Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

Hapo kila gari kodi sio chini ya 5m zidisha mara 1000 tu uone ni bara bara ngapi zitajengwa na huo ushuru wa bandari
Mkuu wamesema 65% ya magari yote ni Transit. Kwahiyo kodi hapo ni kwa hayo 35% tu. Mengine yanaenda kulipa kodi kwenye nchi yanakoenda...
 
Wazo zuri.

Unaweza kaa hii Dar hafu ata kivuko cha Kigamboni usiwahi kukitumia.

Huu mji mishe mishe zinatubana sana.
hilo nalo neno mkuu,me mbuga za wanyama hadi leo hii sijawahi kwenda daah
 
Kabisa mkuu nimeingiza Trucks tokea ijumaa kupakia Plant tokea jumatatu nikuzungushana tu machine mbovu wanakosa hata betri za ku boost machne kweli? aibu sana mtu akiwa nnje hawezi kuamini tukisemacho.
Mtanikumbuka. JPM 15-21.
 
Mkuu wamesema 65% ya magari yote ni Transit. Kwahiyo kodi hapo ni kwa hayo 35% tu. Mengine yanaenda kulipa kodi kwenye nchi yanakoenda...
Poa tutaambulia tozo(port charges etc)
 
Port charges sawa kabisa. Sio kodi aliyoipigia hesabu huyo mtamzania mwenzetu...
Sasa 35% ya 3,700 ni kama units ngapi zinazobaki nchini? Hebu twende mathematically tuache porojo!

Ikumbukwe hazijaingiza ist, corrolla na vits peke yake humu kuna ma V8 na ma V6 ya kutosha! Kodi zake mnazijua
 
Bahati mbaya niko bar nazimua. Sijatoka na calculator...
Ukitoka bar utakuja kukokotoa ila roughly ni kama 1,200 hivi! Sasa kodi inayochukuliwa kwenye hizo units ni 10B+ na hio ni kwa meli moja! Bado hujaweka port charges kwa hizo za In-Transit ambazo ni 65% pia zitaacha hela nzuri tu.

Hizo hela mnaziona ndogo?
 
Hakuna aliyepinga. Sisi tulikuwa tunamrekebisha mtanzania mwenzetu alyedhani Tanzania itanufaika na kodi ya magari yote 3700+. Ilikuwa ni hilo tu, baaasi....
 
Hakuna aliyepinga. Sisi tulikuwa tunamrekebisha mtanzania mwenzetu alyedhani Tanzania itanufaika na kodi ya magari yote 3700+. Ilikuwa ni hilo tu, baaasi....
Kunufaika by 100% sio rahisi ikiwa kila mtu anapambana adokoe hapo akajenge ghorofa mahali 😅😅😅 hata kale ka system ka GePG nahisi wameshagundua namna ya kukala pesa ndio maana still kapo ila vinginevyo wangeisha kabalarua vipande vipande.
 
Unaambiwa hiyo meli ina hadi uwanja wa mpira ndani wenye uwezo wa kuingiza mashabik efuishirini na viwanja vya mashindano ya pikpik na magari wenye urefu wa kilometre sabini Kuna Hadi supermarket huko ndani na ukitoka sehem moja kwenda nyingine unapanda Bajaj au tax (stori za vijiweni)
 
Iliyobaki tuchimbe sasa bahari ifike Dodoma ama sivyo nduguzangu , na baadaye ielekezwe kule chattle kwa malaika mkuu, bila kusahau Bagamoyo project nayo ianzishwe mapeeema kabisa wapewe miaka mia mbili. Kagame aliwaambia akiwa na hiyo facility nchi yake inakua heaven hamkuamini, kwakua serikali ni ya hovyo usikuite hii ndio alfa na omega haiwezi kuja nyinmgine tena, uchumi huu wa kumsikiliza Mwigulu hamna kitu hapo
 
Tukubuali tukatae, hi ni kazi nzuri na kubwa ya marehemu/hayati John Pombe Joseph Walwa Magufuli.
 
Siku moja nitaenda kutalii bandarini, nione hizo meli zinavyofanana, kwa kweli sikuwahi kufikiri kama meli inaweza kubeba magari mengi kiasi hicho
Nilikuwa Mbeya mwaka 2019 kikazi, katika maongezi yangu na jamaa fulani tukaongelea issue ya meli. Nikamwambia kuna meli inabeba hadi gari 1000. Jamaa waliniona muongo wakanitenga kabisa kwenye maongezi yao na hasa ukizingatia mimi nilikuwa mdogo kwenye ile semina. Nikajua tu hawa ni wale watu, kuzaliwa Malinyi, sekondari Moro Sec, Chuo SUA, ajira Matombo.
 
Back
Top Bottom