Mkuu wamesema 65% ya magari yote ni Transit. Kwahiyo kodi hapo ni kwa hayo 35% tu. Mengine yanaenda kulipa kodi kwenye nchi yanakoenda...Hapo kila gari kodi sio chini ya 5m zidisha mara 1000 tu uone ni bara bara ngapi zitajengwa na huo ushuru wa bandari
Asilimia 65 ya magari hayatabaki nchini. Ya hapa ni 35% tu ya magari yatakayoshushwa..Sijaelewa mkuu naomba unieleweshe
Duh? Hii kali...Kabisa mkuu nimeingiza Trucks tokea ijumaa kupakia Plant tokea jumatatu nikuzungushana tu machine mbovu wanakosa hata betri za ku boost machne kweli? aibu sana mtu akiwa nnje hawezi kuamini tukisemacho.
hilo nalo neno mkuu,me mbuga za wanyama hadi leo hii sijawahi kwenda daahWazo zuri.
Unaweza kaa hii Dar hafu ata kivuko cha Kigamboni usiwahi kukitumia.
Huu mji mishe mishe zinatubana sana.
Hio ni njia Yao kuongeza mapato(storage).Toka juzi mtandao wao wa kupata invoice haufunguki huwezi kulipa ili utoe mzigo. Utendaji ni mbovu sana wanahitaji mabadiliko
Mtanikumbuka. JPM 15-21.Kabisa mkuu nimeingiza Trucks tokea ijumaa kupakia Plant tokea jumatatu nikuzungushana tu machine mbovu wanakosa hata betri za ku boost machne kweli? aibu sana mtu akiwa nnje hawezi kuamini tukisemacho.
Poa tutaambulia tozo(port charges etc)Mkuu wamesema 65% ya magari yote ni Transit. Kwahiyo kodi hapo ni kwa hayo 35% tu. Mengine yanaenda kulipa kodi kwenye nchi yanakoenda...
Kama kweli zingekuwa zinatumika hivyo tungekuwa mbali....hapo zinakusanywa posho na hela za kununua lc300Hapo kila gari kodi sio chini ya 5m zidisha mara 1000 tu uone ni bara bara ngapi zitajengwa na huo ushuru wa bandari
Port charges sawa kabisa. Sio kodi aliyoipigia hesabu huyo mtamzania mwenzetu...Poa tutaambulia tozo(port charges etc)
Maanake ni magari yanayoenda nchi jirani wanaitumia bandari yetu mfano Malawi,Zambia,CongoSijaelewa mkuu naomba unieleweshe
Yani hii nchi ina mchwa wengi sana ni ngumu kusimama kiuchumi sababu ya hao mchwa wanaokula vibaya makusanyo!Kama kweli zingekuwa zinatumika hivyo tungekuwa mbali....hapo zinakusanywa posho na hela za kununua lc300
Sasa 35% ya 3,700 ni kama units ngapi zinazobaki nchini? Hebu twende mathematically tuache porojo!Port charges sawa kabisa. Sio kodi aliyoipigia hesabu huyo mtamzania mwenzetu...
Bahati mbaya niko bar nazimua. Sijatoka na calculator...Sasa 35% ya elfu 3,700 ni kama units ngapi? Hebu twende mathematically tuache porojo!
Ukitoka bar utakuja kukokotoa ila roughly ni kama 1,200 hivi! Sasa kodi inayochukuliwa kwenye hizo units ni 10B+ na hio ni kwa meli moja! Bado hujaweka port charges kwa hizo za In-Transit ambazo ni 65% pia zitaacha hela nzuri tu.Bahati mbaya niko bar nazimua. Sijatoka na calculator...
Hakuna aliyepinga. Sisi tulikuwa tunamrekebisha mtanzania mwenzetu alyedhani Tanzania itanufaika na kodi ya magari yote 3700+. Ilikuwa ni hilo tu, baaasi....Ukitoka bar utakuja kukokotoa ila roughly ni kama 1,200 hivi! Sasa kodi inayochukuliwa kwenye hizo units ni 10B+ na hio ni kwa meli moja! Bado hujaweka port charges kwa hizo za In-Transit ambazo ni 65% pia zitaacha hela nzuri tu.
Hizo hela mnaziona ndogo?
Kunufaika by 100% sio rahisi ikiwa kila mtu anapambana adokoe hapo akajenge ghorofa mahali π π π hata kale ka system ka GePG nahisi wameshagundua namna ya kukala pesa ndio maana still kapo ila vinginevyo wangeisha kabalarua vipande vipande.Hakuna aliyepinga. Sisi tulikuwa tunamrekebisha mtanzania mwenzetu alyedhani Tanzania itanufaika na kodi ya magari yote 3700+. Ilikuwa ni hilo tu, baaasi....
Unaambiwa hiyo meli ina hadi uwanja wa mpira ndani wenye uwezo wa kuingiza mashabik efuishirini na viwanja vya mashindano ya pikpik na magari wenye urefu wa kilometre sabini Kuna Hadi supermarket huko ndani na ukitoka sehem moja kwenda nyingine unapanda Bajaj au tax (stori za vijiweni)Hiyo hapo mkuu...View attachment 1887574
Nilikuwa Mbeya mwaka 2019 kikazi, katika maongezi yangu na jamaa fulani tukaongelea issue ya meli. Nikamwambia kuna meli inabeba hadi gari 1000. Jamaa waliniona muongo wakanitenga kabisa kwenye maongezi yao na hasa ukizingatia mimi nilikuwa mdogo kwenye ile semina. Nikajua tu hawa ni wale watu, kuzaliwa Malinyi, sekondari Moro Sec, Chuo SUA, ajira Matombo.Siku moja nitaenda kutalii bandarini, nione hizo meli zinavyofanana, kwa kweli sikuwahi kufikiri kama meli inaweza kubeba magari mengi kiasi hicho