Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

1628662057370.png

Huyo bwana mkubwa anasema imetoka moja kwa moja Japan, mbona inaonyesha kuwa imepita bandari kadhaa (ikiwemo kwa majirani) kabla ya kufika kwetu. Halafu kwa wenzetu imekuwa serviced chini ya 20hrs! Tunahitaji kufanya kazi zaidi badala ya kujisifia kila kukicha.
 
Terms za uwepo wake ndiyo kikwazo. Hakuna asiyetaka mradi wenye maendeleo ya win win! Win loose ndiyo haikubaliki.
Hapa JF nimeuliza sana watu wenye hayo mawazo wanitajie hizo terms lakini hakuna anayezitaja!!!

Ukiangalia ex-TPA Director, terms ambazo alitaja ni 99-years land lease.... hii sioni kama ni sababu ya msingi kwa sababu sheria zenyewe zinaruhusu!! But on top of that, TPA walitakiwa kutoa hoja za msingi kwanini haiwezi kuwa 99 years!!!

Kakoko pia alizungumzia suala la kodi! But both you and I know kwamba kuna kodi nyingi sana linapokuja suala la uwekezaji!! Nimeuliza hapa Kakoko anazungumzia kodi ipi, watu wanashindwa kujibu!!

Nimekuwa nikiuliza hilo swali la kodi kwa sababu sheria zetu pia zinasamehe baadhi ya kodi!! Lakini zile habari kwamba eti HATUTAKUSANYA kodi, sio kweli, na anayesema hivyo anatakiwa kuainisha ni kodi ipi!!!
 
View attachment 1887928
Huyo bwana mkubwa anasema imetoka moja kwa moja Japan, mbona inaonyesha kuwa imepita bandari kadhaa (ikiwemo kwa majirani) kabla ya kufika kwetu. Halafu kwa wenzetu imekuwa serviced chini ya 20hrs! Tunahitaji kufanya kazi zaidi badala ya kujisifia kila kukicha.
Kwa muda iliyotumia kukaa katka hzo bandari inaonekana hawajashusha mzigo ilikua inapita tu kma vtuo
 
Nimekuwa nikiuliza hilo swali la kodi kwa sababu sheria zetu pia zinasamehe baadhi ya kodi!! Lakini zile habari kwamba eti HATUTAKUSANYA kodi, sio kweli, na anayesema hivyo anatakiwa kuainisha ni kodi ipi!!!
Asante Mkuu kwa ufafanuzi.

Nakumbuka mjadala huu ulivyoibuka tena, tulikwama kufikia muafaka kwa sababu tulikosa legal documents juu ya ukweli wa suala hili. Wajumbe hapa walitaka nyaraka zinazohusu suala hili ziwekwe wazi. Hilo halikufanyika! Kwa msingi huo, utetezi wa mradi huu unaghubikwa na kutokuaminika.

Kwa hiyo, mimi binafsi, bado naamini maelezo aliyoyatoa aliyekuwa rais wa nchi ya Tanzania Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli hadi hapo maelezo mengine ya uhakika yatakapotolewa. Bado namuamini Hayati kwa sababu yeye alikuwa na uwezo wa kujua mengi kuhusu jambo hili kwa nafasi yake kama Rais wa nchi ndiyo maana hamkumpiga wakati akiwa hai.
 
Tuliingizwa chaka kuhusu corona na mapapai, itakuwa Bagamoyo???

Sinaga tabia ya kumuamini mtu tu, hata kama ni kiongozi Mkuu wa nchi. Lazima na mimi nitafiti kwa kukusanya taarifa kutoka vyanzo sahihi.
 
Watu waliokuwa wanalazimisha mkataba walifanya hivyo kwa sababu tu walishindwa kujibu maswali yangu ambayo wala hayakuhitaji kuona mkataba!!!

Sasa ikawa kila wanaposhindwa kujibu, wanakimbilia kudai mkataba, wakati hawajawahi kuoneshwa hata mkataba wa ujenzi wa vyoo, seuze mkataba wa ujenzi wa bandari!!

Lakini pamoja na kutokuwepo kwa mkataba, mimi niliweka hapa nukuu za Kakoko, pamoja na majibu ya Moosa Mao! Kama mtu angetaka kuwa objective, hoja za watu hawa wa pande mbili, zilitosha kabisa kujadili kwa hoja, lakini watu ikawa nikiwabana na maswali, na wakishindwa kujibu, wanakimbilia kunidai mkataba!!

Lakini hata baada ya kueleza mara kadhaa kwamba, hapakuwa na mkataba wowote, kwa sababu ambacho watu walikuwa wanaita mkataba ni Framework Agreement ambayo hata hivyo ilikuwa imesha-expire, bado watu wakataka mkataba kwa sababu waliaminishwa kwamba mkataba ulisainiwa, na Wajanja akina JK walishachukua chao!!

Magu huyu huyu ambae maelezo yake ni kama alikuwa anashindwa hata kutofautisha kati ya Contract na Framework Agreement ambayo hata hivyo ilisha-expire?!
 
Tena mtu mwenyewe kama Magu, ndo kabisa!!
 
Tuliingizwa chaka kuhusu corona na mapapai, itakuwa Bagamoyo???

Sinaga tabia ya kumuamini mtu tu, hata kama ni kiongozi Mkuu wa nchi. Lazima na mimi nitafiti kwa kukusanya taarifa kutoka vyanzo sahihi.
Ni haki yako kama binadamu kuwa na maamuzi hay. Nashukuru na kufurahi kwa kuwa ulifanya utafiti na kukusanya taarifa ( Nikiwa na imani kulifuata Taratibu zote zinazoelezwa na sheria ya nchi ya Takwimu). Kwa hiyo tupe taarifa rasmi juu ya ukweli kuhusu mradi wa Bagomoyo. Taarifa yako itasaidia sana kumaliza mjadala huu ili tuendelee kujadili mambo mengine muhimu kwa ajili ya taifa letu.

Karibu.
 
Watu waliokuwa wanalazimisha mkataba walifanya hivyo kwa sababu tu walishindwa kujibu maswali yangu ambayo wala hayakuhitaji kuona mkataba!!!

Sasa ikawa kila wanaposhindwa kujibu, wanakimbilia kudai mkataba, wakati hawajawahi kuoneshwa hata mkataba wa ujenzi wa vyoo, seuze mkataba wa ujenzi wa bandari!!

Lakini pamoja na kutokuwepo kwa mkataba, mimi niliweka hapa nukuu za Kakoko, pamoja na majibu ya Moosa Mao! Kama mtu angetaka kuwa objective, hoja za watu hawa wa pande mbili, zilitosha kabisa kujadili kwa hoja, lakini watu ikawa nikiwabana na maswali, na wakishindwa kujibu, wanakimbilia kunidai mkataba!!

Lakini hata baada ya kueleza mara kadhaa kwamba, hapakuwa na mkataba wowote, kwa sababu ambacho watu walikuwa wanaita mkataba ni Framework Agreement ambayo hata hivyo ilikuwa imesha-expire, bado watu wakataka mkataba kwa sababu waliaminishwa kwamba mkataba ulisainiwa, na Wajanja akina JK walishachukua chao!!

Magu huyu huyu ambae maelezo yake ni kama alikuwa anashindwa hata kutofautisha kati ya Contract na Framework Agreement ambayo hata hivyo ilisha-expire?!
Nchi ilipitia kipindi kigumu sana.
 
Baada ya wiki iliyopita kutolewa habari kuwa Tanzania imeipiku Kenya kwa kupeleka bidhaa nyingi nchini Uganda kwa kupitia bandari, leo tena imetolewa habari mpya kuwa bandari ya Dares salaam imeweka rekodi mpya kwa kupokea meli kubwa yenye urefu wa mita 200 (yani sawa na viwanja viwili vya mpira wa miguu) ambayo haijawahi kupokelewa kwenye bandari yoyote kwenye ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.

20210807_200306.jpg
 
Watu waliokuwa wanalazimisha mkataba walifanya hivyo kwa sababu tu walishindwa kujibu maswali yangu ambayo wala hayakuhitaji kuona mkataba!!!

Sasa ikawa kila wanaposhindwa kujibu, wanakimbilia kudai mkataba, wakati hawajawahi kuoneshwa hata mkataba wa ujenzi wa vyoo, seuze mkataba wa ujenzi wa bandari!!

Lakini pamoja na kutokuwepo kwa mkataba, mimi niliweka hapa nukuu za Kakoko, pamoja na majibu ya Moosa Mao! Kama mtu angetaka kuwa objective, hoja za watu hawa wa pande mbili, zilitosha kabisa kujadili kwa hoja, lakini watu ikawa nikiwabana na maswali, na wakishindwa kujibu, wanakimbilia kunidai mkataba!!

Lakini hata baada ya kueleza mara kadhaa kwamba, hapakuwa na mkataba wowote, kwa sababu ambacho watu walikuwa wanaita mkataba ni Framework Agreement ambayo hata hivyo ilikuwa imesha-expire, bado watu wakataka mkataba kwa sababu waliaminishwa kwamba mkataba ulisainiwa, na Wajanja akina JK walishachukua chao!!

Magu huyu huyu ambae maelezo yake ni kama alikuwa anashindwa hata kutofautisha kati ya Contract na Framework Agreement ambayo hata hivyo ilisha-expire?!
Corona ipo Moshi na Arusha kwa sababu ya laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
 
Back
Top Bottom