Pre GE2025 Dar: Method Damian Kumdyanko adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lucky Dube sang;
🎶 People dying like flies every day,
You read about it in the news,
But you don't believe it,
You'll only know about it,
When the man in the long black coat,
Knocks on your door,
Cause you're his next victim,
 
1.
Alikuwa anafanya kazinwap
2.

Kama biashara zake mnajua uhalali wake
3 kama yote HAPO juu n safi CHUNGUZENI simu yake mnaweza PATA badhi ya mawasilianooooooo kujua kama alikuwa na shida na mtu ama lah ...
4.fanyeni maombi
Ni maombi Yangu kwa Mungu usje ikawa n mambo ya madeni kudaiana ama kurukana Dili hizi kumpata mtu hai ngumusana sana Mungu apitishir mbali
Task force za magu bado zina operate, ila sasa hazina kiongozi rasmi, so zinajiendea tu bila uratibu wowote, mtu akijisikia tu hamu ya kitimoto anaingia road, anakamata mtu wake, anamteka na kudai ngawira kwa jamaa zake, na kwa sheria mpya hawa watu huwezi kuwashtaki, hata ukiwakamata ready handed.
 
UKo Kenya n BALAA mkuu nimetoka last week nilikuwa kama miezi 3 watoto wazuri wanatekwa mbayaa mkuu mnapigiwa tupeni million 3 tumwachie aisee ukifika siku amjatekelezs mnakutana na MAITI imetupwaaa
 
Yeye ndiye muasisi, ila vijana wake wamenogewa, ukizingatia sasa hivi usalama wa raia si kipaumbele cha mama wala mjomba kassim, hivyo tutegemee kuendelea kupata taarifa kama hizi kila iitwapo leo.
Kwahy vijana wanafanya hvy kwa maagizo na nani
 
Niliogopa HATA kutoka na mwanamke club NKAHISI mmmmh
Dushelele ikaishia kuangalia tu kwa macho moyoni inasema let's love lead

HATA kutoka kwenyewe saa 12 asbh kweupee uzuri hotel sikuwa NAYO mbali vs club
 
Shida Bora wakuue kuliko wajudinye WAANZE sambza UCHAFU mtandaoni.unajipiga risasi hatakama n ya rashashaa
 
Method Damian Kumdyanko mkazi wa Sinza Dar Es Salaam anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wenye silaha siku ya Februari 28, 2025 nje ya geti la nyumba yake Sinza Dar Es Salaam.

Akizungumza na Jambo TV Tura Chaula ambaye ni rafiki wa kike wa Method na aliyeshuhudia tukio hilo amesema siku hiyo alisikia kelele getini za kuomba msaada kutoka kwa sauti anayoifahamu(sauti ya method) na alipotoka kwenda kufungua geti alikuta watu zaidi ya sita wakiwa na silaha aina ya bastola wakimlazimisha Method kuingia kwenye gari aina ya Prado

“ilikua majira ya saa mbili usiku Method ametoka kwenye mizunguko yake na alipofika getini nilisikia vishindo na kelele za Method akitaka asaidiwe kwa kufungua mlango”

"Baada ya kutoka na kufungua mlango nilimkuta amevamiwa na kushikiliwa na watu wenye silaha wasiopungua sita ambapo walimkamata na kumfunga pingu bila kutuambia wanampeleka wapi na sababu ya kumkamata ni ipi” amesema Tura

Tura ameongeza kuwa wahusika hawakuwa wakizungumza bali walimuingiza kwenye gari hilo jeupe aina ya prado na kupotea kusipojulikana.

“hawakutujibu ili tujue kama ana kosa au anapelekwa sehemu gani na baada ya hapo walimpakia kwenye gari na kuondoka naye”

Aidha ameeleza kuwa wamefanya jitihada za kumtafuta kwenye vituo vya Polisi lakini hawakufanikiwa kumpata.
View attachment 3256233
Hiyo nyumba Haina CCTV camera au walikwama wapi kuchukua video
 
Watu wa mzena wameanza kuchukuliwa na wao? Sasa nani yuko salama?
 
Haya mambo mbona kipindi hichi cha Samia yamekuwa mengi na yeye amekaa kimya ? Viongozi wa dini wako kimya na huku raia wanatekwa na kuuwawa.
Alishasema KIFO NI KIFO TU!

TUJIANDAE NA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU BILA KUSAHAU KUPIGA KURA EWE MTANGANYIKA.
 
Back
Top Bottom