomana alipokuwa eneo lile anakata maji alikuwa anakunywa kwa jazba na pombe ukinywa huku ukiwa ma stress basi itakupeleka hivyo hivyo
Hapo hata akitokea mtu mkapishana kauli basi
Mtafanyiana mambo ya ajabu

Ova
Halafu linajifanya Lina hela Lina madeni ya Bia tena local Beers.

Bora limekufa shetani lile
 
Ila pia self defense mahakama ingejikuta inapima ulinganifu wa bastola na un armed person.Je Gift alikuwa na silaha?Matumizi ya bastola yangeonekana ni Matumizi ya nguvu kupita kiasi.Ingeonekana bwana Alex mwana wa koroso alitumia excessive force.Utata mwingine ungekuja kwenye idadi ya risasi zilizopigwa.Alex inaonekana alishot mara tatu kuelekea victim yuleyule.Je,hapo si ingeonekana alikusudia kuua? Ni bahati mbaya mara mbili kwamba Gift kafa na Alex kafa,hii kesi ingeset precedence muhimu Sana.Lakini inatakiwa kisa hiki kichunguzwe na kesi iendeshwe.Unaweza kukuta Kuna muhusika au wahusika wengine muhimu.Hata Kama hawapo,jinai ni jinai hata Kama mtuhumiwa amekufa inabidi haki itafutwe hata Kama mshtakiwa atakuwa ni marehemu.
 
Mnashupaza shingo bure. Ukishajua mtu ana silaha na mko mazingira hasa ya bar dawa pekee ni kumuepuka na kumpuuza. Sawa ni mshamba then what? Gift ndo huyo keshapotexa uhai. Nyie mnaona kama tunamback up. Yes, alionyesha silaha ma ni kosa kisheria. Wewe ukifurahia loss yake basi wako pia wanaoombooeza. Binafsi simjui na sijawahi msikia. Maybe ningeendelea ishi mo town ningeyapata haya. Just because ameccomit murder basi ndo tukatae uhalisia? What were u doing with your 10yrs of age.?

Na ndo maana hili tukio ni la kujifunza both ways,, mkiwa ulevini either uiache bom a yako mbali ama kwenye safe. Kwa tulio na hasira za karibu tusimiliki kabisa. Na ukaona mtu ananya kuonyesha onyesha bastola hivi leo unamuotea kumpora, next time anakuotea yeye unapoteza uhai. Binafsi napenda kuishi na sutaki maugonvi. Nikaona mabastola nasepa eneo la tukio. Ya nini yote hayo? Gift amepoteza uhai, hata tukasikitika ama kufurahi tunapata nn tena zaidi ya funzo? Tunapaswa pia kujua watu wanapitia mengi sana maishani ni kwasababu tu hawasemi. Ukute hata alex alienda jilipua ana stress zake hapo then wewe kwa wema tu unamshauri bro usifanye hivi anakuelewa anaweka bastola chini. Yaan kbs niamini kwamba gift alienda kwa upole mara ya pili baada ya utulivu? Hapana. He was aggresive ndo maana jamaa akaretaliate. Ndo maana sote basi tuchukue somo. Ukiina mtu ana bastola anafanya anayofanya bwana alex kaa mbali ama report polisi. Gift alikua anaendaje panbana na mwenye bomba? Nyie mmeweka hisia kwakua gift ameshafariki. Tuweke hisia pembeni na kuchukua funzo. Either positively ama negatively. Na hata ingeweza kuwa chupa tu na siyo bastola pia. Ya nn yote haya?

NOTA BENE:
Tujenge home bars majumbani kwetu[emoji28]
Kwenye garden kule unatupia counter yako unachill na masela.. mnafunga na screen yenu on match days wewe na masela wako. Unless otherwise unataka ushike wowowo la muhudumu
Masela wenyewe hawa unawakaribisha home wanaanza kumendea daughters, hgs, ndugu na wives? Usijaribu kufanya hiyo kitu kabisa, masela mkutane juu kwa juu huko, home is the sacred place! Kuna jamaa yangu nilimkaribisha home mara mbili tu akadaka namba ya hg wetu na kuanza kumjaza maujinga, siku nililewa nikamtandika mbili za kidevu na urafiki ukaishia hapo!
 
Nami naamini story iko biased ya upande mmoja. Hv wote ni wachagga eh? Muuaji na muuliwaji?

Mimi naemdelea kusisitizia, ukiwa bar. Kuwe na bastola ama hamna epuka ugomvi. Waweza hata sukumwa tu ukaangukia kisogo ukapotea uhai mazima. Yaan nifee na kitimoto ya urassa na white house ale nani
Ndomana nasema ukishakuwa kwenye sehem ya vilevi, na kukatokea mambo kuoneshana, tishana silaha,hiyo sehemu uwezekano wa kutoana uhai ni mkubwa sana

Ova
 
Back
Top Bottom